Search results

  1. gozo

    Taratibu za kusoma CPA Tanzania

    Nenda ofisi za board ya uhasibu na ukaguzi wa mahesabu(NBAA) posta jirani na maktaba kuu ya taifa au chuo cha elimu ya watu wa wazima utapewa maelekezo kwa kina.....na the best review centre kwaajili ya kusoma ni mnazi mmoja primary school kwa Edson au Babito....
  2. gozo

    Exclusive: Tevez afunguka alivyoteswa, kudhalilishwa

    Mkuu Mussa Mateja ni jina la mwandishi wa hiyo habari na sio mateja watumia unga kama ulivonukuu....
  3. gozo

    Matokeo ya NBAA yametoka

    Intermediate stage umeyaonea wapi mkuu wakati ktk website hayafunguki na nbaa kwenye mbao za matangazo hawajabandika?
  4. gozo

    Kiwanja cha (20 m x 26 m) kinauzwa eneo la bunju!

    nimekuchek kwenye hizo namba za simu mbona hujibu?kiwanja kipo bunju B sehemu gani?
  5. gozo

    Kiwanja kinahitajika

    hujaeleweka mkuu...
  6. gozo

    Kiwanja kinahitajika

    mkuu hiki kiwanja ni skwata au kimepimwa?ni mbweni sehemu gani?
  7. gozo

    Kiwanja kinahitajika

    Mkuu kwa komba ni kimara au kiluvya baada ya kibamba chama?
  8. gozo

    Kiwanja kinahitajika

    Wakuu bado sijapata kiwanja katika maeneo niliyokuwa nayahitaji....kama kuna mtu yoyote anakiwanja maeneo tajwa anijulishe wakuu....
  9. gozo

    Kiwanja kinahitajika

    hahahaha maeneo yanagombaniwa mkuu?ngoja niwahi
  10. gozo

    Kiwanja kinahitajika

    Kongowe sehemu gani mkuu?toa maelekezo ya kujitosheleza kwa faida ya watu wote
  11. gozo

    Huawei ascend y300 inahitajika fasta

    Nichek mkuu pm mkuu mi nnayo kwa laki na ishirini tu(120,000/=)
  12. gozo

    Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Dar es Salaam

    Ahsante kwa taarifa mkuu.....
  13. gozo

    Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Dar es Salaam

    Chakenge ndo wapi mkuu?
  14. gozo

    Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Dar es Salaam

    Mkuu boko sehemu gani?toa maelezo kidgo ya kujitosheleza kuhusu kiwanja na weka mawasiliano pia mkuu kwa faida ya wengi
  15. gozo

    Kiwanja kinahitajika

    hahahaha huko hapana mkuu mbali sana
  16. gozo

    Kiwanja kinahitajika

    Ahsante kwa offer yako mkuu lakini uwezo wangu ndo ulipoishia million 7 tu siongezi wala sipunguzi
  17. gozo

    Kiwanja kinahitajika

    Kimara mwisho sehemu gani mkuu?kuna umbali gani kutoka barabara kuu(morogoro road)
  18. gozo

    Kiwanja kinahitajika

    Mivumoni ndo wapi mkuu?ebu toa maelekezo ya kutosha kuhusu kiwanja na sehemu kilipo interms of umbali kutoka barabara kuu
  19. gozo

    Kiwanja kinahitajika

    Toa maelekezo ya umbali wa kufika huko salasala kutoka barabara kuu kwa faida ya wengine pia watakao kuwa interested...
  20. gozo

    Kiwanja kinahitajika

    Afu toa maelekezo kuhusu jinsi ya kufika huko salasala mkuu kutoka barabara kuu....
Back
Top Bottom