Search results

  1. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Natafuta soko la kuku wa kienyeji

    wakuu natumani ni wazima wa afya samahani me ni mjasiriamali mdogo natafuta soko la kuku wa kienyeji kwa ambae anahitaji ani PM nipo Dar es salaam kigamboni. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Nina elimu ya Diploma ya kufundisha shule za msingi na uzoefu wa miaka 2 natafuta kazi

    Helow wana JF, Natafuta kazi yoyote halali. Umri wangu ni miaka 22 napatikana Kigamboni Dar es salaam. Elimu ya ni Ordinary Diploma in Primary School Teaching. Nina experience ya miaka 2, na uwezo wa kutumia computer ku type, kuprint pamoja na kutumia mashine ya kupiga copy. Sent using Jamii...
  3. LIVINUS ROMANUS MAYANGA

    Format ya mtihani wa Kidato cha Nne, cha Pili na QT

    Waungwana habari za jioni poleni na uchovu wa kazi. Samahani hivi format ya mitihani ya Kidato cha Pili, Nne pamoja na QT tayari zimeshatoka? Na kama tayari ninaomba mwenye nazo anisaidie. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom