Search results

  1. T

    Nampenda lakini siwezi kumwambia hisia zangu

    Hahahahahahahahahahaha, mkuu umenimaliza kabisa.
  2. T

    Maswali 20 kwa Mungu

    Kwa hiyo mkuu, unataka kusema kwamba maji yote yaliyopo kwenye mawingu leo hii yakishuka yanatosha kuifunika dunia nzima by more than 7000 metres (kilele cha mlima Everest, maana imeandikwa vilele vyote vilifunikwa)? Unajua ni mita ngapi za ujazo zinahitajika kufikia hapo? mkuu hata kama...
  3. T

    Maswali 20 kwa Mungu

    Mkuu slave trade was abolished because slavery was uneconomical anymore following industrialization. Ownership of slaves became more expensive than owning machinery and less efficient so missionaries pretended that they helped end slave trade and colonialism but it was actually a business...
  4. T

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Thanks mkuu, hua ninafikiria pale waheshimiwa sana wachungaji wanapokomalia fungu la 10 huku mishipa imewasimama as if wamezifanyia kazi. Kwamba unamtolea Mungu wakati namuona kabisa Kakobe anainunulia prado mi hua sielewi kwa kweli. Na usipotoa unaonekana muasi, hakuna hata mmoja kati ya...
  5. T

    Mishahara kampuni zote za ulinzi Tanzania ipitiwe upya maana wafanyakazi wanaumia

    Sasa hata kama haukusoma ndio ulipwe 120,000/- kwa mwezi? Utaishi kweli? Wewe na shule yako unaelewa kweli madhara ya kutowalipa watu kiasi kinachowatosha kuishi au unafurahia tu pomposity ya kujisikia umesoma? Umeelimika nini sasa kama namna yako ya kufikiria haisaidii kuongeza chochote kwenye...
  6. T

    3 Types of People That Will Never Succeed in Life

    K Kwenye movies sawa, but in real life Shakespeare summarized it best. "Some rise by sin, some by virtue fall" Narcissists, whiners, and bad-mouthers succeed a lot especially in politics & corporates. In fact those three characteristics are almost the job description for politics.
  7. T

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Pamoja na majibu yako mazuri mkuu, ningependa kuuliza maswali machache ya nyongeza. 3. MAFURIKO. Unataka kusema kwamba hakujua kama baada ya mafuriko bado uasi utaendelea? Akiwa mwenye nguvu na uwezo, mwenye mamlaka juu ya wakati ningetegemea tayari ajue kwamba baada ya nuhu na safina mbeleni...
  8. T

    Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

    Zamaradi anatafuta kuongeza watazamaji wa kipindi, and her strategy is brilliant. Controversy will always bring crowds, whether kama unampenda au unamchukia ni lazima utamuongelea na kwa kufanya hivyo unamtangaza na kuzidi kumuongezea watazamaji and consequently revenue. we utatoka povu JF...
  9. T

    Nitapataje SMS anazotumiwa mtu mwingine kwenye simu yangu?

    Zipo nyingi, ingia playstore kwa simu ya huyo unaetaka Sms zake kisha search "spy sms" utapata options kibao, chagua inayokufaa. Uwe umejipanga na namna ya kudeal na utakachokipata lakini.
  10. T

    Kitakachowaua UKAWA wasichukue nchi Oktoba hiki hapa!

    Sijui atakaeshinda ni nani, lakini nafikiria kwamba; 1. Bila ya kujali ni kwa sababu zipi, Lowassa anakubalika na ana ushawishi mkubwa sana. Kama uchaguzi ukifanyika leo hii, atashinda kwa kishindo. Lakini siku 37 ni nyingi, lolote linaweza kutokea. 2. Watu walio wengi wameichoka CCM...
  11. T

    MAANA YA JINA "JEMBE" ni ipi hasa?

    Ni msimu, ambao niuelewavyo mimi jembe ni mtu unayeweza kumuamini na kumtegemea kama vile ambavyo mkulima hupata kipato chake chote kwa kutegemea jembe jatika kilimo. Ni kama "bestfriend" hivi. huyo aliekataa kuitwa hivo kwa madai eti jembe lina tobo ni wale wenye mawazo yaelekeayo upande...
  12. T

    Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

    <br /> <br /> Ha ha ha ha ha ha ha ha, u just made my day. umenichekesha sana...
Back
Top Bottom