Search results

  1. Mbuty

    Kijana jitunze, kuteremkia miaka 40+ kuna zimwi linaitwa Kisukari na Presha. Mkeo atakuvumilia?

    Asante kwa kutoa tahadhari pamoja na kutupatia maarifa.
  2. Mbuty

    Kaizer Chiefs wapanda dau Kinshasa, Kampala asusa atishia kwenda FIFA

    Kwani Morrison akiwa Simba alikuwa anakaa wapi, marehemu Mafisango? Sidhani kama kuna sheria kwamba, wachezaji hawapaswi kukaa nje, nadhani ni suala la utaratibu. Usichukie pindi jirani yako anaponunua gari, maana, anaweza kuwa msaada wa kukuwahisha hospitali pindi utakapozidiwa!
  3. Mbuty

    Asante sana Toyota Cars

    Hongera, yako bei rahisi. Mimi pil ilivuja kwa mbele, nilishusha gear box, seal ilikuwa 25k. Nilibadili 2 hivyo was 50k, plus ufundi 50k. Ilinitoka 100k. Ila, mine wa gx 100 chaser Avante.
  4. Mbuty

    Tujadili mshahara wa TGS D kwa watumishi wanaoishi kwenye majiji

    Akili hufanya kazi kulingana na changamoto uliyonayo ama vile ambavyo unataka ifanye! Mshahara ni sehemu tu ya namna ambavyo mtu anaweza kuendesha maisha yake, sio njia pekee! Kuna mmama alikuwa ananiuzia mboga mboga, ila amejenga na anasomesha mwanae Sekondari! Kupanga ni kuchagua.
  5. Mbuty

    Car4Sale Toyota Crown Majesta

    Hizi Majesta zina 8 Cylinders, hivyo wabongo waelewe hili, maana kama hizi Athlete baadhi ya watu anaipaki mpaka trh za mishahara, basi hili ndio litawekwa makimbusho kabisa[emoji16]
  6. Mbuty

    Gharama za kula kwa mama ntilie ni ndogo kuliko kujipikia

    Sasa umeelewa ule msemo, "umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu" eehe? Tukae humo.
  7. Mbuty

    Michango ya harusi ni mzigo kuliko Ada ya shule

    Pole, Ada ni lazima, michango ni jambo la uhiari. Hata hivyo, fanya kwa kadiri ya uwezo na si vinginevyo! Jitahidi kupangilia mambo tu na vyote vitaenda vema.
  8. Mbuty

    Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

    Itakuwa umeolewa na Chef[emoji16][emoji3]
  9. Mbuty

    Matrafiki kukaa Barabarani kunasababisha maradhi ya Moyo na msongo wa mawazo kwa Madereva

    Unaweza ukawa sahihi kwa sehemu ila kuna mambo ya kuzingatia, changamoto za madereva katika nchi nyingine ni tofauti na changamoto zilizopo hapa nchini, mf, ugonjwa mkubwa hapa kwetu ni kutofuata sheria&kutozingatia ubora wa magari, hilo halihitaji Silaha, bali fine kwa sheria zetu! Aidha...
  10. Mbuty

    Kwanini Dini ya Kikristo inaongoza kwa kuchezewa sana na watu?

    Mungu hasaidiwi, hukumu ni kazi yake. Hivyo, siwezi kujitaabisha kwa yale yasiyo yangu. Kisasi ni cha BWANA.
  11. Mbuty

    Kuweka mashine ya kutolea pesa jirani na baa ni kusabaishia matatizo watu

    Kubali tu kwamba uko na kaudhaifu hivyo unapaswa kifanyia kazi, tiba inaanzia hapo.
  12. Mbuty

    Unafanyaje kama mkeo ni mbea kupitiliza?

    Pole, mambo ya ndoa yanahitaji hekima sana. Pa kuanzia, ulichagua Wasimamizi sahihi wa ndoa, anzia hapo tafadhali.
  13. Mbuty

    Unywaji wa pombe kupindukia husababishwa na kutokujua kiwango cha unywaji

    Mimi huwa nachangaa sana, hela yako mwenyewe then ikutese! Lazima tuwe na kiasi kadiri ya uwezo. Mara nyingi, mshindi si yule anayeshinda Vita pelee, bali pia, ushindi dhidi ya nafsi.
  14. Mbuty

    Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

    Pole sana kwa changamoto husika! Ni dhahiŕi kwamba, huyo mwanamke hakufai tena kwa sasa! Aidha, shukuru hilo umelifahamu mapenzi yenu yakiwa katika hatua ya kawaida! Ushauri wangu, tafuta mwingine sahihi wa kuambatana naye, mind you, "ni rahisi kuchagua kibaya kwenye vingi vizuri, ila ni ngumu...
  15. Mbuty

    Nauza paka/nyau, nipo Makongo Dar

    Nadhani hawa ndio wale Paka ambao wanazungumza lugha za ajabu ajabu usiku madirishani [emoji3526][emoji3][emoji23]
  16. Mbuty

    Ujasiri wa Mwanaume kutogeuka pindi binti mwenye kutamanisha akipita

    Naona hata wewe umeyatumia maneno husika, sitaki kuamini kama nawe ni mmoja wao.
  17. Mbuty

    Ujasiri wa Mwanaume kutogeuka pindi binti mwenye kutamanisha akipita

    Hivi unaweza kumuamini mtu usiyemfahamu! Perhaps itakuwa tunafahamiana, trust me!
  18. Mbuty

    Ujasiri wa Mwanaume kutogeuka pindi binti mwenye kutamanisha akipita

    Kuna wakati Status yako (ukijitambua) itakusaidia kukuepusha na baadhi ya changamoto. Kikubwa ni kutambua thamani uliyonayo na kuanza kuiishi.
Back
Top Bottom