Search results

  1. nipekidogo

    Ubaguzi katika kuwazika wanaokufa kipindi hiki!

    Salaam sana! Tuendelee kuchukua tahadhari katika kipindi hiki cha janga la Corona kama inavyoshauriwa. Moja kwa moja niende kwenye mada wakuu wiki hizi mbili tumepata taarifa za watu wengi kufariki ikiwemo viongozi wastaafu na wabunge, Jana tumepata taarifa za kufariki Mbunge Ndassa...
  2. nipekidogo

    Hatimaye Muhimbili wameturuhusu kumzika mpendwa wetu!

    Salaam! Wadau mtakumbuka wakati nikichangia uzi wa mdau mmoja juzi uliohusiana na Muhimbili hospital nilieleza kisa cha binti wa darasa la tatu kuungua moto na baada ya kufariki wazazi waliambiwa wanatakiwa kulipa milioni 40 zilizotokana na matibabu ndipo waweze kupewa mwili. Binti huyu wa...
  3. nipekidogo

    Tegeta, Dar: Mapenzi yamekatisha maisha ya kijana mwenzetu

    Salaam wakuu! Kuna kila dalili vifo vinavyotokana na mapenzi kuzidi kuongezeka. Kwa masikitiko makubwa jana tumemuaga jamaa yetu aliyeshambuliwa na mke wake na kupelekea kufariki. Kwa mashuhuda waliowahi kufika eneo la tukio ni kwamba huyu kijana aliyezaliwa 1991 alikuwa akiishi maeneo ya...
  4. nipekidogo

    Niliyojifunza kupitia mbio za Mwenge 2019

    Salaam wote! Katika hangaika zangu za hapa na pale nilipata fursa ya kushiriki katika mbio za mwenge kwa baadhi ya mikoa ya Tanzania mwaka huu na kama tunavyojua Mwenge hukimbizwa Wilayani mpaka vijijini na unapokesha basi Mwenge hukesha sehemu iliyochangamka na Mara nyingi inakuwa kwenye Kata...
  5. nipekidogo

    VODACOM mmeanza kunyoosha mikono kwa jeuri zenu!

    Salam.. Nilianza kutumia mtandao wa vodacom mwaka 2004 kwa kipindi chote nilikuwa mteja muaminifu na kwakweli niliupenda huu mtandao, siku za hivi karibuni walianza upumbavu wa kupandisha bei za vifurushi vyao, hatujakaa sawa mb zinakwenda kama Maji mtaroni. Hawakuishia hapo ukiacha salio...
  6. nipekidogo

    Msaada tafadhari, mwanamke kubleed mda mrefu

    Salaam, wandugu kuna mdada tuko kwenye mahusiano kwa mda sasa, kama wiki tatu zimepita nikiwa namgegeda style ya kuinama, namaanisha alikuwa amesimama ameinama ameshika kitanda nilimgegeda kwa dakika kadhaa hiyo style mpaka nilipofikia mshindo, nikiwa nakaribia kumaliza aliniambia nifanye...
  7. nipekidogo

    Kwa mvua hii, wafanyakazi wakichelewa kazini mabosi muelewe

    Salaam wakuu, Niko kwenye gari naelekea kazini, ile napanda gari Mbezi mwisho kwa Yusufu saa 11:40 imenyesha mvua balaa, na hii Barbara haina sehem ya kujinga kwa abiria wanaosubili daladala, ni shida tupu watu wanapanda gari wamelowa chapchapa, sasa hapa kwa amabae bado yuko nyumbani kuchelewa...
  8. nipekidogo

    Wanawake/wadada acheni maswali ya kipuuzi mnapofika nyumba ya kulala wageni

    Salam kwenu! Kuna haka katabia baadhi ya wanawake/wadada wamekuwa nako wanapofika gest kugegedwa, mdada unamtokea mnaanzisha mahusiano, unaomba ukambandue mnakubaliana anakwambia tafuta room utanielekeza nije. Mkifika anaanza kukuuliza baby umepajuaje hapa? Unakujaga na nani? Mala oooh mbona...
Back
Top Bottom