Search results

  1. Suphian Juma

    Singida Mpya ya kijani inawezekana - Suphian Juma

    SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA - SUPHIAN JUMA NKUWI. Aprili 17, 2024 nimezindua kampeni ya kupanda miti mkoa mzima wa Singida NILIPOZALIWA iitwayo "SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA" ambapo kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) tumepanda miti 460 shule ya Msingi...
  2. Suphian Juma

    Rais Samia awekwe kwenye fedha, tuache wivu na chuki

    Sahihi kabisa. Tuwapuuze.
  3. Suphian Juma

    Rais Samia awekwe kwenye fedha, tuache wivu na chuki

    RAIS SAMIA AWEKWE KWENYE FEDHA, TUACHE WIVU NA CHUKI. Na; Suphian Juma Nkuwi Nilishalisema sana hili humu mtandaoni tangu Mhe. Rais Dkt Samia akiwa na miaka miwili ya Utumishi wake Ikulu. Na hata mwishoni mwa mwaka uliopita wa wa 2023 nilipohojiwa na Mtangazaji Chief Odemba katika kipindi cha...
  4. Suphian Juma

    RAIS SAMIA AMETUGHARISHA 2023

    RAIS SAMIA AMETUGHARISHA 2023 Na; Suphian Juma Nkuwi Wakati tupo kwenye mahitimisho ya nderemo na vifijo vya kufunga mwaka 2023 na kuukaribisha Mwaka mpya 2024; bila shaka kila mmoja wetu asiyeishi kwa bahati mbaya duniani, amejitathimini alipofanikiwa na wapi amejikwaa ajisahihishe kufikia...
  5. Suphian Juma

    Watoto; Kalamu inaweza kukutengeneza kuwa Rais Samia, Wazazi; Mtoto wa jirani ni wako

    WATOTO; KALAMU INAWEZA KUKUTENGENEZA KUWA RAIS SAMIA, WAZAZI; MTOTO WA JIRANI NI WAKO- SUPHIAN Wiki hii tunapoelekea mwisho wa mwaka 2023, Shule ya awali (Nursery) ya Comfort Day Care and Pre School imefanya Mahafali ya tatu ya kuwaaga watoto wa darasa la awali ambapo Mgeni Rasmi amekuwa Mdau...
  6. Suphian Juma

    Suphian Star tv leo 3:30 usiku na Chifu Odemba

    SUPHIAN STAR TV LEO 3:30 USIKU NA CHIFU ODEMBA Leo Jumamosi saa 3:30 usiku nitakuwa LIVE Star TV studio za Dar es Salaam Kipindi cha Medani za Siasa na Mtangazaji wa Kimataifa Chief Odemba ambapo nitahojiwa juu ya harakati zangu za Siasa, na namna ninavyoutafsiri Uongozi na Siasa karim za Rais...
  7. Suphian Juma

    Njiku azindua mafunzo ya ujasiriamali Singida

    Afisa Tarafa ya Ilongero mkoani Singida, Yahaya Njiku leo Novemba 10, 2023 amefungua Mafunzo ya Ujasiriamali Tarafa ya Ilongero yanayoendeshwa na Shirika la kiraia la Star Entrepreneur General kama sehemu ya kuunga mkono maono ya Rais Dkt Samia ya kuwawezesha Wajasirimali na wafanyabiashara...
  8. Suphian Juma

    Wajerumani walirudishe fuvu la Liti mkoani Singida

    WAJERUMANI WALIRUDISHE FUVU LA LITI SINGIDA. Sijawahi kusikia Rais wa Ujerumani amekuja kwetu Tanzania, hii ndiyo mara ya kwanza. Shikamoo Rais Dkt Samia. Rais Dkt Frank-Walter Steinmeier atafanya ziara ya Siku 3 kuanzia Octoba 30 hadi Novemba 1, 2023, ambapo pamoja na mambo mengine...
  9. Suphian Juma

    Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa IPU kwa kishindo, apata kura 172 kati ya 303

    SPIKA TULIA, RAIS MPYA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU) Spika wetu Dkt Tulia Ackson ameshinda kwa KISHINDO nafasi ya Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kwa Kura 172, Malawi 61, Senegal 59 na Somalia 11. Hili ni goli letu tukufu Watanzania kisiasa, Kidiplomasia na kimahusiano duniani...
  10. Suphian Juma

    Rais Samia, Nyerere wa pili

    Rais wetu Dkt Samia amelihutubia Bunge la Zambia leo baada ya kuoombwa ziara ya kuwa Mgeni Rasmi wa Siku ya Uhuru wa Nchi hiyo ya Zambia ambayo ndiye Mteja Mkuu wa Bandari yetu ya Dar es Salaam inayoenda kufanyiwa Mapinduzi ya kiufanisi na DP World ya Dubai. Nafurahi kuona tuna Rais anayevaa...
  11. Suphian Juma

    Rais Samia karibu Singida

    KARIBU SINGIDA "IYUU" SAMIA. Rais Dkt Samia ana ziara ya siku 3 Mkoa niliyozaliwa wa Singida. Hii ni ziara yake ya kwanza Singida tangu awe Rais ambapo pamoja na mambo mengine ataadhimisha BIRTHDAY ya Mkoa wetu wa Singida kwa kufikisha miaka 60 tangu uundwe Octoba 15, 1963. RATIBA: Kwa mujibu...
  12. Suphian Juma

    Kifo cha ACT Wazalendo ni "Poor parenting"

    KIFO CHA ACT WAZALENDO NI "POOR PARENTING." ACT wazalendo ina kila sababu ya kuwa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania, na kuongoza idadi ya madiwani na Wabunge Chaguzi zijazo kulinganisha na CHADEMA. Udhaifu wake mkuu ni kwenye "Parenting", iwatengeneze Vijana mapema kama CHADEMA ilivyowaibua...
  13. Suphian Juma

    Si kila shari ni laana, kuna shari nyingine ni kheri

    SI KILA SHARI NI LAANA, KUNA SHARI ZINGINE NI KHERI. Nikiwa nasoma Shule ya Msingi na kwa muda mwingi baada ya kumaliza darasa la saba nilikuwa najishughulisha na biashara ya mbuzi na kuku kijijini kwetu Minyughe Mkoani Singida. Kabla sijaenda kidato cha kwanza, nilipanga kisirisiri kutoroka...
  14. Suphian Juma

    Mimba kuanza kupandikizwa Tanzania

    MIMBA KUANZA KUPANDIKIZWA TANZANIA Hospitali yetu ya Muhimbili kuanza KUPANDIKIZA MIMBA mwishoni mwa mwaka huu wa 2023, wenye matatizo ya kuzaa wakae chonjo. Maradhi tuliyoona kwa karne hayatibiki Tanzania hadi twende India Rais Dkt Samia kwa mahaba yake tele kwa raia wake ameleta tiba nchini...
  15. Suphian Juma

    Mlata: Rais Samia ameniagiza matokeo

    Julai 29 na 30, 2023 zilikuwa siku za fahari sana kwangu kisiasa. Nilialikwa kushiriki Ziara ya Siku mbili Wilayani Manyoni ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Bi. Martha Mlata, mwite "Mama wa Matokeo". Ahsante Mama Mlata kwa heshima hiyo. Ziara hii ya Mwenyekiti Mlata aliyeambatana na Kamati...
  16. Suphian Juma

    DP World hawawekezi bandari zote, tusimmezeshe maneno Chongolo!

    DP WORLD HAWAWEKEZI BANDARI ZOTE, TUSIMMEZESHE MANENO CHONGOLO!! Nimeona "clip" iliyotengenezwa na vijana wa CHADEMA wakishirikiana na wanaharakati wao kupotosha hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwamba DP World itaendesha bandari zote. SI KWELI: Bali Mhe. Chongolo alikuwa...
  17. Suphian Juma

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    IJUE SIASA, USHOGA NA NGENDEMBWE ZAKE!! Na: Suphian Juma Nkuwi Salaams!! Nimekwepo kwenye siasa takribani muongo mmoja sasa. Nimefunza Siasa kwa kuitenda na naendelea kujifunza. Ni sahihi kusema Siasa ndio nguzo kuu iongozayo Nchi. Kila maamuzi ya Siasa humgusa kila mtu kwa kupenda ama...
  18. Suphian Juma

    Mwanaume Mtanashati duniani kumtunuku Tuzo Rais Samia

    Taasisi ya Kitanzania ya Miss Jungle International leo Mei 06, 2023 imepokea ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya nchini India iitwayo International Iconic Awards wenye lengo kuu la kuja kutoa tuzo kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan baada ya kukoshwa na mageuzi lulu aliyoyafanya kwenye...
Back
Top Bottom