Search results

  1. Escobar

    Wapi nitapata tofali za kuchoma bora na imara?

    Ndugu wanabodi, Nawasalimu katika jina lake yeye atutiaye nguvu na afya. Nahitaji kujua kama kuna kampuni inayozalisha matofali ya kuchoma ya kiwango bora sana popote pale ilipo ndani ya mipaka ya TZ. Nawasilisha
  2. Escobar

    MWENYE KUFAHAMU APP NZURI YA KUANGALIZIA SOCCER LIVE PLEASE

    Naomba kwa mwenye kufahamu application nzuri ya kuangalizia mpira hasa wa ulaya anisaidie nidownload maana mazingira niliyopo nashindwa kuangalia mpira wakati ndiyo burudani yangu kuu baada na nanihino.
  3. Escobar

    Mwanza umeme mgao wa masaa 18

    Yaani tangu nimekuja huku umeme ni shida. Jana umekatika saa kumi na mbili alfajiri n umerudi saa saba kasoro usiku na sasa ninavyoandika umekatika saa kumi na mbili asubuhi hii. Nilitegemea mabwawa yanayozalisha umeme yamejaa maji kwa mvua hizi lakini pia nakumbuka JK kabla hajakabidhi ofis...
  4. Escobar

    Kwa mwenye ufahamu kuhusu TANSORT na TMAA

    Kwa anayejua hizi taasisi vizuri naomba kujua kila moja inafanya.kazi gani. Nataka nidumbukie kwenye vito sasa sijui ni taasisi ipi hasa nahitaji kudeal nayo.
  5. Escobar

    Haiingii akilini bandari kutegemea malori

    Baada ya miaka 52 ya uhuru tumeshindwa kuongeza hata mita moja ya reli, bandari ya Tanga almost chali, Mtwara nako hali ndiyo hiyo hiyo. Na kwakuwa hata treni tuliyoachiwa na wakoloni nayo imekuwa mzigo tumeshindwa kuiendesha wala kuiboresha, na kwa kuwa takwimu zinaonyesha katika tani milion 13...
  6. Escobar

    Inawezekanaje mwekezaji azuie maji ya mto kisha awauzie wazawa?

    WAZIRI wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe, amelaumiwa na uongozi wa KanisaKatoliki Jimbo la Iringa kwa kushindwa kuingilia kati mgogoro wa maji uliopokati ya mwekezaji wa mashamba ya mpunga Mbarali na Shule ya Sekondari ya Kilimoya Montfort ambayo inauziwa maji ili kuweza kulima. Kuibuliwa kwa...
  7. Escobar

    Obama atokwa machozi hadharani

    Hii imeotokea jana wakati anawashukuru wapiga campaign wake kwa kujitolea tena wengine bila malipo yaani volunteers. He suddenly become emotional na kujikuta akitokwa machozi. Jicho langu ni hapa kwetu hivi huwa inakuwaje baada ya mgombea kuwa ameshinda wale wapiga campaign wake wanapokutana...
  8. Escobar

    CHADEMA kusimamisha shughuli kwa ajili ya sensa huku Fiesta Mwanza kuendeleza

    Honestly am worried, we are not safe at all! Kwa matukio haya na tusiyoyajua, polisi sio usalama wa raia kabisa. Haiwezekani nchi moja iwe inaendeshwa kiushabiki shabiki usio na tija. Imekuwaje Mwanza waruhusiwe kukusanyika wakati sensa ikiendelea lakini Iringa waonekane wanavunja sheria...
  9. Escobar

    Who is next?

    Kwenye kuguna tugune, panapochukiza tuseme na panapofurahisha tupige makofi. Mwakyembe keshaonyesha njia ya kung'oa visiki kama ifuatavyo. 1. PAUL CHIZI-ATCL 2. WILLIAM MHANDO-Tanesco 3. CHARLES EKEREGE-TBS 4. EPHRAIM MGAWE-TPA 5. Who's next?
  10. Escobar

    Wataokwamisha sensa kukiona...!

    Mkuu wa mkoa wa Dar anaongea live sasahivi kuwa hakutakuwa na kipengele cha dini katika sensa na kuna kikundi kidogo cha mashehe kinawapotosha waislam safi kwa maslah yake binafsi hivyo watachukuliwa hatua za kisheria! Pia ameongoza kuwa hata jana kuna watu wameonekana wakiongea kwenye...
  11. Escobar

    Hivi CHADEMA wanarecruit vipi wabunge wao?

    Honestly sehemu kubwa ya wabunge wa CDM imeshiba vibaya kwa kujenga na kuwasilisha hoja zenye mguso wa kipekee kwenye jamii. Ni dakika chache tu Mh. Wenje alikuwa anamwaga facts kuhusu elimu yetu ya shule ya msingi kuwa mtaala unaelekeza kuwa lugha ya kufundishia ni kiswahili wakati wakati huo...
  12. Escobar

    Tuithamin na kuipa nafasi elimu yetu katika kuongoza nchi

    Member of Parliament CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Stephen Middle Name: Hilary Last Name: Ngonyani Member Type: Constituency Member Constituent: Korogwe Vijijini Political Party: CCM Office Location: P.O. Box 60, Korogwe, Tanga Office Phone...
  13. Escobar

    Umri wa Lulu, Moja ya ushahidi uliotumiwa huu hapa!

    Kwa wale ambao hawakubahatika kuiona hii kitu angalia kuanzia dakika ya 2 na sekunde ya 40 hivi ili ujue ni under 18 or above. Hii ilikuwa miezi kadhaa kabla ya tukio. Mkasi - SO2E08 With Lulu - YouTube
  14. Escobar

    Mhemiwa Zambi on Maghembe's neck

    Kasema Maghembe kajiundia bodi ya kahawa ya nchi nzima yenye wanakilimanjao tupu, kaenda Mbeya wananchi wakagomea kanuni za manunuzi ya kahawa mbichi still akaja Dar fasta na kusaini kanuni zitumike. Kwa kifupi kasema ni ujeuri tu Maghembe hivyo kawaomba wabunge wazalendo wasipitishe bajeti ya...
  15. Escobar

    TBS yaamka usingizini

    SIKU chache baada ya Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda kuiagiza Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kumsimamisha kazi Mkurugenzi wake Charles Ekelege, shirika hilo limetangaza kampuni zilizopewa kazi ya kukagua magari yanayotoka nje ya nchi. Mapema mwezi uliopita Dk...
  16. Escobar

    Just for my information!

    Honestly mimi sio mchumi kiviile japo nilisoma Micro na Macro economics wakati nachukua kadegree kangu ka kwanza hivyo siwezi kujigamba na uchumi wangu mbele ya wachumi. Naomba wajuzi wa wanijuze haya, hivi utaratibu wa kuongeza kodi kwenye simu eti kisa ni makubaliano ya jumuiya ya africa...
  17. Escobar

    Hii sio nzuri sana!

    Nilikuwa naelekea maeneo ya Tegeta wakati nakaribia stendi ya daladala kukawa kunaingia magari aina ya coaster yamebeba nadhani wafuasi wa magamba kwa vile yalikuwa yamepambwa kwa rangi za njano na kijani. Cha kusikitisha ni kwamba yalipofika tu eneo hilo la stendi ambalo lina watu wengi sana...
  18. Escobar

    Elimu kufaidisha wanasiasa ni sawa?

    Leo asubuhi wakati najiandaa kuelekea kunakoshughuli nikabahatika kuona taarifa ya habari ITV ambapo Mzee Makamba alikuwa anazindua kitabu chake ambacho kimechapwa na Nyambari Nyangwine. Uzinduzi wa kitabu haukuwa tatizo kwangu bali hotuba fupi aliyoitoa mzee makamba kwamba aliandika barua kwa...
  19. Escobar

    Kampuni za sim zimekosa ubunifu?

    Kitendo cha kumpigia mtu badala ya kuambiwa kama hapatikani au simu yake inaongea sasa kimegeuka kuwa ni sehemu ya MATANGAZO YA LAZIMA! Tabia hii ambayo kampuni ya Tigo ndio vinara wa uozo huo inanichefua sana mpaka nimefikia hatua ya kununua laini ya zantel last friday ili kuepukana na...
  20. Escobar

    Hata nikibaki peke yangu, CCM haifi - Nape

    Maneno hayo yamesemwa na Nape akiwa huko Bukoba. Sijui alikuwa anafurahisha nafsi au alikuwa anataka kuonyesha kuwa kwa cheo alichonacho hawezi tena kwenda South kuchukua rasimu ya Katiba for CC...! Source: Taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu ITV
Back
Top Bottom