Search results

  1. W

    jokes

    Umasikimi ukiupa kisogo unauogopa unatakiwa umasikini upeweee...sura
  2. W

    Nini kilichotokea?????????????????

    alafu baada ya kutua juu ya mgongo wa fundi kisima ikawaje?
  3. W

    Baraza la Taifa la Katiba Tanzania linahitajika haraka sana !!!!???

    kama kichwa cha habari kinavyo jieleza na kama nilivyokwisha changia mada hii,ningependa kuongeza mambo machache kuhusu njia zitumikazo kukusanya taarifa au kero zitolewazo na wananchi.Nitajitaidi kukumbuka machache ambayo muheshimiwa rais J K KIKWETE aliyazungumzia wakati wa mchakato wa katiba...
  4. W

    Elections 2010 Igunga: Mbunge kunywa sumu CCM ikishindwa

    Si ameshapewa taarifa ya kiasi cha vitambulisho vya mpiga kura vilivyonunuliwa mpaka sasa na vilivyoorodheshwa na wenyewe kutishwa mkiwapigia upinzani tutajua namba zenu tunazo.sasa hukounakotaka kufika kwa hisia potofu ndipokunako watisha watanzania na kutokupigia kura chama chenye vitisho na...
  5. W

    Baraza la Taifa la Katiba Tanzania linahitajika haraka sana !!!!???

    kama watashirikiana kwa nia moja, nguvu moja,sauti moja,bila kujali itikadi zao na kutanguliza uzarendo na mapenzi ya nchi hii kwakweli litafanikiwa kwa asilimia miamoja
  6. W

    jokes

    mzee mmoja aliekuwa pande la baba miraba minne alikua akitaniana na mjukuu wake mambo yakawa hivi: mjukuu: eti babu uliniambia nianze kuesabbuu,; mmoja niongeze neno kablaya mmoja ambalo ni mtu na mbele ya neno moja kuwe na neno wewe unapata sentesi MTU MMOJA WEWE NA je nikianza kuesabu kuanzia...
  7. W

    Tunachogombania ni Urithi Wetu! - Ilani ya Maskini

    mimi ningeanza na ushauri badala ya lawama kwamba tuishinikize katiba iwe na kipaumbele kikuu cha elimu kwa vijana wapate nafasi za kusomeshwa ili walitumikie taifa,elimu inayopaswa itolewe kipaumbele ni elimu ya juu namanisha vyuoni nakuendelea,elimu hii iendane na mambo yote anayopaswa kijana...
  8. W

    CCM maji shingoni Igunga

    subiri matokeoooo
Back
Top Bottom