Search results

  1. kisokolokwinyo20

    Uzi Maalum Kwa Ajili ya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara - Sabasaba 2019

    Habari Wakuu, Ni kipindi kingine tena cha mwaka ambapo kama ilivyo ada kunakuwa na Maonesho ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba. Kupitia maonesho haya, wafanyabiashara na watoa huduma mbalimbali kwa jamii hupata nafasi ya kujinadi kwa shughuli mbalimbali wanazozifanya. Ni ukweli...
  2. kisokolokwinyo20

    Wanaofanya Mazoezi Daraja La Manzese Wamekosa Mahali Pengine?

    Wakuu habari ya asubuhi, Kwa Wale Wenyeji Wa Jiji La Dar Na Wanaopita Barabara Ya Morogoro Watakuwa Wanashuhudia Vijana Wengi Kiasi Wakifanya Mazoezi Ya Viungo Wengine Kama Wanapigana Ngumi Hasa Nyakati Za Asubuhi. Swali Langu. Je, Sahihi Kwa Vijana Hao Kufanya Mazoezi Eneo Hilo?
  3. kisokolokwinyo20

    Mada Maalum Kwa Wanaopenda Mabaamedi (Wahudumu wa Bar/Pub/Grocery)

    Wakuu habari za Jioni, Kuna hawa dada zetu wanaohudumu katika sehemu za kupata kilaji kama Bar, Grocery ama Pub ambao jina maarufu ni Bar Maid (Baamedi). Wadada hawa wapo katika nafadi ambayo wanaume wakware wakishapata kilaji kikakaa kichwani huingiwa na matamanio ya kuwa na kimwili faragha...
  4. kisokolokwinyo20

    Mada Maalum Kwa Wanaopenda Mabaamedi

    Wakuu habari za Jioni, Kuna hawa dada zetu wanaohudumu katika sehemu za kupata kilaji kama Bar, Grocery ama Pub ambao jina maarufu ni Bar Maid (Baamedi). Wadada hawa wapo katika nafadi ambayo wanaume wakware wakishapata kilaji kikakaa kichwani huingiwa na matamanio ya kuwa na kimwili faragha...
  5. kisokolokwinyo20

    Mapenzi na Kinga

    Aliyegundua hizi kondomu za vipelevipele ama studs ana akili sana....kama hizi fiesta condom dah yani zinakufanya unafurahia tendo kabisa kama uko nyama kwa nyama kumbe umevaa kinga. Wakuu tumieni kinga wakati wa kugegedana. Ngoja niendelee nilipoiahia jana na hivi playlist imejaa[emoji39]
  6. kisokolokwinyo20

    Siku Ya Wababa Duniani (Father's Day)

    Natanguliza SAMAHANI! Hii siku ya Babaz inaeleweka nakuthaminiwa sana na wale waliolelewa na baba zao tu ila nyie wengine mliolelewa na Mama zenu pekee hamtapenda hata kuisikia kwakuwa mara nyingi mama zenu walishawajengea chuki dhidi ya baba zenu tokea utotoni mwenu. Mama anamwaga sumu kwa...
  7. kisokolokwinyo20

    Kujichanganya na jamii ni afya sio kuwa mbinafsi

    Habari wanajamvi, Hapa Duniani kuna watu wa aina mbalimbali lakini leo ningependa kuzungumzia watu wawili ambao mmoja hujichanganya na jamii inayomzunguka na kuwa na mashirikiano nayo lakini pia kuna wale ambao ni watu wa kujitenga na hawaamini kabisa katika kuwa na ukaribu na jamii yake. Ni...
  8. kisokolokwinyo20

    Playlist ya nyimbo za kusikiliza wakati wa kugegedana

    Wakuu naomba mnipatie list ya nyimbo nzuri za kuzisikiliza wakati wa tendo murua. Nimepata kadada kamoja nimekawinda mda mrefu sasa nataka nikachote vizuri kitandani. Just nyimbo za kuhamasisha na kuteka hisia tafadhali.
  9. kisokolokwinyo20

    Mada Maalum Kwa Mvuto wa Hisia za Kimapenzi Kwa Wanaume

    Habari ya usiku wakuu, Kila mwanaume huwa anapatwa hisia za kimapenzi kwa mwanamke kwa namna tofauti. Ngoja niwarudishe miaka ya nyuma kidogo 90's na mwanzoni mwa 200's ambapo wanawake walikuwa wakijiheshimu sana kimavazi na ilikuwa ni nadra sana kuona maumbile yake yakiwa wazi kama sehemu za...
  10. kisokolokwinyo20

    Kugeuza nguo na kuanika juani baada ya kufua

    Wakuu habari za jioni, Naomba niende moja kwa moja kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Ni hivi katika jamii yetu wengi tukifua nguzo zetu tumekuwa tukizigeuza Nje Ndani kisha tunazianika. Najiuliza huu utaratibu umethibitishwa kisayansi unasaidia ukaukaji wa nguo au ni mazoea tu? Au kuna...
  11. kisokolokwinyo20

    TAHADHARI: Kuna Namba 0653532823 Inapiga Simu Kujidai Ni Mfanyakazi Wa Tigo Kitengo Cha Tigo Gawio

    Wakuu Habari Ya Sikukuu ya Eid El Fitr, Kuna namba ambayo nimeandika hapo juu inapiga simu kwa wateja wa Tigo huku akijitambulisha kuwa ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Tigo toka Kitengo cha Tigo Gawio. Mtu huyo lengo lake ni kuhadaa watu ambao kama usipokuwa makini unaweza kulizwa...
  12. kisokolokwinyo20

    5N Pub Kimara Temboni

    Wakuu Naambiwa Maeneo Ya Kimara Temboni Imefunguliwa Bar Inaitwa 5N Kama Ile Iliyokuwepo Kimara Suca Hapo Awali. Naomba Kufahamishwa Ipo Temboni Maeneo Gani. Wasalaaam, Mjumbe Chama Cha Wanywa Bia (Walipa Kodi)
  13. kisokolokwinyo20

    Mifuko Mbadala

    Habari wanajamvi, nataka kufanya biashara ya kuuza mifuko mbadala yaani niwe 'supplier' madukani na kwenye supermarkets. Shida yangu ni wapi ambapo naweza nunua mingi kwa bei ya jumla nami nikajipatie kipato cha ziada maisha yasoge? Mwenye kujua kampuni inayozalisha au namna ya kufanya...
  14. kisokolokwinyo20

    Uzi Maalum kwa tuliokutana na Wapenzi wa maisha mitandaoni

    Hii mitandao ya kijamii imerahisisha maisha sana, yani unakutana na watu wengi ambao mkielewana mnakuwa jamaa wa karibu kabisa. Sasa kuna wale ambao tumekutana na Wapenzi wetu mitandaoni, huku bwana hakuhitaji mbwembwe nyingi zaidi ya visalamu na kumuweka mtoto bize na stori nyingi hadi anajaa...
  15. kisokolokwinyo20

    Mada Maalum kwa wale tuliokutana na Watu wanaoongea sana

    Kuna watu wamejaliiwa kuzungumza, yani mnaweza kukaa mahala akawa anaongea yeye tuu muda wote. Kiukweli hawa watu wanaboa hasa ukutane na yule mjuaji na mbishi yani ukitaka kumuongelesha tuu utasiki 'sikiliza wewe mimi najua' ni hivi na hivi na vile. Nyie waongeaji embu punguzeni kidogo na...
  16. kisokolokwinyo20

    Uzi Maalum Kwa Tuliowahi Kupoteza/Kudondosha Hela

    Kitu kinachoitwa fedha hupatikana kwa shida, nguvu na mateso mengi hivyo upotevu wake wa namna yoyote ile huleta maumivu mengi. Sasa kuna siku bwana nakumbuka ilikuwa mwaka 2003 nilikuwa na shilingi elfu 5 tuu katika misele yangu ndio narudi nyumbani sikumbuki kilitokea nini ila nikajikuta...
  17. kisokolokwinyo20

    Katika maisha unaweza kuwa rubani au abiria

    Habari ndugu zangu, Ni Matumaini yangu kuwa mko salama na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku katika kuhakikisha kuwa tunajijenga binafsi pamoja na nchi yetu kwa ujumla. Katika maisha haya kila mtu ana kipawa chake, uwezo wake, nafasi yake na kubwa zaidi ni akili za kujituma. Kupitia...
  18. kisokolokwinyo20

    Asee Bia In Tamu Sana

    Baada ya Pilika Za Kutwa Nzima Ya Leo Nikaona Jioni Hii Nikae Kilingeni Nipate Moja Moto Moja Baridi Niondoe Uchovu Mwingi Wa Kutumikisha Akili Na Mwili Wangu. Asee Bia Zinashuka Tuu No Tamu Balaa Yani Hapa Nahisi Poa Sana. PS. Tafuta Pesa Kisha Tumia Urudishe Pesa Kwenye Mzunguko Na Wengine...
  19. kisokolokwinyo20

    Uzi Maalum Kwa Wanaopenda Kulakula

    Ebana huu ni uzi kwa wale ambao appetite zetu zipo juu muda wote yani tumbo likiona karanga linaweka, likikaa kidogo chips mayai, baada ya muda kidogo tunatupia utumbo yani ali mradi tumbo lipo active na enzymes wanajionea sampuli nyingi za vyakula. Twende kazi
  20. kisokolokwinyo20

    Kuna Ukweli Hapa?

    BAADHI YA TABIA NA MUONEKANO WA MWANAUME ASIYE NA PESA!![emoji116]. 1. Viatu huisha upande mmoja 2. Huitika hata mara 5 akiitwa mara 1 3. Hukimbilia Remote akiwa ugenini 4. Hunywea maji kwenye jagi hata kama kuna glass au kikombe 5. Suruali kunasa kwenye makalio mara kwa mara 6. Tone la mkojo...
Back
Top Bottom