Search results

  1. H

    RC Chalamila: Nilifukuzwa shule nikiwa form 5 nikaenda Mkwawa nikawa nawafundisha twisheni Wanafunzi wa form 5 na 6!

    Hana Mamlaka ya kuamuru Polisi kupiga risasi. Ikitokea Polisi wamepiga risasi na kuua raia kisa maandamano anayewajibika ni RPC wa mkoa husika (kama uwajibikaji utakuwepo).
  2. H

    Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

    Ila hii wala sio habari kubwa kwa sasa. Ilitarajiwa siku nyingi sana kuwa itakuwa hivyo. Mjadala wa bandari ni muhimu zaidi kuliko hadhi ya kitu chochote. Tuendelee kujadili!
  3. H

    Rais Samia amteua Balozi Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Huyu Balozi ni mstaafu tayari…Mama haoni watu wengine kwenye system ambao wanaweza kufanya kazi ya DGIS mpaka turudishe wastaafu kazini!?
  4. H

    Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Wewe nenda katafute chanzo…Sio kazi yetu hiyo. Kazi yetu ni kukomenti tunayotaka kwa kutukia bundle zetu. Wewe uzuiliwi kumsifia huyo mal*y* kama unataka.
  5. H

    Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Fresh tu…unakisoma kisha unakiweka pembeni…Maisha yanaendelea. Unapungukiwa na nini!?
  6. H

    Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Ki-note ni kitu cha kawaida sana. Unless wewe upo porini na hauna utaratibu wa kufanya mikutano ya hadhara ama ya kibishara, kidini au kiserikali.
  7. H

    Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Bwana eeeh…atutokee hapa kwani yeye tu ndio anatakiwa kuwa KM!? Haya Katumbuliwa….kazi si zinaendelea!? Yeye ameonyesha dharau mbele ya Watumishi wenzake kwa kujiona bora zaidi…Kumbe ukweli ni kuwa yeye ni TAKATAKA tu…Haya sender kuyafokea matoto yake nyumbani uone kama tutamjadili hapa.
  8. H

    Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Kingeandikwa kitu kizuri au kibaya…Sio hoja whatsoever na ahihalalishi kitu alichofanya. Amefanya kitu ambacho hakijawahi kufanywa na kiongozi yeyote toka mifumo ya Serikali ianze kazi hapa Duniani.
  9. H

    Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Kwa ufupi anakuwa demoted. Kama ni wale wa kuokotwa jalalani ndio anarudi jalalani kwa mara nyingine.
  10. H

    Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Acha basi ujinga…hata hata kama akili huna tumia hata za kufikia barabara kuchangia humu JF
  11. H

    Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Moderator tunaomba hizi video ziwe pinned kule juu ili wasomaji waone huyu KM alikuwa ni mtu wa aina gani. Pongezi kwa Mama kwa kutoa hii TAKATAKA kwenye hiyo nafasi.
  12. H

    DOKEZO Serikali itusaidie wakazi wa Kigogo, fedha wanazotaka kutulipa kupisha mradi haziendani na nyumba zetu

    1. Notisi ya kutanga eneo la bonde la mto msimbazi kuwa eneo hatarishi (hazardous area) ilitoka mwaka 1979; wakati huo hakukuwa na nyumba hata moja; 2. Watu wakaanza kuvamia hilo eneo na kujenga nyumba miaka ya 90; 3. Kisheria, mtu yeyote hastaili kupata fidia yoyote pale anapojenga bila...
  13. H

    Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Kwa uelewa wako, kuwa DG wa NHC na kuwa Msajili wa Hazina, wapi kuna maslahi mazuri zaidi?
  14. H

    Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

    Wewe unayeropoka hapa una ushahidi gani kama ndege hazina kutu!? Mzee wa Chato alitupiga sana kwa kuvuta ndege za mtumba halafu akadanganya wanyonge wa Tanzania kwamba ndege ni brand new. Ila haina shida Mungu AMEAMUA ugomvi.
  15. H

    Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

    Hivi wewe umewezaje hata kujiunga humu JF!? Binafsi nina mashaka hata kama unaweza ku-log in leave alone kujadili hoja yoyote ndani ya JF hata zilizopo majukwaa kama Mapenzi n.k.
Back
Top Bottom