Search results

  1. M

    Nape Nnauye: Jamani kuna watu wanataka kunitoa roho...

    Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!! yaani sometime hii JF ni burudani toshaaaaaaaa, akya mbongo binti muhamadi!!!!!!!!!
  2. M

    Lowassa na siasa za makanisani?

    Lowasa tunakupenda, tunakukubali na bado tunakuhitaji!!!
  3. M

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    mie nasema hiviiiiiiiiiiiii!!!!!! we waache tu watuibie, hakuna wanachokifanya tusichokijua, watakuja kukimbia hii nchi, kama sio wao basi watakuwa ni watoto wao na wajukuu wao
  4. M

    Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

    Hii kali ya mwaka akya mbongo binti mwamadi, mimi mwenyewe nipo hapa magogoni mwaka wa sita huu hii mambo sikudhania!!!! Lkn yana ukweli ndani yake!!!!!!!
  5. M

    Mmmh kama hii ni kweli basi CCM ni gaidi

    Hakuna ufalme wa kibinadamu ambao ulishawahi kudumu milele ispokuwa ufalme wa mungu tuu, hata kama watu watajitoa namna gani kutetea ufalme fulani, kuna siku utaanguka tu hata kama hakuna sababu, just time will tell. Ccm must go its over and over for tanzanian
  6. M

    Video: Tukio la uvamizi Igunga

    Nimeamini chadema ni kiboko ya ccm!! Akya mbongo walai
  7. M

    Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    hii imetulia, nimeipenda sana!!! Mwenye masikio na asikie neno hili!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. M

    Watanzania wa Igunga

    Tunawatakia kila la kheri wana igunga, chagueni mtu mwenye uwezo wa kuwatumikia, mnayemfahamu vizuri, achaneni na ushabiki wa vyama!!!
  9. M

    DC aumbuka kumfukuza diwani wa CHADEMA jukwaani

    Yaani hawa MADC SIJUI WAMEOKOTWA WAPI!!! Jana alikuwa DC Igunga, leo Kahama!!! Kweli wadau tujiandae tu vizuri kwa katiba mpya ndo mkombozi pekee wa hawa watu wanaojifanya mangi meza!!!!!!!!??????????
  10. M

    Waziri Simba: Tunataka Rais mwanamke

    huyu anaota ndoto za mchana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! yeye sio mtu wa kusema hayo wapo akina mama tunaowaamini na vichwa sio huyu mama hata kidog kama akina Getrude Mongela, Asha Migiro, Anna Tibaijuka, Ananilea Nkya na Ussu Mallya
  11. M

    Kikwete aelekea US, Pinda atangaza ongezeko la bei kwa watumiaji umeme!

    Raisi kwenda nje ni muhimu na ni kwa manufaa ya nchi yake sema tu ni kwamba inatakiwa unapoenda nje manufaa yaonekane kweli sio kwenda tu kila siku kwa wenzako hata kurudi na ubunifu tu huwezi, hata kama si yeye wale wanaoambatana na Raisi wanastahili kuweka zaidi maslahi ya nchi kwenye kila...
  12. M

    Hii ndiyo siri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    nilikuwa maeneo ya mwanza jana mitaa fulani, akaja mzee mmoja amevaa tisheti ya ccm halafu vijana wakamwambia laive kuwa alitakiwa awe amekufa na kama itafika mwaka 2015 hajafa watawaua wote wanaovaa nguo za ccm!!! yule mzee alinyongonyea sana na it was soo sad kwa kweli, vijana jamani...
Back
Top Bottom