Search results

  1. msafiri27

    Ndege ya Rais wetu ipo Wapi?

    PPRA walikuwa hawajazaliwa.......:wave:
  2. msafiri27

    Wizi wa vijana wa IT Tigo Pesa

    Ngoja nicheck salio langu..........
  3. msafiri27

    Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

    Kisimu changu cha tochi mie.......
  4. msafiri27

    Natafuta mchumba

    ushanipata mdada....ondoa shaka
  5. msafiri27

    Nipo serious kwa 100%(natafuta mume wa maisha)

    kazi ipo.... na wahaya ndo wengi tunaolea kwenye jamii forum
  6. msafiri27

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    watanzania wote tuna akili za kushikiwa....... tumetawaliwa kwa kila kitu! acha tuuwane tuishe wabaki wenye akili.
  7. msafiri27

    Why High Court of Tanzania must issue interm order stopping the migration to DIGITAL TELEVISION

    NAJITAHIDI KUKUELEWA LAKINI NASHINDWA!!!!!:confused2:
  8. msafiri27

    TCRA, Tunaomba ufafanuzi

    Elfu kumi na nane za nini? tumeambiwa local channels zitakuwa za bure.....upuuzi mtupu! najiandaa kuandamana peke yangu, wanatangaza kuwa king'amuzi kinauzwa 39,000/= ukifika pale unaambiwa ni sh. 62,000/= nimeenda kufunga kimegoma wameniambia ninunue antena yao!!!????
  9. msafiri27

    Naamini mume anapatikana popote..basi nam natafuta mume ishaalah...

    Usipompata mpaka mwisho wa mwezi huu, ni pm mimi tuongee. mimi ni senior bachelor, ka elimu ka kutosha ninako, nilikuwa nime suspend suala la kuoa, lakini nina re-think msimamo wangu. karibu sana mdada.:bange:
  10. msafiri27

    Filikunjombe: Sikwenda Kigoma kumsafishia yeyote njia

    Kaaaaaazi kwelkwel...yetu macho na masikio
  11. msafiri27

    NSSF yaelekea kufilisika

    Aaama!....kuna udini tena huko!makubwa
  12. msafiri27

    Mbunge wa CHADEMA ahukumiwa jela

    Nyie vipi? jana kuna mmoja ka post thread humu jf akidai kuwa CDM wameshinda kesi........ au hukumu hii ina tafsiri nyingi tofauti?
  13. msafiri27

    Uamsho: Sasa Tunalivaa Swala La Kuuvunja Muungano Kiimani. Tuko Tayari Kwa Kila kitu

    UUUUUUUUUUUUWIIIIIIIIIIII!!!!! MANG'ANA GASARIKILE !!!!!!!:spy:
  14. msafiri27

    Hivi daktari ana thamani kuliko binadamu wengine???

    LA KUACHA WALIPA KODI WAFE?.....HAPANA!!!!! vifaa tiba havipo tunakubali, lakini uwepo tu wa daktari maeneo yale mgonjwa angalau ana kuwa na matumaini fulani. Chonde madaktari rudisheni mioyo nyuma ili mtuhudumie wagonjwa. hii serikali tuachieni sisi tuitie discpline kwenye ballot box 2015...
  15. msafiri27

    CV ya Freeman Mbowe hii hapa

    so what?....... nini kilitaka kuwa conveyed hapa. ki ukweli kabisa siajelewa.
  16. msafiri27

    Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

    na bado.... kuna kitu imetulia pale Raskazoni Tanga, adjacent na beach inaitwa TANGA BEACH RESORT... taasisi nyingi za serikali zinaenda kufanyia mikutano pale
  17. msafiri27

    The Power of Letting Go....

    Niliachwa ghafla bila kuambiwa sababu ya kuachwa. Nilijitahidi ku let go...... ilinisumbua kwa muda mrefu sana ingawa sikuendelea kubembeleza. Akili yangu iligoma kukubaliana na hali halisi kwa kutoelezwa what went wrong.... hadi mahusiano yakavunjwa
  18. msafiri27

    Membe: Wizi ulipangwa Hazina

    UCHAGUZI UJAO NAGOMBEA URAIS. 3.5 BIL. KWA SAFARI TU? TENA INAWEZEKANA HIZO NI ZA MWEZI MMOJA TU! KWANI WASINGEJARIBU KUCHOTA BILA WOGA WA KUSHTUKIWA. MUNGU WANGU! WAVUJA JASHO TUNAIBIWA BILA HATA CHEMBE YA HURUMA!!!! JAMANI MUOGOPENI MUNGU. Na Alfred Lucas - Imechapwa 20 June 2012 WAZIRI wa...
  19. msafiri27

    Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

    Wahenga walishaga sema kitambo, Ukiwa mjinga kaa kimya ili watu wadhani kuwa wewe nimjinga kuliko kuongea na watu wakathibitisha kuwa wewe kweli ni mjinga. Sasa Ngereja anona alivyoumbuka
Back
Top Bottom