Search results

  1. mzinga makasini

    Ukiona mwanamke anaikataa ndoa jua yamemfika hapa!

    Mi nakujua we ndo mkorofi kama unabisha ni pm
  2. mzinga makasini

    Matatizo makubwa ya wanaume chumbani

    makaveli10, Haswaaa,ndio maana jogoo hana hata hicho kibamia ila nae anafurahia tendo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  3. mzinga makasini

    Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

    Kaka nami sinamda nitakuunga mkono huo ndio ukombozi
  4. mzinga makasini

    Niliambiwa kama unataka, niambie. Mimi nikalala nikakosa mambo

    Pole mkuu,unaonekana hata darasani ulikuwa mzito kuelewa, neno dogo miaka mitatu, Theory simpaka sasa hujaelewa![emoji2] [emoji2] [emoji2]
  5. mzinga makasini

    Kukawia Kukojoa

    Bora mwambie!
  6. mzinga makasini

    Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

    Mm pindi natafuta mwenza sijavutiwa na hawa walimu,wanaendekeza shida,pia wanadanga na wakubwa zao sitaki kusikia hawa watu
  7. mzinga makasini

    Biashara ya dawa za mifugo (kuku)

    Nahitaji MTU wa kuniuzia dawa zifuatazo kwa bei ya jumla,amprolium,salfa dimin,s-dime,chick formula,OTC powder,trifarm,esb3,egg boosta,ascarex,piperazine,ant cocidiosis,farm acid,layer premix,na nyingine za kuku nipo tanga mjini anaeuza jumla ani pm,mapema mzigo mkubwa nataka kabla ya tareh...
  8. mzinga makasini

    Mbuzi VS kuku wataalam wa kuchambua risk za mifugo ipi ina risk na inaongoza Kwa kuingiza watu mkenge

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ulikuwa hujajipanga kwenye kuku,mm ninao 1000 na zaidi kufa wanakufa na bado napata faida,mbuz wako vizur,chamsingi ujipange faida ni ndogo kuliko kuku mkuuu ujipange na watalaam wa mifugo,kumbuka hakuna kaz rahisi hapa duniani
  9. mzinga makasini

    Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Wapendwa Niko mbioni kufungua hii biashara ya kuuza nyama, kufungua bucha sihitaji ushauri. Wazoefu tubadilishane mawazo.
  10. mzinga makasini

    Naomba msaada mwenye kufahamu bei za incubator

    Nitafute pm mm ndo biashara yangu kutotoresha
  11. mzinga makasini

    Ukitaka ushukiwe kama Mwewe na hapa JF, basi andika uzi kama huu

    Hii IPO hata magroup ya wasap ni shida tupu,ukiwa na maisha ya plani hawataki hovyoo wenye tabia za dharau
Back
Top Bottom