Search results

  1. Yesu Anakuja

    Serikali: Kuna Jumuiya za Kidini zinatumika kutakatisha pesa, usafirishaji haramu wa binadamu, kufadhili ugaidi na kutoa mafunzo hatarishi

    Wakolosai 3:14 inasema " zaidi ya hayo yote, jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu". Dunia imeisha, hata hawa wanaota ndoto kwamba kuna siku dunia nzima itakuwa ya kiislam wanajifurahisha tu, kufumba na kufumbua wakati wakihangaika na hilo dunia itafika mwisho na wale wote wasiompokea Yesu...
  2. Yesu Anakuja

    Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    nashauri wampe yeyote mwenye uwezo,hata kama ni mwarabu,apewe. watu wanapata shida sana mwendo kasi, ukipita unawaona wamekaa kwenye stand wameshika tama wamekata tamaa kabisa, raia wanapata shida, leteni mwekezaji haraka tena mwenye uwezo na experience ya nje.
  3. Yesu Anakuja

    Landmark za Hayati Magufuli zinazowatesa wale jamaa ambao hawakuacha chochote

    kwa bahati mbaya, pamoja na ukatili wake wote, hizi landmark zitadumu kumshuhudia kama legacy nzuri kabisa kuwafaidisha watanzania. na kwa hilo amewapiga bao watangulizi wake na hata hawa waliopo sasaivi. kwahizo, nimeamua kumsamehe hata ujenzi wa uwanja wa popo na wachawi wa chato.
  4. Yesu Anakuja

    Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Dunia hii ina unafiki mwingi sana, imagine mimi imani yangu haiamini msikiti, lakini najenga. si bora sa100 hakutaka hata kusema Bwana asifiwe, akaweka salamu ya jamhuri, kwasababu hataki unafiki, nampongeza. Mimi nitawapenda waislam na kusaidiana nao kama wanadamu wenzangu, ila imani ya...
  5. Yesu Anakuja

    P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

    wanadamu wengi huwa wanapenda kujisifu au kusifiwa namna hii. na siku hizi shetani alianzisha watu kuitana "mwamba", bila kujua kuwa kwa kufanya hivyo watu wanamtukuza sheteni, wanaiba utukufu wa Mungu na kuwapa waandamu. kwa msio jua, Mwamba ni Mungu, hakuna mwanadamu mwamba. Zaburi 62:5...
  6. Yesu Anakuja

    Changamoto za SPA za Dar es Salaam kwa Wafanyakazi

    zaidi ya laana, ukweli ni kwamba, mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu. kinachotokea, ukifanya dhambi ya uzinzi au yeyote, unafungua milango shetani kukufanya chochote, umejitoa mikononi mwa Mungu, Mungu ni mtakatifu wala kilicho...
  7. Yesu Anakuja

    Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

    hapo ulipo unaishi kwa neema ya Mungu tu, kuna mengi sana hustahili kabisa. kuna siku utajua hilo kama sasa hauelewi. maisha ni kitu cha ajabu sana, na Mungu ndiye mwamuzi asiyehitaji kuhojiwa wala kulinganishwa na sheria za dunia hii.
  8. Yesu Anakuja

    Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

    Mungu anasamehe wanadamu, na alikuja kwa njia ya mwili ili atoe kafara la damu ya kimwili kabisa, Damu ya Yesu Kristo. hiyo ilikuwa baada ya kuona shetani amefanay wanadamu wameasi, Mungu hataki wanadamu waende jehanum, akaweka njia, ya kwamba wote waliotenda dhambi wakitubu kwa njia ya kafara...
  9. Yesu Anakuja

    Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

    kwa huyu ni tofauti, mwanamke wake huyu alikuwa na ndoa yake, kwake alikuja akiwa ameachika kwa bwanake, na kuna uwezekano kama ni hivyo alikuwa anamwacha mume asiye na pesa aje kwa huyu mwenye pesa. huko alikotoka alikuwa analala kitanda kimoja na ex wake, ndio wewe ukamwambia aje. unategemea...
  10. Yesu Anakuja

    Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

    watoto wenyewe ni kaka zake au dada zake na mtoto wako uliyezaa na mwanamke huyo. hilo nalo ni la kuzingatia. mimi watoto wa mama tulionyonya ziwa moja hata kama wasingekuwa wa baba yangu, sioni tofauti yeyote, ni wenzangu na nisingependa mtu yeyote hata baba awatose. connection hiyo ipo...
  11. Yesu Anakuja

    Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

    kwahiyo hajawahi kuhurudhia hata kwenye tribunal tu, manake hapo wamesema kwa miaka hiyo awe aliappear kwenye mahakama, au tribunal. kabla ya 2013 hajawahi kuhudhuria hata tribunal tu? if that is the case, then there might be a problem. pamoja na kwamba, sioni faida kubwa kulishadadia hili, kila...
  12. Yesu Anakuja

    Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

    ni kwasababu hawafanyi biashara ya uwakili, wamesalenda kwa CJ, sasa wahuishe leseni ya nini wakati wao wanatetea serikali, sio watu binafsi? kwa mawakili mbona hili linaeleweka?
  13. Yesu Anakuja

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    tuliishi tukiambiwa huyu mzee alikuwa nyonya damu. watu wakiamua kukuzushia. wenyeji wa ndiwili tulidanganywa.
  14. Yesu Anakuja

    Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

    Mungu aliandaa Jehanum kwa ajili ya kwenda kuwaunguza shetani na 1/3 ya malaika walioasi, lakini shetani kwa kuona hapendi kwenda peke yake, akaamua kuwashawishi wanadamu ambao Mungu aliwaumba wamwabudu ili nao waasi, wakaungue nao moto. hivyo wanadamu wote watakaofuata mambo ya sheteni, wameasi...
  15. Yesu Anakuja

    Waislam wanapofunga, wanafanya kile ambacho biblia imesema na hakifanywi na wafungaji wa kikristo

    Wakristo wa kweli, sio hao wa kwaresma au wanaofanana na hao, wanafunga mara nyingi sana, ila hawana kalenda kwasababu hawafungi wakisukumwa na dini, wanasukumwa na nia ya kumtafuta Mungu kwa mambo mbalimbali. ni tofauti na wengine ambao mwezi fulani tu ndio wa funga, mingine ni kuzini, kuua...
  16. Yesu Anakuja

    Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

    wewe hapo ulipo haujawahi kuchepuka? haujawahi kumkosea Mungu? ukikosea usingependa mkeo akusamehe? ukifanya dhambi usingependa Mungu akusamehe? au mnajitoa ufahamu tu.
  17. Yesu Anakuja

    Waislam wanapofunga, wanafanya kile ambacho biblia imesema na hakifanywi na wafungaji wa kikristo

    inawafaa sana wale kule zanzibar wanao pita wakiwauliza wenzao kama "mmefunga", au wale waliofunga mikahawa na kuwatangazia watu kwamba wamefunga, wale wanaonawa na kuvaa kanzu safiii na kutembea kwa upole upole ili watu wawaone kuwa wamefunga.
  18. Yesu Anakuja

    Tanzania kuna sheria inaruhusu au kukataza binadamu kumwita mwenzake KAFIRI?

    hili neno ni gumu sana, unajua kuna watu hakika wameasi na kumkana Mungu kiasi kwamba wameshaandikiwa kuwa ni watu wa motoni tu hata uwahubirie vipi unapoteza muda, wao wamejiandikisha ni watu wa motoni. hawa ndio wengi wanaoikataa injili ya kweli na kukimbilia imani za kuchinja watu. Mungu...
  19. Yesu Anakuja

    Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

    wanadamu wengi huwa wanajihesabia haki, hata wanapowapa adhabu wengine huwa wanajiona wao ni watakatifu, kumbe na wao wana makosa yao mengi. wanahitaji kusamehewa, Yesu alisema kama hutawasamehe wengine na Mungu hatakusamehe. ni jambo gumu lakini ni muhimu kulitafuna kama lilivyo ili kuponya...
Back
Top Bottom