Search results

  1. Ngoda95

    Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili?

    Alipotoshwa na ule Uzi wa kula tunda kimasihara.😂😂😂
  2. Ngoda95

    Mtu unajirekodi chumbani ili iweje? Nina uhakika Aslay na Lukamba wameteswa sana kisaikolojia kusubiri kuziona dhambi zao zilizovuja

    Nikweli Yani anatamani kuona kila mtu apatwe na hali ile aliyopitishwa Mzee wake.
  3. Ngoda95

    Car4Sale Agiza gari kutoka South Africa

    Umetoa tahadhari ya kweli Kabisa. Nina ndugu yangu alipata mkasa mkubwa alinunua gari kumbe liliibwa South na Mmliki aliuwawa katika tukio Hilo, maaskari wa Interpol wakabaini lipo Tanzania, kesi ilimtesa sana alikaa segerea miezi kadhaa. Ilihitaji fedha, Muda na connection kuhakikisha...
  4. Ngoda95

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Pamoja na kero zozote kutoka kwa ndugu wa karibu wanaosababisha frustrations za maisha usifikirie kupotea au kuwa mahali pasipojulikana. Uamuzi wa namna hiyo utaacha maumivu makubws kwa wapendwa wako haswa mama na mtoto. Muhimu ni kujitenga nao na mambo yao na kuacha kuchangamana nao, chagua...
  5. Ngoda95

    Leo ni kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Ben Saanane, unakumbuka nini kutoka kwake?

    Na huyo mtu Pamoja na ukatili wake wote kwa sasa na yeye yuko kaburini. Bado vibaraka wake kina Makonda na wao watakufa vifo vya aibu sana.
  6. Ngoda95

    Vicoba vitamaliza wake zetu

    Duh hiyo sio nzuri Katika mataifa yetu ya kijamaa
  7. Ngoda95

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Namimi naomba. PM iko wazi.
  8. Ngoda95

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Mkuu Taasisi gani hiyo inayochukua vijana wenye kiwango hicho cha ufaulu?
  9. Ngoda95

    Jimbo la Mbarali litachukuliwa na upinzani kisa GN 28

    Natambua Msimamo wao huo lakini kwa mazingira ya Sasa na kwa hoja ya "maridhiano" nadhani inatoa loophole kwao kushiriki na hata ikiwa tofauti na matarajio yao (wazee wa goli la mkono wakifanya waliyo zoea kuyafanya) bado kwao watakuwa na sababu kwamba waliamua kushiriki uchaguzi mdogo huu ili...
  10. Ngoda95

    Jimbo la Mbarali litachukuliwa na upinzani kisa GN 28

    Kwa Jimbo la Mbarali, Jimbo ambalo kwao kama Chama wana mtaji mkubwa wa Wananchi wanao waunga mkono na ukijumuisha na yaliyotokea kwa sababu zozote zile hawapaswi kususia uchaguzi huu. Uchaguzi huu Mdogo kwao ni Muhimu sana, na wanapaswa kuutumia kama eneo la "kupasha misuli" ili kuipima nguvu...
  11. Ngoda95

    Fahamu kuhusu utando mweupe kwenye mwili mtoto anapozaliwa

    Ngoja nisubirie majibu ili na mimi nijifunze.
  12. Ngoda95

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Unaacha kunitafuta unasubiri nini sasa?
  13. Ngoda95

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Ngoja nimtafute huyu
  14. Ngoda95

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Uwongoo huo
  15. Ngoda95

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Unialike Mchep nasubiria.
Back
Top Bottom