Search results

  1. mbenda said

    Nauza maboksi ambayo hayana kitu

    Ninauza mabox ambayo hayana kitu, box lina upana wa nchi 11 na urefu wa nch 17.5 box lina kina cha inch 17. Ukiitaji kuanzi 70 unaletewa bule ukiwa Dar, kila box moja bei ni sh 1000. Unaweza kuja ukanicheki whatsapp kwa simu no. 0785332010, nipo Kigogo ya Gongo la Mboto. Karibu.
  2. mbenda said

    House4Sale Nyumba inauzwa Dar es Salaam

    TANGAZO LA KUUZA NYUMBA NYUMBA INAUZWA IPO GONGO LA MBOTO JIJINI DAR ES SALAM NYUMBA ZIPO MBILI KUBWA NA NDOGO (BANDA LA UWANI) NYUMBA KUBWA INA VYUMBA 3 CHOO CHA NDANI JIKO NA SITING ROAM NYUMBA NDOGO INA VYUMBA 4 KTK VYUMBA HIVYO , VYUMBA 2 VINA VYOO NDANI KWA NDANI NA VYUMBA VIWILI VYOO...
  3. mbenda said

    Fursa kwa wenye mitaji midogo

    Habari wana jamii, poleni kwa pilika pilika za wiki nzima, poleni karani wa sensa kwa kazi ngumu. Nimekuja hapa kwa ajili ya kusaidiana kujikwamua kimaisha hasa wale wenye mitaji midogo. Ikiwa una mtaji kuanzia sh laki 5 - 8 na upo Dar, nakukaribisha ufanye biashara hii ambayo ukiwa tayari...
  4. mbenda said

    Natamani kumuuliza mume wa mchepuko wangu alitumia mbinu gani kufanya mke wake atulie ili nami mke wangu atulie

    Habari wa JF natumai ni wazima wa afya tele.poleni wagonjwa . Miaka fulani nilikuwa naishi ktk mji fulani, sasa siku moja nilikwenda kumtembelea rafiki yangu ambae alikuwa anamiliki duka la kuuza simu. Nilipofika pale wakati tuaendelea na mazungumzo akaja mdada fulani hivi yule mdada alikuwa...
  5. mbenda said

    Uzi huu ni wa kuandika tu sio kutuma picha ukiwa na kichekesho chako unaandika sio kutuma picha

    Habari ndugu zangu , leo nimeona nianzishe uzi huu wa vunja mbavu lengo ni kuchangamsha akili pale unapoona haupo sawa. Uzi huu ni wa kuandika tu sio kutuma picha ukiwa na kichekesho chako unaandika sio kutuma picha za vichekesho .mm naanza na hiki. Kuna mtanzania alizamia meli na kwenda...
  6. mbenda said

    INAUZWA Pikipiki zinauzwa Kiwalani Dar es Salaam

    Habari wa jf nauza pikipiki boxer 150 kwa bei ya sh milioni moja na laki 6, (1.6) inapatikana dar kiwalani, haina tatizo lolote karibuni wateja , 0785332010 au 0719103409
  7. mbenda said

    Ni ipi faida ya Bima ya vyombo vya moto?

    Habari wana zengo natumai wote ni wazima wa afya tele. Mm naomba kufahamishwa faida ya bima ya vyombo vya moto hasa hii bima ndogo ambayo ni lazima kila chombo cha moto uwe nacho, mm naomba kujua nn faida ya huyu mmili wa chombo kama piki piki, bajaji na gali anapata faida gani akiwa nayo?
  8. mbenda said

    Natafuta gari ya kukodi

    Habari wana jf, Kwa siku ya kesho alhamisi ya trh18/02/2021 natafuta gari aina costa au hiace nipo Dar-es-Salaam Kiwalani, gari inatakiwa saa 11 jioni inatakiwa hapa hapa Dar haitoki nje ya jiji? mwenye nayo anaweza kunicheki kwa simu 0785332010 au 0719103409
  9. mbenda said

    Nawaalika wote kwenye shughuli fupi ya kupeleka mahali kwa familia ya mchumba wangu

    Habari za mihangaiko ndugu jamaa na marafil wa jf. Natumai wazima wa afya tele, Mm pia cjambo Wana jamii wenzang ,wake kwa waume vijana kwa wazee, mabibi na mabwana napenda kufuchuka nafasi ya kuwaalika wote kwenye shughuli fupi ya kupeleka mahali kwa familia ya mchumba wangu iliopo majohe...
  10. mbenda said

    Nipo njia panda wazee, nimeamua nikae chini kwanza niandike ujumbe huu

    Nimeamka asubuhi baada ya kujiandaa nikaelekea ofisini kwangu kama ada. Ofisi yangu ipo mbali lakini kutokana na huu uchumi kati, huwa natembea kwa miguu. Kufika ofisini nikakumbuka kwamba nimesahau funguo ya ofisi nyumbani hivyo nikaacha begi kwa jirani nikachukue funguo. Kufika home...
  11. mbenda said

    Naomba majibu yako hapa kuhusu JF

    Habari wana JF, natumai ni wazima wa afya tele. Poleni mliokuwa mahospitlini muda huu Allah atawafanyia wepesi. Pole mnaopitia changamoto mbali mbali za kimaisha kwa sasa naamini Allah atawafanyia wepesi . Poleni wafanyakazi wate kwa kupambana na kibarua chenu ili mtelekeze majukumu ya kazi...
  12. mbenda said

    Ulichotegemea ndicho ulichokikuta ndani ya ndoa yako?

    Asalam alaykum mabibi na mabwana, poleni kwa majukumu ya kazi za kila siku na kulea watoto. Je, wewe ni mke au mume? Je, umeoa au kuolewa? Ndoa yako bado ina Furaha na amani? Unaishi vile ulivyotegemea kalba ya ndoa? Haya ni baadhi ya maswali muhimu kujiuliza ikiwa upo ndani ya ndoa...
  13. mbenda said

    Mke anahitajika

    Habarai wana jamii , kuna rafiki yangu , alinipa kazi ya kuwa mshenga ,( kupeleka barua ya uchumba kwa wazazi wa binti) mm nikakubali nikaandika barua na ikapangwa siku ya kupeka, ilipofika cku ya kupeleka barua bint akasema hayupo tayali kwa hiyo ikawa imekwisha hiyo. Sasa anaitajika mwanamke...
  14. mbenda said

    Msaada tafadhali kuhusu TIN

    Habari wakuu, Mimi nilikuwa na TIN toka mwaka 2011 na biashara ile sikudumu nayo hata mwaka kwa hiyo leseni ya biashara na tin yake vikawa vimeishia hapo, kipindi kile nafungua biashara makadilio ya Kodi ni sh 35000. Sasa mwaka huu naitaji kuanza kutumia TIN yangu hapa nawaza kwenda TRA nami...
  15. mbenda said

    Nahitaji pikipiki ya kununua aina ya boxer

    Habari wana Zengo, Rafilki yangu anaitaji piki piki boxer ya kununua. Yupo Dar es salaam. Piki piki iwe namba B au C Nahitaji mbili 125 au 150 Ofa yangu ni 850000 kwa kila moja karibuni PM wadau. Mwenye nayo akuje PM.
  16. mbenda said

    Nini maana ya neno "Utopolo"?

    Habari za kushehereke Uhuru wetu Watanzania, na wale wasiokuwa watanzania habarini za kazi. Kuna neno limezuka hapa katikati na limekuwa maarufu sanaa hasa ktk nyanja za soka lkn mm binafsi sijajua maana yake,. Naomba kuuliza nn maana ya neno" UTOPOLO?; maaana timu kongwe ya mpira wa miguu...
  17. mbenda said

    Natafuta rafiki

    Habari za jumatatu ya mwisho wa mwezi wana JF. Pole na pilika pilika za jumamosi na juamapili. Nisiwachoshe sana wana jf. Natafuta rafiki wa kike awe na umri wowote kuanzi miaka 20 na kuendelea. Awe anaishi Dar es Salaam Awe huru kwa lolote na chochote muda wowote, Natafuta rafiki wa kike...
  18. mbenda said

    Kilichonileta hapa ni kuomba kama kuna dawa ambayo mwanamke akinywa anapata hamu ya kufanya mapenzi

    Habari wana jf poleni na pilika pilika za kila siku, Naombeni MSAADA wa jambo hili tafadhali, Kuna mdada ana umri wa miaka 30 alikuwa hajawai kufanya tendo na toka avunje ungo alikuwa hajapata elimu ya usafi hasa ukeni kwa hiyo alikuwa hajawai kujisafika ndani ya uke kama wafanyavyo wanawake...
  19. mbenda said

    Nani anaadhirika baada ya Talaka?

    Naomba kujua hili kwa wanandoa wanapotalikiana (kuachana) nani anaadhirika zaidi kati ya Mwanamke au Mwanaume, na kwanini?
  20. mbenda said

    Watu wenye moyo Mpweke...

    Asalam alaykum, Nimekuja na mada ya watu wenye moyo mpweke nikimaanisha watu ambao waliiingia katika mahusiano kisha kupitia hayo mahusiano yakawatenda sanaaaaa kiasi cha kutoka na kuamu kuishi maisha ya upweke yaani moyo hautamani tena kuingia ktk mahusiano, unakaribishwa kusimulia kisa chako...
Back
Top Bottom