Search results

  1. Phdum

    Fahamu haya kuhusu Ziwa Victoria 🇺🇬 🇹🇿 🇰🇪

    Asee kuna point nimepata hapo kwamba kumbe kenya wanamiliki 6% ya ziwa. Dah ila wakenya wako smart sana maana pamoja na kuwa wanamiliki sehemu ndogo sana ila wanaitangaza sana hili ziwa na ili kujiweka tofauti na wengine wenyewe wanatumia hilo jina "NAM LOLWE" Na hata hicho kisiwa cha migingo...
  2. Phdum

    Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Yap kudate na mama mtu kabla sijamuona binti yake kuja kumuona binti ndo nkapagawa mbaya zaidi kumbe mama alikuwa anamsimulia mtoto kila kitu hawa mama wa uswahilini si mtoto nae katengeneza mazingira dah. Iliniuma sana japo mama mtu hakujua ila mtoto alijua kila kitu ila like jambo lilinipa...
  3. Phdum

    KERO Elimu Bure ni nini? Je, ni sawa wazazi kuendelea kuchangishwa pesa za chakula, mpishi, usafi na mitihani ya kujipima?

    Lengo la serikali kwa sasa ni watoto wale shuleni lakini kwa akili ya watanzania akiwemo huyu jamaa inaonesha ni jinsi gani hatuelewi mambo yanavyoenda 1. Mtoto ni wako mwenyewe ila unaona karaha kumlipia chakula ale eti elimu bure. Kama ungekuja na sababu kuwa wanachanga hela afu walimu ndio...
  4. Phdum

    Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

    Jamaa kajua kutangaza biashara yake kijanja sana
  5. Phdum

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Mkuu naomba ufafanuzi wa namba 11 pliz sijaelewa
  6. Phdum

    Msaada wa ushauri kuhusu suala la hili la upimaji wa ardhi

    Chief unakitu naomba unisaidie hiki kitu. Je?, Unaponunua kiwanja hasa mjini ni nyaraka zipi muhimu kuwa nazo na je? Ni taarifa zipi muhimu napaswa niwe nazo juu ya kiwanja husika.
  7. Phdum

    Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

    Oya mzee kama huwezi pata mchepuko basi kajiunge kwenye chama cha chaputa(NYETO PARTY)
  8. Phdum

    Nawachukia sana hawa matapeli wanaouza dawa mbele ya misikiti

    Achana na unga wa muhogo tumia majan ya makunde,kivumbasi na chumvi ya mawe hakika kila kitu kitakuwa sawa😂😂😂 pole sana mzee
  9. Phdum

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ligi ya italia sio ya kubetia sijui kwann nilimuweka huyu juve
  10. Phdum

    USHAURI: Mdogo wangu amekataa shule, nataka nimtafutie fani ya ufundi asiwe mzigo mbeleni

    Ahsante saana naomba nikujibu kama ifuatayo. 1.kwanza yeye bado yupo nyumbani analelewa na ukimwambia habari ya maisha kuwa ni magumu haoni kama n kweli kwasababu bado analelewa 2.halewi, havuti sigara na kuhusu nidhani ni kuwa anaweza kuishi na mtu yeyote yule sema ana ka ushamba flani hvi...
  11. Phdum

    USHAURI: Mdogo wangu amekataa shule, nataka nimtafutie fani ya ufundi asiwe mzigo mbeleni

    Naombeni ushauri kuhusu mdogo wangu wa kiume ambaye hajamaliza hata shule ya msingi na sasa amekuwa mzigo, kwani mawazo ya kusoma hana. Nataka nimtafutie fani (ufundi) ili mbeleni asijekuwa mzigo, kumbuka ni miaka 18+. Naombeni ushauri wa fani inayoweza kumfaa na labda pia kama mnajua chuo cha...
  12. Phdum

    Simba wameachana na wachezaji Jean Baleke pamoja na Moses Phiri

    Subiri sasa matambara yatakayoletwa utasema bora hawa walioachwa. Simba ni upigaji tu
  13. Phdum

    Dah! Siku ya kwanza napiga mashine, siwezi sahau

    Wengine toka chekechea mpka tunakuwa watu wazima kuchezea gidhinyaku in (dj afro voice) ni sehemu yetu ya maisha
  14. Phdum

    DOKEZO Wanafunzi Wilaya ya Mbozi (Songwe) wanalimishwa kwenye mashamba binafsi ya Walimu

    Mzee baba hilo hata hulifanyeje haliwezi kuzuilika kwasababu mwalimu hayo ndio marupurupu yake na inavyoonekana wewe una roho mbaya tu kwa walimu. Au kwa kuwa ulienda kijijini umetaka kuonekana wewe ndio mjanja na labda umewaahidi wazazi utawapazia sauti. Walimu wanaishi maisha magumu mno kama...
  15. Phdum

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hakika nimejifunza series A sio ligi ya kubetia muda wote wanachoma
Back
Top Bottom