Search results

  1. Richbanks

    Naomba ushauri: Nichukue ipi kati ya Redmi Xiaomi na Samsung?

    Ulipigwa kama wale jamaa wa kikuu
  2. Richbanks

    Naomba ushauri: Nichukue ipi kati ya Redmi Xiaomi na Samsung?

    Pocco F3 pro ni bonge moja la simu chipset ya snapdragon ni kisanga achana na kina MTK na Helio wanazingua
  3. Richbanks

    Nimekata tamaa sijui cha kufanya

    Umewaza kama mm
  4. Richbanks

    Nimekata tamaa sijui cha kufanya

    Nakubali bonge moja la ushauri
  5. Richbanks

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huyu Lacazette hana makali siku hz kawa kama Suarez tu akipata mpira anajikanyaga tu alafu anakata tamaa mapema tofauti na Auba japokua Auba naye kuna mda akifika golini anakua na mambo mengi ila kufunga anajua
  6. Richbanks

    Naomba kujuzwa dawa ya kuotesha nywele (uwalaza)

    Habari wadau, Hivi ni dawa gani kwa yeyote anaejua dawa ya kuotesha nywele/upara/uwalaza ambayo pengine labda ishakua tested na matokeo yake yakaonekana?
  7. Richbanks

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Nimesoma huu uzi nmeona maoni tofauti tofauti lkn pia kuna cjui niseme ni kampuni au agent wanaitwa EASYBUY kule mtandaoni nmeona kitu cha usd 7 nikawauliza hadi kinifikie kitagharimu bei gan? Nilipigiwa hesabu hadi ikafika elfu 80 na bado wakaniambia inaweza kuongezeka maana kikifika inabidi...
  8. Richbanks

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Kwani hawa ebay na easybuy wana uhusiano gani?
  9. Richbanks

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mimi natafuta wimbo originala wa ile beat ya SOLO iliyoimbwa na Jason derulo
  10. Richbanks

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama una smartphone unashindwaje kubeti kwa kutumia website hadi utumie USSD?
  11. Richbanks

    Msaada wana Jamvi Leseni ya udereva daraja d nitaweza endesha gari aina ya canter

    Hv wadau kuongeza madaraja katka leseni inaweza kua bei gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Richbanks

    Msaada: Namna ya kuwasiliana na Lumumba driving school

    Hv haw Lumumba Driving School wamesajiliwa? Na kama wamesajiliwa naweza kujuaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Richbanks

    Wasafi media inakula vichwa kabla ya 2020

    amos eglan, Meena Ally atoke pale amuache Millard Ayo?
  14. Richbanks

    Website ya kujifunza IT

    Wadau habari zenu. Naomba kuuliza ni website gani naweza kujifunza mambo ya IT from beginner to expert?
  15. Richbanks

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Siku hz hana maajabu kabisa
  16. Richbanks

    Kweli Kifo habari nyingine

    Kweli kifo habari nyingine uuuuwi [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28] Sikia Hii kali ya leo Familia moja walifurahi sana kupata mtoto, lakini majonzi yalianza pale walipogundua siku zinaenda lakini mtoto hawezi kutamka neno lolote. Mtoto alizaliwa bubu. Siku moja ghafla wakasikia...
  17. Richbanks

    Kina Zitto Baada ya Dreamliner Kutua

    Hawa wanatafuta kujipendekeza ili wafikiriwe japo ukuu wa wilaya
Back
Top Bottom