Search results

  1. Gai da seboga

    Rais Samia kumtoa Makonda kwenye Uenezi hasa kipindi hiki umefanya makosa makubwa

    Wasalam mabibi na mababu.. Nikiwa katika Tafakari kubwa sana ni kipi kimemfanya Rais Samia kumtoa Makonda kwenye Uenezi na kumpeleka kama mkuu wa Mkoa wa Arusha! Japokuwa mitaa haiishii soga kuna wanaosema bwana mdogo anavimba, kuna wanaosema bwana mdogo ana bifu na GSM na maougomvi, kuna...
  2. Gai da seboga

    SI KWELI Mama anayenyonyesha akifanya mapenzi anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto

    Usipaparikie kuandika tu soma uzi uuelewe...
  3. Gai da seboga

    SI KWELI Mama anayenyonyesha akifanya mapenzi anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto

    Wasalam mabibi na mababu... Kwanza yote kwa yote nashukuru Mungu wife kanizalia Katoto, mana miongoni mwa factor za kuonyesha urijali ni kupata katoto. Sasa mara baada ya 40 kuisha nkasema nifate familia niirejeshe Nyumbani lkn wazee, vijana, marafiki wa kila Rika Wamekuwa wakisema usije...
  4. Gai da seboga

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Scale ya investigation officer na Assistant Investigator Takukuru kwa level ya diploma na degree n sh ngp??
  5. Gai da seboga

    Waajiriwa wenzangu kuweni makini kulinda salary slip yako isichafuke lasivyo utakiona Cha moto kama mimi

    Aya yote kayataka magufuli, angeongeza ongeza mishahr km Kikwete watumishi wangekuwa na mishahara mikubwa saivi.
  6. Gai da seboga

    Waajiriwa wenzangu kuweni makini kulinda salary slip yako isichafuke lasivyo utakiona Cha moto kama mimi

    Mkopo mzuri n wa hazina tu ambao hauna Riba... Watumishi wengi sn wanaumia na hii mikopo na ndioman watumish wanaongoza kwa stress. Wengi hapa wanabeza na kumuona jamaa mzembe lkn anatupa Funzo kubwa sna kuwa tusikope kope kwny vimeo visivyoeleweka bora kujitia bank, mm binafsi nkikopa bank...
  7. Gai da seboga

    Kwa ukuaji wa Mpira Tanzania sasa ni Wakati sahihi wa Rais Mstaafu Mwinyi Kufuta Kauli yake

    Wasalam mabibi na mababu, Ukweli usiopingika ni kuwa zama hizi Kumekuwa na mapinduzi makubwa sana hasa katika mchezo wa Mpira wa miguu, leo hii Tanzania ni fahari tunaona club mbili simba na Yanga zikipambana katika kufika hatua ya robo Fainali katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, ila ata...
  8. Gai da seboga

    Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    Nshajisajil hazina na pal process za kuomb Zipo n kujaza na kusubmitt sasa Halmashauri yang ad sasa cjaon tangazo lolote je naweza omba nkafanikiwa kwa maana taarfa zkaenda kwa HR kimfumo? Je ile sifa ya kuwa kupewa huu mkopo hutakiw kuwa na mkopo mwingine ipoje??
  9. Gai da seboga

    Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    Ulikaa siku ngapi hadi mchele kuingia kwenye Akaunti?
  10. Gai da seboga

    Utaratibu wa Semina za Walimu kwa Sasa, Rais Samia Naomba uingilie Kati...

    Hoja yangu sio kulilia hzo semina na posho, hoja ya msing muundo wautoaj mafunzo kwa walimu n mbovu, anachukuliw mwal. Mmoja ktk kata akirudi mwngne keshayasahau alofundshwa, anawatumia muongozo na vitini msome wenyewe, sasa hapo ufanisi kwa walimu unapatikanaje? Zaman mafunzo aya yalikuw...
  11. Gai da seboga

    Utaratibu wa Semina za Walimu kwa Sasa, Rais Samia Naomba uingilie Kati...

    Hoja yangu sio Kulilia kaz maalum sjui posho, hoja yangu unaandaa mafunzo ya mtaala mpya kitu ambacho n very sensitive inakuwaje anaenda pewa mafunzo mtu mmoja katk kata? Alafu mbaya zaid huyo mtu aloenda akija fanya presentation kwa walimu wenzake n mweupe hana cha maana alopata huko zaidi ya...
  12. Gai da seboga

    Utaratibu wa Semina za Walimu kwa Sasa, Rais Samia Naomba uingilie Kati...

    kuna walim weng sn wanapambania nje ya mfumo ili maisha yasonge ila ukishaanza kutusua ktk miradi yako n kupigwa fitna na kuhamishwa kituo kupelekwa vijijin, furaha za viongoz na wanasiasa wa nchi hii n kumuona mwlm ananuka ufukara ili waweze kummudu watakavyo...
  13. Gai da seboga

    Utaratibu wa Semina za Walimu kwa Sasa, Rais Samia Naomba uingilie Kati...

    Sasa km wazir ndio ameweka mifumo ya kijinga, tumshitakie nan kama sio Rais wa nchi, au unataka tumshitakie mwenyekit wa mtaa..!
  14. Gai da seboga

    Utaratibu wa Semina za Walimu kwa Sasa, Rais Samia Naomba uingilie Kati...

    Kwahyo n semina za walimu tu ndio ziwe zakufundishwa kitu lkn semina za idara nyingine walipane posho si ndio!!
  15. Gai da seboga

    Utaratibu wa Semina za Walimu kwa Sasa, Rais Samia Naomba uingilie Kati...

    Wasalam mabibi na mababu... Bila kupoteza muda, zama hizi za Mama samia kumezuka utaratibu ambao sasa washaufanya ni tabia endelevu katika suala Zima la semina za walimu nchini. Utaratibu huo ni kuwa semina yoyote labda inayohusu maadili, inayohusu mitaala, inayohusu mahiri childhood education...
  16. Gai da seboga

    Fainali ya Mamelodi na Wydad inaonyeshwa chaneli gani Azam?

    Naona muda wa game ushawadia lkn hakuna Chanel azam inayoonesha!!!!
  17. Gai da seboga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyu Jamaaa n noma saana ni Rais wa backbencha kule [emoji23][emoji23][emoji23]
  18. Gai da seboga

    Jinsi ninavyopunguza uzito na mafuta ya mnyonyo

    Ila kuyameza aya mafuta yataka moyo sana, ukiyasikilizia hunywi...
Back
Top Bottom