Search results

  1. ZENTEL

    Jaribu kuandika jina lako kijapani

    A- ka b- tu c- mi d- te e- ku f- lu g- ji h- ri i- ki j- zu k- me l- ta m- rin n- to o- mo p- no q- ke r- shi s- ari t- chi u- do v- ru w- mei x- na y- fu z- zi
  2. ZENTEL

    Ndoa za kikristo ni mkataba wa milele......

    nataka kujua ivi mfano umemuona mmeo au mkeo ametoka mwa m/ke au m/me gest na mtu unaemjua kabisa ana h.i.v ...............na ukagoma kulala nae kwa madai ya kwamba mpaka mpime..........mkipima mwenzio ana hiv we huna je mtaachana au mtaendelea kuwa mtu na mumewe? Utakubali upate hiv na ww kwa...
  3. ZENTEL

    Kati ya tamaa na upendo kitu gani kinaanza?

    Hivi wale wanao anzisha uhusiano kwanza wanaanza kutamaniana au wanapendana? Mi binafsi naona kama tamaa then baadae unapenda au waonaje?
  4. ZENTEL

    Wanafumzi wa vyuo na mapedeshhee

    Tamaa ina changia, binti anajikuta anahitaji nguo nzuri, viatu, hand bag na amechishe kuanzia hereni, nguo, viatu, mkoba mpaka nywele, halafu mtu wenyewe masikini wakati kilasiku anahitaji kubadili nguo ili nae aonekane wa kisasa, cha msingi wanaona bora watafute vizee vya TRA, BOT, ili wawa...
Back
Top Bottom