Search results

  1. L

    Edward Lowassa special thread

  2. L

    Wagombea CCM wamwaga fedha kama njugu

    KABISA ni team Lowasa. MTU ANAYETUMIA HELA ZA KUFURU NI LOWASA. Halafu hao matajiri wake anaopenda kuwataja kwamba wanamsaidia yeye atawalipa nini? HATUKUBALI KUUZA NCHI YETU TUKIONA. NEVER HAPPEN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. L

    Mdahalo wa Watangaza nia CCM: Live on Azam TV

    Too much shame
  4. L

    Kura ya maoni kwa watangaza nia CCM

    Nchemba mwigulu
  5. L

    Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

    - EL ni muasisi wa ufisadi na ni FISADI nambari one Tz - an roho mbaya sana na anaweza akamfanya mtu chochote pale anapotofautiana naye.(amewafanyia vibaya watumishi wengi na wafanya biashara ambao hawamhusudu ikiwepo kuhamishiwa porini kabisa) - an kisasi kibaya sana (anachukua kitu moyoni)- (...
  6. L

    Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

    wewe orodhesha Vs mabaya na uzito wake lakini pia sababu iliyomfanya kufanya hayo mazuri; MAKE MIMI NAJUA NI KWA MASLAHI YAKE BINAFSI. either ya kiuchumi au ya kisiasa
  7. L

    Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

    - EL ni muasisi wa ufisadi na ni FISADI nambari one Tz - an roho mbaya sana na anaweza akamfanya mtu chochote pale anapotofautiana naye.(amewafanyia vibaya watumishi wengi na wafanya biashara ambao hawamhusudu ikiwepo kuhamishiwa porini kabisa) - an kisasi kibaya sana (anachukua kitu moyoni)- (...
  8. L

    PETER PINDA vs WILBROAD SLAA

    Mimi nasema hivi: ccm hata wakabahatika kumpata malaika agombee kupitia chama chao atachafuka tu. Tatizo ni mfumo walionao sasa hivi wa kifisadi. Angalia Tibaijuka maskini ya Mungu alikuwa msafi lakini akaambia huwa huku tunaishi namna hii, kaingia then kwasababu sio nature karopoko kueleza...
  9. L

    Kufuatia uhuni uliofanywa dhidi yake Monduli, CHADEMA yazuiwa kufanya mkutano Mto wa Mbu

    Monduli hakuna uhuru hata kidogo, kila mtu hapa kichwa chini make ukiwa tu against Lowasa hata kufa unaweza kufa. Huyu bwana ni mbaya sana hana tofauti na Hitler na kama hamuamini endelezenu ushabiki wa kijinga kama hamjaja kulia wakati hakuna linalowezekana tena. kumbukeni hata kikwete mlikuwa...
  10. L

    Sakata la Escrow: Kikwete alijua na alijua lini?

    Kikwete anhusika 100 kwa 100 na hii scandal. Yeye ndiye alieasisi na wao wamechukua mgao toka kwa singasing (70%) ya pesa za Tegeta escrow account. Ndiyo maana hawa waliotakiwa kuwajibika wamekuwa wazito kwani wanajua dili lilikuwa la bwana mkubwa, atatulinda. KINACHOTAKIWA HAPA NI SISI...
  11. L

    Edward Ngoyai Lowassa; Huu ni waraka wangu kwako na kwa watanzania wenzangu

    BONGOLALA Lowasa hajawahi kufaa na hatafaa. Ana sifa nyingingi mbaya ambazo zinamfanya asifae kuwa rais wa Tz. 1. Mbinafsi: hata leo hii pita pale ungaltd Arusha amechukua eneo la wazi la Ralways na kufungua car wash ili hali hice zinazoenda uswahilini, angle shelaton n.k hazina stand, angekuwa...
Back
Top Bottom