Wasalam mabibi na mababu..
Nikiwa katika Tafakari kubwa sana ni kipi kimemfanya Rais Samia kumtoa Makonda kwenye Uenezi na kumpeleka kama mkuu wa Mkoa wa Arusha! Japokuwa mitaa haiishii soga kuna wanaosema bwana mdogo anavimba, kuna wanaosema bwana mdogo ana bifu na GSM na maougomvi, kuna...
Wasalam mabibi na mababu,
Ukweli usiopingika ni kuwa zama hizi Kumekuwa na mapinduzi makubwa sana hasa katika mchezo wa Mpira wa miguu, leo hii Tanzania ni fahari tunaona club mbili simba na Yanga zikipambana katika kufika hatua ya robo Fainali katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, ila ata...
Wasalam mabibi na mababu...
Bila kupoteza muda, zama hizi za Mama samia kumezuka utaratibu ambao sasa washaufanya ni tabia endelevu katika suala Zima la semina za walimu nchini.
Utaratibu huo ni kuwa semina yoyote labda inayohusu maadili, inayohusu mitaala, inayohusu mahiri childhood education...
Wasalam mabibi na mababu...
Kimsingi vodacom walivyokuja na swala la m-koba niliamini kuwa sasa wamekuja na mageuzi ya kisasa katika swala Zima la uendeshaji wa vikundi vya vikoba mbalimbali.
Kuna kikundi cha kikoba ambacho nipo na tuna kama miezi mitatu hivi sasa toka tuanze, Bana miezi...
Wasalam mabibi na mababu...
Hili kundi linaloitwa watumishi wa serikali lina safari ndefu sana kutoboa kimaisha, hili kundi thamani yake inayochukuliwa na wanasiasa ni ndogo mnoo, sijajua linashushwa hadhi kwa vile halina desturi ya kuandaamana na kufanya migomo!
Niki kumbuka kipindi cha...
Wasalam mabibi na mababu,
Hatimae siku hazigandi bhana ile mbivu na mbichi kujulikana soon, na ukwel usiopingika kuwa kwa sasa watumishi wa serikali wana shauku sn ya kuona mabadiliko ya mshahara wa mwezi July kutokana na kile kiloitwa kuongezwa kimya kimya, huku wengine wakiamini kutakuwa na...
Wasalam mabibi na mababu...
Kwanza kipekee nimpongeze Mheshimiwa Rais namna ambavyo anapandisha madaraja watumishi kwa wakati, lakini pia nimpongeze kwa jitihada zake za kuwapandisha daraja la mserereko wale ambao walidhulumiwa kupanda kipindi cha mwendazake.
Pamoja na hayo watumishi wengi...
Wasalam mabibi na mababu...
Kuna ndugu yangu ni Mwalimu wa serikali yuko kwenye system muda na anafundisha idara ya Msingi, na kwa Level yake ya Elimu ni Diploma..
Sasa bhana katika harakati zake za kupambania maisha imetokea km zali kukutana na mtu mkubwa sana serikalini huko ktk kujieleza...
Wasalam wakuu,
Niko hapa nacheki luninga katika Shamrashamra za Mei Mosi kitaifa huko Morogoro.
Kuna kipengele cha kuwapa zawadi watumishi bora, Nimeona watu wakipokea mamilioni ya zawadi ila ajabu sijaona ata Mwalimu Bora wa mwaka wakipokea zawadi zaidi ya kuona wakipewa watumishi toka katika...
Wasalam mabibi na mababu,
Kila nikikaa huwa nawaza hivi hili taifa limempa daraja au hadhi gani Mwalimu, Yani Mwalimu pamoja na kuwa na malalamiko/stahiki zake kibao zisizo pata ufumbuzi lakini ndio watumishi wanaoongoza kuonewa ata katika Jambo la kijinga huku wakitishiwa kufukuzwa kazi na...
Wasalam mabibi na mababu...
Kila nikivuta kumbukumbu zangu vizuri mwaka jana tarehe hizi mwezi wa nne kulikuwa na hamasa kubwa sana juu ya siku adhiimu ya wafanya kazi-Mei Mosi.
Kipindi kama hiki kulikuwa tayari ;
1. Kushafahamika mkoa utakaofanyika Mei Mosi kitaifa.
2. Mavyama ya wafanya...
Habari mabibi na mababu,
Napitia kipindi cha stress zisizohimilika kwa kuponzwa na Tamaa za kimwili, kufupisha stori ni hivi mwakan mwanzon kabisa nitafanya jambo la harus na mchumba angu wa muda mreefu.
Ukiachana na mchumba angu huyo wa muda mreefu ambae mambo ya harus yashakaa sawa ila...
Wasalam mabibi na mababu.
Kundi kubwa la watumishi wa Serikali wanafurahia sana asilimia 23 tena hadi wanajipangia asilimia watazopata kwa kila scale ya mshahara.
Ila kiukwel km kuna kipindi ambacho watumishi watapigwa na butwaa basi n katika mshahara wa mwisho wa mwezi huu mana hawataamini...
Natumai Mko wazima mabibi na mababu.
Kwanza napenda kuchukua nafas hii kumshukuru Rais samia kwa ujenzi wa madarasa 12,000 ya sekondari na 3000 shule shikizi kupitia pesa ya mkopo ya uviko 19.
Serikali imekuwa ikisifia uongezwaji wa madarasa na kwamba wanafunzi wataanza shule kwa pamoja...
Wasalam mabibi na mababu.
Leo ni miongoni mwa siku ambayo ipo katika rekodi zangu ambazo sitazisahau kamwe hapa duniani.
Ilikuwa hivi leo wakati niko maeneo ya kongowe stendi nkasema ngoja nifike tuangoma kuna ishu nifatilie, wakati natoa toa macho kusubiri Daladala kuna jamaa angu wa kitambo...
Wasalam mabibi na mababu...
Katika utafiti mdogo nilioufanya vijana wengi wa kiume wanaugulia maumivu makali sana ya kuwapoteza wanawake wa ndoto na maisha yao kutokana na kukosa ajira au ata kibarua kwa wakati.
Unakuta kijana alikuwa na msichana wake labda toka shule ya msingi au sekondari...
Habar mabibi na mababu....
Leo siku yangu imeenda vibaya sana, na vile sijawahi experience hili tukio bhasi daah naona dunia imenikalia vbaya leo.
Kufupisha stori ni kuwa kuna manzi angu mmoja tulishawahi kugegedana sana tu sasa toka majuzi nkamcheki kuwa bhana nko mjini nitunuku...
Habar zenu mabibi na mababu.
Kama mnavojua dunia jinsi inavyoenda kasi hususani katika mapinduzi ya kifedha, sasa hivi ulimwengu unazungumzia cryptocurrency tuu na namna ya kufanya holding ya coin mbalimbali kwa lengo la kutengeneza Pesa. Najua kwa nchi yetu bado tuko nyuma na hata vijana...
Nawasalim kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kimsingi sasa hivi serikali ipo katika mchakato mkubwa wa kitaifa wa kujenga madarasa 15,000 nchi nzima, ikiwa madarasa 12,000 kwaajili ya watoto wanaoanza mwakani kidato cha kwanza na madarasa 3,000 kwajili ya shule shikizi za msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.