Search results

  1. incognitoTz

    Watanzania hatuna mtetezi. Kampuni za simu zinafanya zitakavyo

    Sitaki kuamini kwamba, Kuna namna moja au nyingine ambayo huyu waziri wa sasa wa sekta hii ananufaika na hili au BIG GUNS wa mashirika hayo ni watu wake wa karibu na hana uwezo wa kuwafanya lolote. Biashara hii sasa inaendeshwa kama magenge ya dawa za kulevya. Biashara ambazo unakuta wasemaji...
  2. incognitoTz

    Gen. Makenga, kamanda mkuu wa M23 amerudi DRC kuongoza mashambulizi

    Nadhani alikuwa Rwanda. Kwa vuguvugu la Rwanda na Congo la hivi karibuni, lilikuwa swala la muda tu Rwanda kuanza kujibu mapigo.
  3. incognitoTz

    NETWORKING: Msaada Wireless router inamaliza bundle haraka

    Most of the time computer huwa zinatreat Routers kama unmetred network. Chakufanya 1.Hakishasha kila pc unayo connect, network iwe umeiset ni metred connection. 2.Hakisha hakuna mtu mwengine anaye jua hiyo password, ongeza ugumu wa password ikiwezekena. 3. Hakisha umezima huduma za cloud sync...
  4. incognitoTz

    Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

    Story ya Devi kumkalisha Goliath in a single combat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. incognitoTz

    Israel isingekuwa na Iron dome defense system ingekuwa habari nyingine

    Israel are Jewish as a Nation and as a religion, they are not Christians they don't even believe in Christianity. When you're talking about them don't think you're supporting any form of crusade to support your religion. These people are extremely racists and they are always in dark motive that...
  6. incognitoTz

    Hili neno "literal" maana yake nini?

    Katika mazungumzo ya kawaida mtu anaweza kutumia mitindo ya lugha miwili ambayo ni moja kwa moja yani Halisi ama tamathali za semi akiwa ana dhumuni moja la mazungumzo au context moja, wenzetu huwa wana haya maneno; Literally and Metaphorically kwenye hili la hapa ni Halisi na Sitiari ndio...
  7. incognitoTz

    Dereva wa treni anaitwaje?

    Jina maarufu ni Engineer majina mengine ni Loco Pilot, Locomotive Driver, Engine Driver, Train Driver inategemea na nchi lakini Engineer ndio tunapaswa kutumia
  8. incognitoTz

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Kumbe ulishamaliza chuo, haya sasa njoo utupe mrejesho [emoji856][emoji856]
  9. incognitoTz

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Wewe tulia usichangia kitu, subiri mpaka umalize chuo ndio utoe huu ushauri wako, you are still in apprenticeship. Ngoja wazoefu waje [emoji23][emoji23]
  10. incognitoTz

    Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    Wew fala tukikujua inabidi tukupe doso kali sana [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. incognitoTz

    Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. incognitoTz

    Je, kuna game kali lingine kama hili#Cover strike?

    Wewe haujawahi kucheza PUBG, PUBG hauchezi na Computure, PUBG ni kama LAN party hivi unacheza na binadamu wenzako, ambao wanambinu zinazo badirika kila wakati, hakuna Algorithms wala, pre created character, unaingia online unajoin match watu waliojoin wakifika 100, match inaanza, hakuna sehemu...
  13. incognitoTz

    OMBI: Mwenye code au Note za wimbo wa "Parapanda Italia"

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ushindwe!
  14. incognitoTz

    Ingekua vizuri mitani ya UE Vyuo Vikuu iwe inatungwa na kusahihishwa na TCU

    HII HOJA NI DHAIFU SANA, Kwanza inapaswa tuelewe Chuo si shule za ukwanza na upili. Chuo hakisifiwa kwa kutoa GPA kubwa. Chuo ni taasisi ya elimu inayotoa ujuzi wa juu au mafunzo maalum ya kitaaluma au ya ufundi. Sifa kuu ya chuo ni kuwaanda vijana waendane na mahitaji ya soko la ajira. MIT...
  15. incognitoTz

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Hapo 835KJ Mgambo, baada ya doso la siku nzima wazalendo tulikuwa hangani tunapiga soga, matusi na story za hapa na pale, kumbe kuna maafande wanasikiliza kwa nje, mdudu sijui kinachoendelea nimejilaza kitanda cha kwanza juu kutoka lango la hanga, kumbe kuna afande kaingia kimya kimya akanishika...
  16. incognitoTz

    Mfahamu Carlos the Jackal: Gaidi tishio zaidi kuwahi kutokea duniani

    Maana yake OBL alikuwa organized kuliko huyu jamaa
  17. incognitoTz

    Serikali tumieni kodi ya nyumba ku-discourage ujenzi holela wa makazi na vibanda

    Hakuna unachokitafuta ni urasimu tu, serikali za mitaa bado hazijashindwa kudeal na ujenzi holela shida ni kutowajibika tu.
  18. incognitoTz

    Kitendo cha mabeberu kufungasha na ongezeko la utitiri wa kodi

    Swala la muda, kwa curves cross against each other, tutakuja kuwasikia hapa mkileta hizi hoja.
Back
Top Bottom