Search results

  1. C

    Ushauri kwa kiongozi mkuu wa Iran

    Habari za leo wanajukwaa Nijikite moja kwa moja kwenye hoja, haya ni maoni yangu binafsi na ushauri binafsi. Ningekuwa kiongozi mkuu wa Iran, ningeomba tukae meza ya mazungumzo na kiongozi wa USA ili kuepusha uwezekano wa kutokea kwa vita. Nasema hivi nikiwa na sababu kwamba kama leo hii USA...
  2. C

    Minada ya hadhara ina siri gani?

    Wataalamu, naomba kujua siri iliyojificha kwenye minada ya hadhara. Je vifaa wanavyouza ni kweli vinakuwa vimechukuliwa kwa wafanyabiashara walioshindwa kurudisha mikopo? Je hizi bidhaa sio fake? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    Wanawake wengi hujisikia furaha sana na amani tele wanapopiga stori na waendesha bodaboda

    Utafiti nilioufanya kwa siku za hivi karibuni asimia kubwa ya wanawake imeonekana huwa wako na amani na furaha pale wanapopiga stori na waendesha bodaboda kuliko wanapokuwa wakiendeshwa na waume zao au jamaa zao kwenye ndinga zao ambapo amani yao na furaha hushuka kwa kiwango kikubwa
  4. C

    Habarini wadau, naomba kuifahamu vizuri biashara ya rasta

    Habarini wadau,naomba kuifahamu vizuri biashara ya rasta. Nataka kufungua duka la reja reja,mtaji laki 5 Pia nafikiria biashara ya mabegi ya wanafunzi NAOMBA USHAURI KWA MNAOZIFAHAMU NA KUZIFANYA HIZI BIASHARA NIFANYE IPI KATI YA HIZO 2
  5. C

    Tetesi: Naomba kufahamu kampuniI zq mabasi yaendayo Sumbawanga kutokea Dodoma

    Kesho nasafir kwenda Sumbawanga kutokea hapa dodoma Naomba kufahamu nipande basi gan la semi luxury ili niaipoteze nauli yangu kwenye basi zenye karaha
  6. C

    Tanzania tunahitaji level seat kwenye daladala kuepusha janga jingine kubwa la ajali za kujitakia linalotumaliza walalahoi wengi tulio masikini

    Baada ya janga la mlipuko wa gari la mafuta uliotokea jana na kuua ndugu zetu wengi walioona fursa,bado janga la kujaza daladala mpaka pomoni linatusubiri,tujiandae kwa hilo. Mfano,daladala inatoka kituo chake ikiwa imejaa pomoni na bado njiani inapakia Kwa mfano dodoma jiji,root zinazojaza...
  7. C

    Natafuta chumba cha kupanga Dodoma

    Natafuta chumba cha kupanga kiwe self na sebule yake Ofa laki moja Mtaa wowote wenye kufikika na usafir wa jamii Mwenye nacho aingie PM
  8. C

    Vodacom kufuta vifurushi vya Uni Offer

    Vodacom kama mnausoma huu uzi inabidi mrudishe vifurushi vya uni offer,wateja wenu wanalalamika,muda si mrefu mtakosa watumiaji maana tunahamia mitandao mingine RUDISHENI VIFURUSHI VYA UNI OFFER
  9. C

    Mchakato wa kuruhusi mifuko mbadala ianze kutumika sasa ili kutufanya wananchi tuizoee

    Naomba kukamilisha uzi kwa kusema jambo jema kwa serikali kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa maendeleo endelevu ya mazingira Naomba kutoa rai kwa serikali kuanza mchakato wa kuruhusi mifuko mbadala ianze kutumika sasa ili kutufanya wananchi tuizoee na kutatua changamoto...
  10. C

    Mdogo wangu anatatzo la kutokwa na uvimbe mdogo mdogo kwenye ngozi

    Habar za usiku jf doctor Naomba mnisaidie Mdogo wangu anatatzo la kutokwa na uvimbe mdogo mdogo kwenye ngozi ambapo siye kwa kiswahili cha buguruni tunaita kututumka au kuumuka kwa ngozi ambako kunatokea pasipo kujikuna ama baada ya kujikuna ambapo ngozi huwasha mda wa jioni tu hadi asubuhi,jua...
Back
Top Bottom