Search results

  1. THE FIRST BORN

    Hii ndio Derby yenye Maajabu sijawahi sikia wala ona

    Habar Mwanajukwaa. Kesho Tarehe 20 siku ya Jumamosi kunaenda kupigwa Mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga Vs Simba. Ila moja ya kitu ambacho hua kina staajabisha katika huu Mchezo ni Moja ya sifa ya Kipekeee kabisa ya Derby hii na huu upekee unaifanya hii Derby itofautiane na Derby zote...
  2. THE FIRST BORN

    Huo sio Mpira, Kuna namna naona kuna Kundi Limeibuliwa la kuwalazimisha Mashabiki wa Yanga wakae Kimya,Yani Linalazimisha.

    Ila Mpira bhana yan kuna watu wameibuliwa huko wameona mashabiki wa Yanga wanajiamini sana kua Simba lazima afe Jumamosi wao kuona vile na kwa kuangalia jinsi mashabiki wa Simba vile hawana usemi katika Derby ya awamu hii wamepewa jukumu la kuwatia uoga Mashabiki wa Yanga. Kuna kauli Nyingi...
  3. THE FIRST BORN

    Kwa Jicho la kimpira kuifuta Confederation Cup, CAF wamepuyanga, Motsepe unaharibu soka la Afrika

    Inafikirisha sana kaaa kwa jicho la kimpira halaf tumia akili ya kawaida kabisa kuliwaza hili, Usitumie hata Akili yako ya Form 4 wala form 6 tumia ile akili ya kuvukia Barabara tu Mkuu. Waza Mpira ulibuniwa kwa hoja gani?..unahisi wazungu walikua malofa kuipinga Super League kwao? Jiulize tu...
  4. THE FIRST BORN

    Tarehe 12.5.2024 Yanga atatangazwa Bingwa Msimuu huu na Mimi Tarehe hio itakua siku ya Birthday Yangu.

    Hatimae ndoto ambayo niliyokua naiota Miaka Mingi inaenda kutimizwa..Nimekua nikiomba sana Siku ninayosherekea siku yangu ya kuzaliwa Mtu wa soka,Mtu ambae nimezaliwa Kutoka kwa mama Mnyarwanda Mpenda Football ambae Ndoto yake kubwa ilikua siku moja anione nachezea Manchester United ila sema tu...
  5. THE FIRST BORN

    Hii Yanga ya Sasa inaanza kuingia kwenye Mioyo ya Waafrika kutoka kila pembe ya Afrika

    Yanga hajawah kutolewa na Afika isiumie. Jana Yanga katolewa Robo kwa wizi wa wazi Afika nzima saiv inapiga kelele kua vijana wa jangwani walionewa. Pembe zote za Afrika saiv wanaisemea Yanga. Las season Yanga second Leg Ya Final ya CAFCC Alifanyiwa uhuni mbele ya Motsepe kule Algeria Afika...
  6. THE FIRST BORN

    CAF kama mmeweza kutumia Picha ya Mandela kwa upande wa Mamelodi kwanini Msingeweka picha ya Nyerere upande wa Yanga?

    Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere? Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa. Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa Afrika ila hua hatambuliwi hadi hapa unaona kabisa..wameona huyo Askari ndie mkubwa Nchini kuliko...
  7. THE FIRST BORN

    Tatizo la Simba Kubwa ni Kuukataaa Ukweli

    Habarini wanajukwaa la SPORTS. Mi mshabiki kindakindaki wa football.. Wazungu wanachotuzidi sisi wa Afrika ni kua Wazungu hua wanautafta ukweli na wakiupata hua wana ukubali ukweli huo. Ukitazama Ulaya Leo hii Manchester United wakiulizwa viongozi hadi wachezaji wanasema ukweli kua toka atoke...
  8. THE FIRST BORN

    Kiimani Ijumaa Kuu Tunakatazwa Kula Nyama..Hii ina maana kubwa sana Kwa Mnyama SIMBA

    Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu. Mwisho wa Kunukuuu. Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama.. Ujumbe huu upokeeni😂😂
  9. THE FIRST BORN

    Match ya Simba Vs Ahly ni kama Match ya Aseno Vs Bayern Na match ya Yanga Vs Mamelodi Ni kama Match ya Man City vs Madrid

    Nimeamua kuandika kichwa kirefu ili mtu akisoma tu aelewe kabisa. Match ya Bayern Vs Aseno UEFA ni match ambayo haina mvuto na hakuna Ntu anawaza maajabu pale anajua Aseno anakufa kwa Aggregate ya 10 tena. Hii haina tofauti na Match ya Simba Vs Ahly ambayo kila mtu anajua hakuna maajabu lazima...
  10. THE FIRST BORN

    Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Imekua ni utaratibu kwa Mashabiki wa Simba kuwa na wivu wakiona Team za Ligi kuu zinafungwa kama wao. Yani wanatamani sana zile 5 walifungwa wao zibaki wao tu wawe wa kipekeee. Saiv najua bado Mapopoma yapo huko yanamalizia kuoga yaanze kutiririka hapa Mara goli za offside mara goli la 5...
  11. THE FIRST BORN

    Hivi ingekuwaje kama wanawake ndio wangekuwa wanatongoza wanaume?

    Jamii yetu inaamini kuwa Mwanaume ndiye mtongozaji na Mwanamke ndie kiumbe anastahili kutongozwa, si vinginevyo, na hii ni universal accepted, hayo ya mwanamke kuanza kusema ni ya sasa hivi kizazi cha AI. Ila hata Biblia utaona mtu wa kwanza kuumbwa alikua mwanaume so it means alieanza kuhisi...
  12. THE FIRST BORN

    Hivi ni kwanini Wanawake ndio wanaongoza kuanzisha Mahusiano Mapya ndani ya Mda mfupi tu baada ya kuachana na Mpenzi wake?

    Habar Mwanajukwaa la Mahusiano. Kuna jambo nimelifatilia sana ila sijapata majibu shida hua ni nini haswa? Yani Mwanamke A anakua yupo kwa mahusaiano na mwanaume B ikitokea A Na B wakaachana Hua haichukui Round Mwanamke unasikia ana Mtu wake Mwingine tena mbaya zaidi Asilimia kubwa unakuta...
  13. THE FIRST BORN

    Hadi hapa Yanga ni Bingwa Msimu huu wa 2023/2024, Kwa Sababu Kuu hizi 2.

    Habari Mwana-Jukwaa La Sports. Nianze Kwa kusema Soka La Afrika linatofauti Kubwa sana Na Soka La Ulaya ambapo uwekezaji ni Mkubwa na Mchezo huu umepiga hatua kubwa sana. Ulaya kwenye Nchi zenye Ligi Kubwa na Maarfu kama Vile England,Spain,Italy,Ujerumani,Ufaransa,Ureno,Uholanzi na Mataifa...
  14. THE FIRST BORN

    Hakuna Team ya Mpira Duniani iliyokuwa na mafanikio wakati Flani/Sasa hivi bila kuwa na Uongozi Mzuri

    Habari Mwanajukwaa la Sports. Nianze kwa kusema; Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia. Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani...
  15. THE FIRST BORN

    Kama mliaminishwa kufungua Chaneli ya WhatsApp ni Mafanikio, sasa watawaaminisha Viwanja vya Mikoani ndio chanzo cha Matokeo Mabovu

    Mkishaonwa HAMNAZO mtakuwa mnapewa kila sababu na mtakubali because nyie ni HAMNAZO. Yaani jitu linavuta Oxygen hii ya buree saiv zaidi ya miaka 20 halijawahi ilipia linakuja danganywa kuwa tunapata matokeo mabovu viwanja vya mikoani kwa sababu wachezaji wetu hawako comfortable na viwanja hivi...
  16. THE FIRST BORN

    Mo Dewji tunaomba utusamehe sisi sote tuliokunyoshea kidole kwenye Mali yako

    Kiukweli tusamehe sana MO, Mimi nikiwa wakilisha Mashabiki wenzangu wa Simba. Naomba Utusamehe sana kukusema kuwa wewe ni bahili Mara hujitoi na tukaenda mbali kukulazimisha kuachia Timu pasipokujua hii ni Mali yako na umeinunua Miaka Mingi yapata 5 sasa. Tusamehe sana RAIS WA HESHIMA Sisi ni...
  17. THE FIRST BORN

    Hakuna Asiependa Kushinda 4G au 5G kwa Mkapa

    Mashabiki wa Team kubwa kubwa Afrika kama Yanga saiv mnatusimanga kua sisi MAKOLO hatujashinda goli 4 au 5 kwenye uwanja Mkubwa Afrika Mashariki na kati BENJAMIN MKAPA NATIONAL STADIUM..Na Mnaenda mbali sana mnasema kua hata jumamos tunaweza pigwa sisi au tukashinda ka goli kamoja au...
  18. THE FIRST BORN

    Kuwa Msemaji Simba ni kazi kweli unajihami, ghafla unakumbuka huna uwezo unaanza kuomba support

    Kuisemea Team ambayo haina uwezo ni kazi jamani nyie achen Mtu unajitamba Jumamos tunaenda kumaliza kazi Mashabiki Njooni.. Mnyama Robo anatinga,ghafla Akili inarudi inakwambia huo uwezo huna,Team lako goigoi... unaanza kuomba Support ya Mashabiki tena onhoo hili hatuwez sisi na Mo na Mangungu...
  19. THE FIRST BORN

    Simba hamutoweza kutoka hapo mlipo hadi mjifunze kunyamaza

    Habari wanajukwaa Langu Pendwa hapa Jf Jukwaa la Sports. Ni siku takribani 3 saiv zimepita toka Team Bora kwa sasa Young Africans alimaarufu kama Yanga imbamize Mwarabu goli 4 pale kwa Mkapa na kujihakikishia kusonga hatua inayofuata. Baada ya Ushindi ule tumeshuhudia Utani Mwingi sana sehemu...
Back
Top Bottom