Inafikirisha taifa linaloitwa teule bado linaomba backup kwa wamarekani na European....
Huu uteule wa uwoga niwakishetani, mungu hana mbili kwenye moja
Naomba nimpe pole ndugu Pascal Mayalla na kumkumbusha kuwa hawa ndio aina ya viongozi tulio nao katika taifa hili baada ya miaka zaidi ya 50 na ndio wanaowapeleka tanzania katika nchi ya ahadi ambayo sijui wataifiki baada ya miaka mingapi
Bidhaa nayotaka kununua iko katika masoko ya marekani na uingereza sana sana, swali ni je mko na warehouse kule, maana seller wengi wa marekani au uingereza hawatumia bidhaa zao china. Na china niko na agent tayari kuniletea mzigo wangu saa yeyote
Kama mti ule wenye lile tunda ulikuwa ni mti wa utambuzi wa mema na mabaya na wakala, basi dunia hii kuna wachache wanajua meya ya huu ulimwengu na mabaya yake... Kwamaana hiyi siri zimhusuyo mungu zajulikana
Jamaa ndio anafananisha south Africa na bongo. Utawala wa sheria ulioko south huwezi fananisha na utawala wa sheria ya bongo. Bongo hakuna sheria ila watu ndio wako juu ya sheria..
Polisi wa south Africa hata shati haruhusiwi kukushika, ukimwomba ID lazima akupe, bongo polisi ndio hakimu, ndio...
Kuongozwa vizuri ni kupoje kwanza kwa mtazamo wako tuanzie hapa.. maana ulivyovusema vya south Africa kila nchi vipi..
Embu tupo uchambuzi wako na ulinganifu wa hizi nchi 2 ulizotelea mfano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.