Search results

  1. Philipo dauson

    Naomba msaada kujua kuhusu Chuo cha Songea Teachers College

    Nimepata nafasi Chuo cha Songea Teachers College kusoma Stashahada ya Ualimu Kemia na Biologia. Hivyo naombeni msaada kwa anayeelewa hiki Chuo au vyuo vingine vyenye kufanana na hicho hususani suala la jinsi ya kupata GPA nzuri hapo Chuoni asanteni. Pia hiki Chuo kipo vizuri?
  2. Philipo dauson

    EGM vs CBG ipi ina fursa nyingi za ajira na ni zipi ??

    Habarini tena wanajf nataka kuwahi advance private ety kati ya egm na cbg IPI inalipa kwenye suala la fursa za kuajiri wa au kujiajiri
  3. Philipo dauson

    Nimekosa selection diploma ualimuu msaaadaa?? Jamanii

    Baada ya kukosa selection je kuna round ngapi ? Za selection nacte pia ni lini round nyingine itakuwa online ???
  4. Philipo dauson

    Ulizo???

    Je kuna MTU alie omba vyuo vya diploma ualimu kwenye vyuo vya Mpwapwa Tc, Songea Tc na kwenye status yake akapataaaa??? Naombeni majibu maana mi sijaona chochote kwenye profile yangu??
  5. Philipo dauson

    Je selection za ualimu diploma zimetoka???

    Habarini wana jf naomba kujuzwa kama selection za ualimu diploma zimeishatoka na kama kuna aliyepata atujulishrle.
  6. Philipo dauson

    Naomba ushauri wadau

    Nimehitimu form four nikapata Kisw-B Hist-C Chem_C Bios-C Geo-C Eng C Mathematics D Civ C Nina two ya 20 Je ni wapi patanifaa kuapply kabla hawajafunga selection nacte UPI ushauri wako kwa hayo matokeo niapply coz na vyuo vipi ambavyo naweza kusoma ndani ya government NB...
  7. Philipo dauson

    Msaada wa selection za vyuo vya diploma ualimu goverment

    Lini au mpaka September na je waliokwisha tanguliaaa
  8. Philipo dauson

    Msaada wa selection za vyuo vya diploma ualimu goverment

    Natanguliza shukrani kwa wana JF kwa kazi mnayofanya na Mimi nimeapply vyuo vya diploma education vitatu Nina two ya point 20 chemistry, biology zote Nina c vyuo nilivyoomba ni mpwapwa Tc na Songea Tc je na tukuyu Tc je nawezakupata hapoooo???? Pia kama ikiwezekana je ni lini majibu yatawekwa...
  9. Philipo dauson

    Matokeo

    CBG ndo mpango mzimaa nami naipenda pia tukakomae NAyoadvance
  10. Philipo dauson

    Matokeo

    CBG ndo mpango mzimaa nami naipenda pia tukakomae NATO advance
  11. Philipo dauson

    msaada wa kupata shule au chuo kwa matokeo haya.

    Kwa history kubwa ya art comb government no ngumu aisee
  12. Philipo dauson

    Wapi Taifa linaelekea?Huyu ni Mwanafunzi kidato cha Tatu.

    Mambo ya ajab kabisa HIV kipindi cha mwinyi Ulikuwa Na miaka mingapi? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kipindi hicho waalimu waliacha kazi kwa kukosa malipo!!! Swami hii makato ya mishahara ya waalimu yako juu + Kufanya kazi kwa msukumo wa Ksiasa+mazingira magum ya kaz halafu mtoto anafundishwa...
  13. Philipo dauson

    Wakubwa mliotutangulia tufundisheni mbinu mlizopitia katika elimu Hadi mkafika hapo mlipo

    Dah uvumilivu ndo jambo la msingi Ashukuriwe Mungu kwa kutupa uzima Binafsi napenda kusoma na kujifunza mambo mbalimbali kutoka kwa walionitangulia ,wenye uzoefu na wengine wote Katika elimu tunakutana na changamoto nyingi Elimu ya sekondari changamoto kubwa ilikua fimbo nyingi shule,,Hadi...
Back
Top Bottom