Search results

  1. nez-o

    Nina mil 5 cash nahitaji suzuki jimny au toyotaa terious haraka

    Mi siangalii namba gari iwe nzima kwahyo no D niwe na ngapi mkuu
  2. nez-o

    Nina mil 5 cash nahitaji suzuki jimny au toyotaa terious haraka

    Poa mkuu vp bei yake iko vzr?
  3. nez-o

    Nina mil 5 cash nahitaji suzuki jimny au toyotaa terious haraka

    Moja kwa moja niende kwenye mada wadau nahitaji mwenye moja ya hizo gari hapo juu ani pm sitaki dalali narudia dalali usije anga zangu unaeuza uwe mwenye gari ukija dalali nakutoa nduki maana nyie ndo mnakwamisha wengine tusimiliki ndinga,vigezo isiwe na madeni na uwe tayari tuende na kadi tra...
  4. nez-o

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Na mimi niungwe kwenye group 0718319781
  5. nez-o

    Morogoro road Kwa sasa ndiyo barabara inayoongoza Kwa mvuto Tanzania

    Umefika barabara ya nanyamba chitohori nanguruwe hadi newala na masasi nakapanya mtambaswala kuelekea mpaka wa tanzania na Mozambique? Njoo uone barabara zenye mvuto sio huo uchafu unouongelea kila siku ajali iyo road unayoizungumzia! Barabara ziko huku kwetu wee vp umezunguka tz yote ukaona bhana!
  6. nez-o

    Ni wakati wa baadhi ya viongozi kutembelea kaburi la Hayati Magufuli

    Wafu wakifa hawaskikii wala hawaoni mambo ya ulimwengu huu tulionao sasa wakalitembee kaburi ili iweje na itusaidie nn? Huo ni ulozi
  7. nez-o

    Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

    Maji ya kunywa tu huko dar ni ya mgawo ndo mupate maji ya kujaza bwawa! Mmeharibu mamilioni ya miti huko rufiji kisa Hilo bwawa lenu halafu mnamuomba mungu mvua sasa Hilo bwawa mtalijaza na mikojo yenu, nyie hamjui misitu huleta mvua ?mmeharibu mazingira kwa kukatakata miti kisa kujenga bwawa...
  8. nez-o

    Hakuna movie kali ya kivita kuzidi Saving Private Ryan

    Kuna mashine inaitwa windtaker hatari
  9. nez-o

    Biashara ya Vanilla, Tshs 850,000 kwa kilo; Kuna nini nyuma ya tangazo hili?

    Hao Kama jatu kabisa[emoji23][emoji23]
  10. nez-o

    Mkurugenzi (DED) Masasi DC amvua cheo Mwalimu Mkuu kisa kushindwa kuchangia chochote kwenye ziara ya Mbunge

    Kaka nilikuwepo si unajua bush ukisikia mbuge anakuja unakosaje nilienda kusikiliza mbunge anaongea nn ndo nikakutana na dhahma hiyo mkuu
  11. nez-o

    Mkurugenzi (DED) Masasi DC amvua cheo Mwalimu Mkuu kisa kushindwa kuchangia chochote kwenye ziara ya Mbunge

    Kabisa na ambao walichelewa kupita mbele wakati anawaita kawaambia anahitaji maelezo yao j3 asubuhi ya kwann yy anaita walimu mpooo? Wao wamekula kimya kwa wananchi huko wamejificha eti haiwezekan yy boss wao kachangia laki tano alafu wao wako pale wasitoe chochote wakti yy ndo mwajiri wao yaani...
  12. nez-o

    Mkurugenzi (DED) Masasi DC amvua cheo Mwalimu Mkuu kisa kushindwa kuchangia chochote kwenye ziara ya Mbunge

    Ndo utoke haitebo uje mpaka kwa wananchi uulize hakuna walimu waliojificha uku waje watoe ahadi kuwa Wana changia sh ngapi! Na wananchi wanajibu Hawa huku mheshimiwa wamejificha then unatolewa mkuku mkuku alafu unaambiwa ahidi apo kuanzia mifuko miwili ya cement sio mmoja na anataka ile ya 42.5...
  13. nez-o

    Mkurugenzi (DED) Masasi DC amvua cheo Mwalimu Mkuu kisa kushindwa kuchangia chochote kwenye ziara ya Mbunge

    Kabisa mkuu uongozi hauko ivo sasa mtu kuchelewa kutoa ahadi kwamba atachangia sh flani ndo umshushe cheo kweli kwa mbwembwe nyingi Tena mbele na Wana nchi alafu mwisho anasema nimekurudishia cheo chako mbunge amekuombea msamaha kwa wananchi daa nchi ngumu hii
Back
Top Bottom