Search results

  1. E

    Wewe ni nani?

    mm ni binadam mwenye jinsia ya Me nilieumbwa kwa mfano wa mungu
  2. E

    Natafuta sehemu ya kujitolea upande wa Procurement au store

    Kama afya yake iko njema, basi namshauri ajiunge na JKT akakomae huko akimaliza atakuwa na sifa za kuajiriwa na serikali hususan vyombo vya ulinzi na usalama.Huko procurement yake inalipa na ataitumikia nchi yetu akiwa shupavu kabisa. :wave:
  3. E

    ajira mpya za walimu 2013-2014

    Mwezi huu wa tatu....
  4. E

    Sijui nimenusurika!!!!

    Ahsante kwa kutupa dili kwani wengine tunalipwa salary za bure.Sasa ngoja tufanyie kazi maake naona umetulahisishia kazi labda uwe unadanganya au unafanya kautan kupima watu.Kama ni kweli ni wewe au rafiki yako mwambie tutamnasa na wala hatuna haraka.POLE....
  5. E

    Mtaji wa (tzs ) millioni 4 unaweza kuanzisha biashara gani? Naomba msaada wadau wa biashara.

    Nunua mazao kama mahindi,mpunga wkt huu ambapo bei imeshuka kwa mfano mikoa ya Iringa,mbeya,katavi,rukwa/morogoro then weka stock kwa muda wa miezi kadhaa.Bei ikipanda utauza chakula hicho na kupata faida mara dufu.Tenga fedha za usafiri,utunzaji na huduma nyingine.Ukiwa makin utatoka mwake.
  6. E

    ..kwa mama rahel muhando...tbc

    Ni utandawazi jamani kunogesha kakipindi....
  7. E

    Mbunge viti maalum aibiwa baa!

    Nafikiri wakiendelea kufanyiwa tuvitendo km utwo basi watapunguza starehe na kuwa makin huku wakitambua kuwa wao ni kioo cha jamii.
  8. E

    Taratibu za kuacha kazi zikoje?

    we unataka kuacha kazi je umeshapata kazi nyingine? coz nakushauri usiache kazi kabla ya kupata kazi nyingine. Au ndokusema kuwa unataka kuwa entreprenuer?
  9. E

    Ajira za walimu 2011-2013

    Siyo habari za kweli, kwani Ajira hizo zipo na zimebaki ck chache zitawekwa hewani.
  10. E

    Walimu wa degree na diploma ajira lini?

    Ajira zote ziko tayari kwa mwaka wa fedha 2011/2012, kwahiyo vuta subira zitatangazwa hivi karibuni.AMIN HIVYO.
  11. E

    JamiiForums ni kiboko, imenipa kazi mwenzenu

    Mkuu naomba uelewe kuwa ck zote salary humtosha yule anayejua nini afanye kwanza, kipi akipe kipaumbele na wala usitegemee kuwa na mshahara mkubwa ndo utaweza life la DAR. Kwani wangapi wana salary kubwa but maisha yao yako ovyo. Mimi nakushauri uanze kazi na hiyo salary inatosha sana kama...
  12. E

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    wewe acha kufikiria mambo ya mwaka 1980 kwani huko tulishatoka ck nyingi na sasa ni mwaka 2011 huu.Narudia kwa mara ya mwisho kwamba kwasasa hv usahili ni lazima ili kupata fit person na kama haitakuwepo basi wangepatikana unfit person na wala kusingekuwa na competion kuingia kwenye IDARA...
  13. E

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Hizi nafasi huwa hazitafutwi kama unavyoulizia kijana.Ni uwanja mpana sana na mpaka hapo ulipofikia umeshapoteza sifa zake yaaani haufai.Labda kwa wale wenye sifa kamili but siyo wewe basi wanaweza kwanza kupitia JKT ,then JWTZ Baada ya hapo watafanyiwa usahili na kama watakuwa fit kwelikweli...
  14. E

    Ajira kwa Walimu wapya 2011/2012 Lini kuwa tayari?

    VUTA subira kani ajira zenu ni mwezi december, na january,2012 ndo reporting time.
  15. E

    Ajira kwa Walimu wapya 2011/2012 Lini kuwa tayari?

    we uckate tamaa kwani post zenu ni mwezi december na january,2012 ndo mtatakiwa kuripot vituoni.Harafu uwe tayari kufanya kazi mikoa ya pembezon maake walim wengi wamekuwa wakiripot na kuchukua fedha za kujikim na kutokomea.but kwasasa mtajaza mkataba.So vuta subira serikari ni mtu au watu ajira...
  16. E

    Dio AMEFIWA NA BABA YAKE

    Pole sana,bwana alitoa na bwana ametwaa so jina la bwana libarikiwe
  17. E

    Hivi Luhanjo,Jairo, Ngereja na Malima Wanasubiri nini kujiuzuru?

    ukiamua kupiga risasi kwa nchi yetu hii utapiga viongozi wangapi? mm nafikiri cha kufanya ni viongozi wote kurudia maadili na kuwa na hofu yamungu.Hii itasaidia sana
  18. E

    Natafuta tempo kwa muda wa mwezi mmoja!

    ushauri wangu kwako kama kweli unasoma na uko mwaka wa 3 basi weka akili yako kwenye masomo ili ukihitimu ndo uanze michakato ya kutafuta kazi. Kwasasa utachanganya mambo mkuu yaaani shule kwanza fedha badae.
  19. E

    emmu natafuta kazi

    Natafuta kazi nina Diploma ya kilimo na mifugo nilihitimu chuo tangu 2010 na kuaidiwa na serikali kuwa itatuajiri but mpaka sasa bado.Naombeni wana jf mnitajie makampun yanayoshugulika na fani yangu ili niombe kazi huko kwani lengo langu nikipata mtaji niweze kujiajiri.
Back
Top Bottom