Search results

  1. S

    Kuna hati hati ya Bunge kuhairishwa hari si nzuri

    naomaba serikali itambue tupo vijana waaminifu ambao atuna kazi na vigezo vyote tunavyo yanini kuwag'ang'ania wezi wa fedha za umma tupeni kazi tuwaonyeshe uwezo tutarudisha imani ya wananchi kwa serikali yao kama watuwa tamisemi wamo humu wajue wapo vijana waadilifu
  2. S

    KAMATI KUU CCM yawafunga midomo KAMATI KUU CDM

    Siyo kwamba wamefungwa mdomo kusema watachukua hatua kama chadema wasubiri matokeo waone kama yanakidhi viwango au laa si kujibujibu tu tumia akili bro
  3. S

    (PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

    Ccm na vidole viwili wapi na wapi photo shop inatupa shida javini
  4. S

    Kampeni za CCM Arumeru east updates....!

    Miaka 50 sera ni zilezile watu wamechoka wanahitaji fikra mpya kwa sasa amani amani amani kwani ndo wenye amani mkasirishen mungu muone asipoiondoa hakuna wakujisifu kwa hili la amani mungu peke yake asifiwe asante mungu kwa hii amani yetu tanzania glory to...
  5. S

    Kura za maoni CCM Arumeru kurudiwa

    je sumari akishinda tena watafanyeje au watamuundia mizengwe mingine
  6. S

    CHADEMA wameshindwa kumuua nyani wameshamwangalia nyani usoni-Like the candle in the wind

    Mara nyingi sisi wana wa nchi hii atupendi kufikiri positive mtu akilalamika sana ndo anaonekana anawajibika cha msingi tukubali mabadiliko tuone mbona kenya waliweza zambia na wengine why us?
  7. S

    Siasa za CDM zimefika MWISHO, NANI ATASHIKA HATAMU?

    utasubiri sana tazama kwa macho utatoa majibu siku si nyingi cdm hawatumii nguvu akili kwanza then other altenative zinafuata
  8. S

    Mh. Mbowe aongelea yaliyojiri Ikulu

    Acheni kuona chadema ili waonekane wanafanya kazi mpaka waandamane wamefanya jambo la msingi yasipofanyiwa kazi ndo tunaweza amuua vinginevyo ushabiki wa kijinga kamwe aukubaliki big up chadema mmeanza vizuri
  9. S

    Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

    Kweli tuungane kwapamoja tutachakachuliwa tusipoangalia
  10. S

    Nani amemroga Profesa Palamagamba Kabudi?

    kweli kufa kufaana amegundua kila mtu yuko kilaji naye anataka ale kaka
  11. S

    Mbowe ajisalimisha polisi; ahojiwa na kuachiwa

    Kaka yuko vizuri kwapamoja bila woga tutafika
  12. S

    CHADEMA yapeta uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji - Babati

    Vizuri sana sasa itabidi wachagua mabalozi watakao mpa riport za nyumba kumi kila mmoja wale wa ccm awaondoe apange safi upya si inaruhusiwa?
  13. S

    Upendeleo wa wazi TBC Habari

    Hayo ni mambo ya kawaida kwa sasa tbc utendaji wake wa sasa na kipindi cha tido ni tofauti kabisa, tido alijenga usawa tbc we need tido back
Back
Top Bottom