Search results

  1. mbenda said

    Mwanamke aliyekupendea hela unamfanyaje wewe kama Mwanaume?

    Kama upo njia panfa vunja nazi, zinaa sio kitu bora
  2. mbenda said

    Ukatili kwa watoto: kwanini madrasa huwa ni kawaida kuambatana na vipigo kwa watoto, walimu hawana mbinu mbadala kuwafunza?

    Unajua watu wengi wanaona elemu ya dini ni kitu cha ziada sana ndio maana adhabu ikitolewa ktk mafundisho ya dini inakuwa inaonekana kubwa kuliko ikitolewa shuleni. Wanafunzi shuleni wanapewa adha kubwa zaidi ya hizi, utakuta asubui unapipwa fimbo 3 za kuchewa namba. Mwalimu akiingia darasani...
  3. mbenda said

    Kodi ya uagizaji gari Japan kuja Tanzania unatisha. Land cruiser Prado bei TZS 40,638,290 (hadi Mwanza via DSM). Kodi + gharama zingine 42,060,235!!

    Kodi kubwa kila sehem yaan sijui wanazaza nn, nilienda ofc kwa jamaa ambae alikuwa ameagiza bia za thamani ya milion 12 ktk zile pia alikuwa amepewa risiti ya mashine mbili risiti moja ilikuwa nyenye dhamani ya sh 1,600,000 , kodi ilikuaa karubia kali 2 ,sasa nikawaza bia za milioni moja la kazi...
  4. mbenda said

    Viazi vitamu vyadaiwa kuzalisha mapacha

    Nikajua vinampa mimba mwanamke azae mapacha
  5. mbenda said

    Msaada wa Kubadili Shule Kidato cha Tano

    Nijupe namba ya mwalim jimmy??
  6. mbenda said

    Simiyu: Askari wawili wadaiwa kumshushia kipigo kijana na kumsababishia kifo wakimtuhumu kuiba baiskeli

    Kuna,siku raiya,wakiona mtu anapigwa nao wataingia kusaidia kisha polic watoke nduki
  7. mbenda said

    Msaada wa ushauri: Nimekosea kulipia control ya malipo ya mwanafunzi wa Chuo cha CBE

    Hapo unatakiwa kuwasiliana na mtandao uliotumia kulipa , hao watawasiliana yule dada mtu ambae mmemlipia kimakosa, yule akisema ni kweli imekosea mtarudishiwa mualama wako, lkn kama unaweza kumapata mtu uliemlipia kimakosa itakuwa rahisi zaid eidha akurudishie pesa ikiwa nae hajalipa,au...
  8. mbenda said

    Msaada wa ushauri: Nimekosea kulipia control ya malipo ya mwanafunzi wa Chuo cha CBE

    Kama ameshalipa huyu alielipiwa? Fikilia kisha utoe jibu ambalo halitazalisha swali
  9. mbenda said

    Ofisi za Bolt kufungwa

    Kuna siku wakati nafanya huduma hii,nilipata mteja kutoka kariakoo makutano uruhu na msimbazi, mteja alikuwa anakwenda chanika kwa ngwale, nikatoka pale mpaka machinga nikaingia nyerere road,mpka chanika namaliza safalu inakuja 20500 kumbe mteja kwake ilisoma 6000, itabidi anipe 10000, mm...
  10. mbenda said

    Kwanini Mwanza magari mengi ni Kluger?

    Kuna kabila fulani wana mambo ya kuigana, akiona mwenzia amenunua kifu fulani nae atanunua hicho hicho ndio mana ukiemda moja ya wilaya moro kuna prado nyingiii,
  11. mbenda said

    Nahisi kufa nahitaji msaada wa haraka

    Nenda kapime ,pole kwa kuumwa Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  12. mbenda said

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Habari ndugu jamaa na marafiki Leo nitazungumzia mambo mawili kuhusu single mother, kiufupi kundi hili la wanawake lipo ktk makundi 3 Kundi la kwanza Singo mother aliefiwa huyu ni ngumu sana kujua tabia yake kwa haraka lkn pia anaweza kuwa na tabia njema . Kundi la pili single mother aliekuwa...
  13. mbenda said

    Windows 10 CD installation inasumbua mnisaidie

    Tumia frash, yangu mm haikubali na cd hata ufanyaje,na kipindi kile nilikuwa ninatumia window 7 Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  14. mbenda said

    Tahadhari na ushauri wa ni msaada gani ninaoweza kupata kwa case ya muamala uliofanyika kama malipo ya deni

    Bado unamdai jamaa, maaana , fuata sheria , waambie ule muamala alionitumia umerudishwa , na mm sikupata pesa, , siku nyingine hamisha haraka au toa kwa wakala kabla hamjaachana,
  15. mbenda said

    Je, ni kweli Idd Amini alikuwa shujaa wa Afrika, Nyerere alitumiwa na wazungu kumchafua?

    Iddi amini lipindua inch, yeye akawa raisi, sasa lkn kabla ya hapo kanisa la roma walikuwa wamejenga kanisa kubwa sasa uganda ili litumike kama kituo kikuu cha makanisa yote ya ukanda wa nchi za mashariki, baada ya amini kuingia madarakani akachukua kanisa na kulifanya msikiti, Kitendo kile...
  16. mbenda said

    Nywele nyeupe sehem za siri, kwapani

    Sio uchafu hiyo ndivyo ilivyo,, shemeji yenu nae yupo hivyo hivyo na anaoga mara 3 kwa siku na kwa bibi kupo safi tu, lkn yakianza kuota yaani ile kuchomoza yanakuwa meupeee, ni hali ya kawaida tu
  17. mbenda said

    Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

    Ukweli nikikaa wiki 2 lazima ucku niote ndoto nyevu
  18. mbenda said

    Nimeamini mwanamke akikukataa wala usimpotezee, wewe mpe muda utakuja kupiga vizuri tu

    Uzi wako unahamasisha ngono alafu ww bado mtoto kwenye tansia ya mapenzi
  19. mbenda said

    Unatumia mbinu gani pale unapomwomba Penzi Mkeo halafu anakukazia bila sababu za Msingi?

    Mwenzenu nimeowa mwanamke mfuupi, sasa kuna ile chemba ya kupandia juu ya dari kwenye nyumba iliowekwa siling boad pale kwenye chemba nimefunga kamba na nishamwambi siku ukininyima najituka paleee
  20. mbenda said

    Wapi nitapata mashine ndogo ya kuvunia mpunga?

    Ikitokea umeamua kununua aina hii tafuta isiokuwa na mataili, yenye mataili inakwama sana kwenye tope, lkn ili uwe na mashine hii na ufanye kazi kwa uhuru ni vema ukawa na trekta kwanza maana hii mashine haina spidi huwa inabebwa kutoka shamba moja hadi jingine
Back
Top Bottom