Search results

  1. K

    Watatu wajiuwa sababu ya kufeli - Wilaya ya Karagwe

    Wanafunzi wanashinda na kukesha facebook,Walimu wanauza visheti na mandazi,Wizari haina mtaala wanang'aa sharubu,Wazazi tumelala doroooo,NANI ALAUMIWE?
  2. K

    Mama Salma: Rais Kikwete ana hasira, wanaosema mpole hawamjui

    Kweli anahasira! Kama anaweza kusweka raia rumande maisha yao yote sbb ya MA.KU,?
  3. K

    Wazazi tushauriane namna ya kuwasaidia watoto Necta2012

    Mdogo wangu alikua anapata 1 darasani kwenye matokeo kataga,Sina hamu
  4. K

    Ombi maalum kuhusu matokeo ya kidato cha nne 2012

    Naombeni mniwekee matokeo ya shule ya Sekondari NKOKASHU
  5. K

    Mnh!! huyu demu Jack Patrick, hii lugha anayoongea kwenye Nirvana EATV dah kitukooooo...

    Ha ha ha haa ni ndugu yake madam spika "senkiyu vely machi"
  6. K

    Mama mkwe ananilogea mume wangu

    Habarini waungwana,.. Kwa muda mrefu nilikua nikielezwa kuwa mama mkwe wangu hataki niishi na mwanae na alikua anamshawishi mume wangu aniache na amuoe mwanamke aliyemtafuta yeye kwa madai alimzaa mume wangu ili akija kuoa mwali wake akaenaye,Jambo ambalo kiukweli alishanieleza kw napaswa...
  7. K

    Spika Makinda atumiwa SMS zaidi ya 400 'za matusi'

    Angalieni mama wa watu asije akanywa sumu
  8. K

    Spika Makinda atumiwa SMS zaidi ya 400 'za matusi'

    Angalieni mama wa watu asije akanywa sumu
  9. K

    Yamenikuta yakunikuta

    Na kwa taarifa za uhakika ni mjamzito
  10. K

    Naombeni msaada ni jinsi gani nitaweza kuishi na mume anayeendeshwa na dada yake

    nimefajilia na kugundua kuwa yuko kwenye process ya kuandika mali zetu majima ya dada zake kasoro nyumba ndio kaandika jina la mwanangu, na tayari ameshatafuta mwanamke na ameniambia muda wwte ataondoka aniache na watoto.
  11. K

    Naombeni msaada ni jinsi gani nitaweza kuishi na mume anayeendeshwa na dada yake

    Tumeish kwa miaka 13, yeye ni mtoto wa mwisho na wakiume pekee kwao(MMACHAME)Na mm ni mtoto wa 4 kati ya watoto 5(MBENA). Tulioana yeye akiwa na miaka 24 na mm nikiwa na 21, maisha yt yalikua ya chini sana lkn tuliish kwa furaha na upendo wa hali ya juu sana na dada zake walianza chokochoko...
  12. K

    kutoa mimba.......

    Unakufwa avae
  13. K

    Ndoa yangu inakaribia kuvunjika,msaada jamani

    Mimi ni mpare na mume wangu ni mchaga (MMACHAME)....ndoa yetu ina miaka 6 na miaka yote tumeishi kwa furaha na upendo..Mumgu ametujalia watoto 2 mkubwa 5yrs wa kike mdogo 3 month wakiume...Toka nijifungue mtoto huyu wa kiume mume wangu amepunguza mapenzi na mimi na wala hampendi kabisha huyu...
  14. K

    Wazee Mtwara wataka katiba mpya impe madaraka zaidi Rais

    Labda wameambiwa rais ajaye atatoka Ntwala,wanategemea kubebwa
  15. K

    Vituko vya spika MAKINDA

    Anafaa kuwa mke wa Pi.nda
  16. K

    Naombeni PUK za 0714431334

    Mi niko mbali sana na ofisi za tigo,Nimejitahd kupiga huduma kwa wateja lkn sijapata ufumbuzi, KWA YYT ATAKAYEWEZA KUNITAFTIA NAMSHUKURU SANA.kwa niaba ya mwenye no.wenu KIMA MDOGO
  17. K

    Mume wangu karogwa.

    Alikua mume mwema sana,Mwenye upendo wa hali ya juu sana na mimi na mwanae,Alianza kubadilia baada ya mimi kubeba mimba,Alikua mkatili sana kwangu na hakunijali kabisa kwa kipindi chote cha ujauzito,Niliumia lakini nilijipa moyo kw huenda ni kutokana na ujauzito,...nilishtuka sana baada ya...
Back
Top Bottom