Search results

  1. Phdum

    USHAURI: Mdogo wangu amekataa shule, nataka nimtafutie fani ya ufundi asiwe mzigo mbeleni

    Naombeni ushauri kuhusu mdogo wangu wa kiume ambaye hajamaliza hata shule ya msingi na sasa amekuwa mzigo, kwani mawazo ya kusoma hana. Nataka nimtafutie fani (ufundi) ili mbeleni asijekuwa mzigo, kumbuka ni miaka 18+. Naombeni ushauri wa fani inayoweza kumfaa na labda pia kama mnajua chuo cha...
  2. Phdum

    Wanaume siku hizi tunalalamika kukosa nguvu za kiume lakini kuna baadhi ya mambo hatuyazingatii

    Kama mada inavyosema , siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kulalamika kukosa nguvu za kiume. Kwenye tatizo hili wamegawanyika makundi makundi lakini leo nitaongelea kundi la wale wenye kimoja chali. Hapa unakuta mwanaume anakuwa na hamu lakini roundi ya kwanza tu hana tena hamu ya...
  3. Phdum

    Naombeni nyimbo za worship za live iwe ya Tanzania,south africa na nigeria

    Wakuu naombeni nyimbo za kuabudu za live ziwe za Tanzania, south africa, nigeria na congo kwa mbaali mfano hawa Neema gospel choir na wimbo wao wa wema umenivutia kidgo kutazama.
  4. Phdum

    Nina damu group 0+ na mke wangu ana group 0- msaada tafadhali

    Habari waungwana, Niende moja kwa moja kwenye mada, ni hivi mimi Nina group 0+ lakin wife ana 0- mke wangu alipopata ujauzito niliambiwa ili mtoto wetu aweze kuishi ni lazima achome sindano ya ant-D. Sindano moja tu inauzwa laki mbili na elfu themanini kwa kipindi hicho na kweli alichoma...
  5. Phdum

    Msaada: Mwanangu hapati maziwa ya kutosha kutoka kwa mama yake

    Habari zenu wana jf? Ni mwezi sasa toka mama watoto wangu ajifungue lakini toka alivyojifungua alikuwa na tatizo la maziwa kuwa machache. Na tukafanya kila mbinu ili mziwa yaongezeke ikiwa ni pamoja na kumuwekea ratiba ya kunywa supu ya makongoro, kula ugali wa dona pamoja na kumtengenezea uji...
  6. Phdum

    Wamiliki na madereva wa pikipiki (bodaboda), bajaji, daladala njooni tuambizane changamoto tunazokutana nazo

    Wakuu, Kama unamiliki bodaboda, bajaji na daladala, karibu tujadili changamoto tunazopata kutoka kwa watu tuliowaamini na kuwakabidhi vyombo wasimamie. Pia kama wewe umewahi kuwa dereva au ni dereva na umekabidhiwa chombo njoo tujadili changamoto tunazokumbana nazo kutoka kwa mabosi...
  7. Phdum

    MARA: Watu watatu wafariki kisa wivu wa mapenzi

    Watu 3 wakazi wa Kijiji cha Busekera Wilayani Musoma, Mara wamefariki Dunia katika tukio linalohusisha wivu wa kimapenzi ambapo Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Omari anadaiwa kumuua mpenzi wake Paulina Paul kwa kumchoma kisu tumboni mara mbili akidai arejeshewe simu yake ambayo alimpa...
  8. Phdum

    Ha! Kumbe nilivamia majukwaa mengine bila kuja huku kujitambilisha

    Aya aya aya bandugu naitwa RAOLUOROLIECH ukipenda unaweza kuimalizia kwakuniita Raoluorolirech LIECHLUORORAO naombeni mnikaribishe jf.
  9. Phdum

    Kwa wanawake tu: Je ni njia gani nzuri kusafisha sehemu ya siri?

    Dada zangu na wadogo zangu leo nina swali kwenu naombeni maoni yenu. Nimefanya utafiti nikagundua mnatumia njia mbalimbali mnazotumia kusafisha sehemu zenu za siri. Kuna njia ya kwanza ambayo wakati wa kusafishia huko kwenye gidhinyaku, mnaingiza vidole huko ndani ndani na mnachokonoa hasa huko...
  10. Phdum

    Hakuna atakayekuja kuwaelewa wanawake

    Hawa ndio mama zetu na dada zetu.
  11. Phdum

    Kwa wanaume tu: jaribu hii usiku wa leo.

    Kama unawahi kukojoa wakati wa sex na kuchelewa kurudia game (round 2) jaribu hii. Kuna mbinu nimekuwa nikitumia wiki tatu sasa naona ni nzuri ijaribu usiku wa leo halafu utaleta mrejessho. ipo hivi mbali na mambo mengine kama kubadili style mbalimbali wakati wa sex ili nidumu kwenye mechi kwa...
  12. Phdum

    Lap top dell insipron inauzwa

    Dell inspiron Hdd 500 Webcam Ram gb4 Processor intel(pentium) Ikiwa na action movie 50+. Series 10+. nyimbo 2000+ na vitabu kama 30+ Bei ni 350,000.
  13. Phdum

    Kwa wakazi wa Morogoro

    Naombeni kuuliza kama kuna sehemu wanauza bajaj used kwa Morogoro mjini.j
  14. Phdum

    Mtaani kwetu mambo ni moto

    Sikiliza mwenyewe
  15. Phdum

    Wazee wetu wana mambo mengi sana kuhusu maisha, tukae nao tupate japo kidogo tu. Soma hii...

    Vijana wa kileo hatuna kabisa desturi ya kukaa na wazee ili tupate madini waliyonayo. nakuhakikishia hawa wazee wanajua masuala mengi sana kuhusu maisha na vitu vingi walivyokuwa wanaona sio sahihi ila sisi vijana wa kileo tunaona ni sahihi huku tukisema ndio utandawazi. Sikia hii. Uliwahi...
  16. Phdum

    Kwa hiki kinachotokea kwenye ndoa ya alikiba ingetokea kwa diamond platnumz sasa hivi tungesikia kelele kila kona

    Nimeamini kuwa ili uchukiwe wewe fanya kazi kwa bidii kisha ufanikiwe na naweza kusema kuwa watanzania tuna wivu sana kwa waliofanikiwa hasa kama ametokea familia masikini kisha kwa juhudi zake akafanikiwa kimaisha. Sasa hivi kuna habari za chini chini zinazodai kuwa king wa bongo flava alikiba...
  17. Phdum

    Kwa wauzaji wa vifaa vya kompyuta (laptop)

    Naomba kujuzwa bei ya 1.RAM DDR3L kuanzia GB 4 kwenda juu 2.CORE i3,i5, na i7 Ahsanteni.
  18. Phdum

    Nipo katika mahusiano na mama mtoto wake naye kadata.

    Wakuu habari wakati mwingine mambo yanaweza kutokea mpaka usipate jibu. Ni kwamba nipo katika mahusiano na single mother na ana mtoto mkubwa wa kike miaka 18+ na mtoto anajua mahusiano yetu. Japo mahusiano yetu ni ya siri sana na huyu mama ndiye aliyemwambia mwanaye japo nikimuuliza mama kama...
  19. Phdum

    Nimejaribu kupiga windows 10 kwenye hp elitebook 820 bila mafanikio

    Wenye uzoefu katika hili naombeni msaada kwenu nina hp elitebook ambayo haina mlango wa disc inatumia usb naomba nieleze hatua nilizofanya kisha wataalam mtanishauri ni wapi nilikosea Hatua ya kwanza nilichukua flash nikaformat kisha nikaweka setup ya window 10 kuifanya kuwa bootable baadae...
  20. Phdum

    Gari la dangote lapinduka watano wapoteza maisha

    Watu watano wamefariki baada ya Gari la Dangote lililokuwa limebeba malighafi ya kutengenezea saruji likielekea Mtwara kugongana na Gari dogo na kupinduka kisha kuwaka moto baada ya kupoteza muelekeo na kugonga nguzo ya umeme ikaanguka na waya wenye moto ukanasa kwenye bodi ya gari hiyo ya...
Back
Top Bottom