Search results

  1. Mangimeli

    Wapi naweza kupata kioo cha LG G3?

    Wakuu, Naulizia ni sehemu gani naweza pata kioo cha simu aina ya LG G3, nipo Dar maeneo ya Kijitonyama.
  2. Mangimeli

    Akimtimua mkewe atakuwa na makosa?

    Jamaa amefunga ndoa,ndoa ina miezi kadhaa hata mwaka bado ikafika kipindi wife akapata ujauzito. Alipoenda kuanza clinic,vipimo vikaonesha ana maambukizi. Clinic wakamuambia aje na mumewe wapime wote, mume akapima hana hayo matatizo yupo salama. Je jamaa afanyeje, ndoa na iwe basi au? Na pia...
  3. Mangimeli

    Wadau msaada kubadilisha umiliki wa pikipiki

    Naomba kujua ni taratibu zipi za kufuata nataka kubadilisha umiliki wa piki piki kutoka jina la aliyeniuzia kuwa jina langu.then nibadilishe namba kutoka za zamani kuwa mpya!!!
  4. Mangimeli

    Mnada wa hadhara ubalozi wa Marekani

    Wadau mnakaribishwa kwenye mnada wa vitu mbali mbali, kama fenicha, magari, vyombo vya ndani. Nk mnada utakua siku ya jumaosi tar 20 12 2014 kuanzia saa 2:30 mpaka saa 10:30 pia unaweza kagua pia kwa siku ya leo kuanzia saa 9-12 pm[ ATTACH]212135[/ATTACH]hizo ni bahadhi ya mali zitakazo pigwa...
  5. Mangimeli

    Natafuta wataalam wa kuchimba kisima

    Wadau naomba maada kwa mtu anayejua hawa jamaa wanakopatikana mimi naishi dar kigamboni asanteni
  6. Mangimeli

    Chadema kwisha habari yake!!

    Kwa matokeo haya ya uchaguzi huu wa madiwani ni ishara tosha kwamba wananchi wameamua kuzungumzia kwenye masanduku ya kura, na ni ishara tosha kwamba bado wananchi wana imani na chama kilichopo madarakani, na hata kama mapungufu yapo ni ya kurkebishika ni hayo tu!nakaribisha kupingwa!!!!!
  7. Mangimeli

    Fainal afcon

    wadau naombeni mnipe muda wa iyo fainal ni saa ngapi iyo kitu itapigwaa
  8. Mangimeli

    wakazi wa mji mwema kigamboni karibu na blue fish bar

    wadau nlipita mitaa hiyo mida ya saa kumi na mbili asubuhi pale blue fish kukawa kuna watu wengi sana pamoja na defender ya,police mwenye habari zaidi atujuze!!!!!
  9. Mangimeli

    Chadema read this!!!

    Ushabiki mwingine siuelewagi jamani,Ikishinda CCM sehemu yeyote Sheria imebakwa Ikishinda CHADEMA sehemu yeyote haki imetendeka kwani CCM haina haki ya kishinda katika sehemi yeyote au kwa jambo lolote na hako ikawa imetendeka hili linakera kuna,mwingine anayekerwa na,hili kama mimi??
  10. Mangimeli

    Makanda waoga.

    magwanda,mbona waoga ivyo wazee, maana ya makamanda ni nini? mnatakiwa muwe ngangari,sio kutishiwa kidogo tu ohh wanataka kutuua,makamanda awatakiwi kuogopa,ogopa vitisho bana,makamanda wa wapi nyie, mnatakiwa muwe ngangari, sitaki kusikia tena atuwezi kuwapa nchi kwa uoga huo .
  11. Mangimeli

    TANZIA President Bingu wa Mutharika of Malawi is dead!

    Malawi's President Mutharika treated for cardiac arrest Malawi's President Bingu wa Mutharika has been admitted to hospital after suffering a cardiac arrest. Mr Mutharika, 78, is said to be unconscious in the intensive care unit of a hospital in the capital, Lilongwe, after...
  12. Mangimeli

    Mangimeli aponea chupu chupu ajali ya pikipiki

    Ilikua ni jana usiku maeneo ya dakawa,lakini mungu alivyo mkubwa sikuumia ila gari ilipanda juu ya pikipiki yangu naomba mnipe pole.
  13. Mangimeli

    Dr msaada jamani nna wasi wasi.

    Eh bwana ndugu daktari sipati choo kabisa yani leo nna siku ya tano na nakula ni balaa,ila sasa najamba sana,yani nikiachia kijambo apa mpaka nyumba ya pile, waliniambia nile matunda, munda nakula sana ila bado.
  14. Mangimeli

    Jamani wanawake mtatumaliza

    NNAOMBENI USHAURI WAKUU,nina ndugu yangu alioa kama mwaka ivi umepita, na kwa sasa wamebaatika kupata mtt mmoja,tatizo lililopo sasa ni kwamba yule shemeji yetu ni( postive) na alijua toka mwanzo ,nikisema mwanzo namaanisha ni kabla ya ndoa yao yani,ila mungu alivyo mkubwa broo ameenda kupima...
  15. Mangimeli

    Jf/wadada kwa wakaka nipo chini ya miguu yenu naomba msaada

    Katika pitapita zangu,nikiwa na shida ya kutafuta mwenza,mimi ni He/ nikakutana na binti mmoja tukazoeana,na tukapendana sana na nikampeleka mpaka hme,na nilivutiwa zaidi na zaid baada ya kuniambia kwamba yy ni bikira hajawai kktana na mwanaume yyte,mimi nkasema dont worry,ayo yote kama ni kweli...
  16. Mangimeli

    Basi la Ngorika lagongwa; baadhi wajeruhiwa

    Wadau nimepata abari kuwa ngorika imepata ajali eneo la mbwewe mwenye abari zaid please
  17. Mangimeli

    Merry Christmas and Happy New Year 2012

    Hallo ba ndugu ba jf, natumai mko bomba na mmejiandaa vyema na kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka,kwa upande wangu na watakia kila lilo jema ktk kusherekea ,,kila la kheri wadau tup pamoja ,,,,big upppp:welcome:
  18. Mangimeli

    T 2015 ccm

    Gari tajwa apo juu imeibiwa mwenye taarifa za kuweza kupatikana kwake dau NONO litatolewa,
  19. Mangimeli

    I,m looking wife, especially from uchagani,ikiwa machame ni nzr zaid

    Jamani ninamaanisha i want to intr ma cv kabla ya yote,kishule nimeishia form four, ila ni mwajiriwa srkln, ma age is 30 yrs,ninayemtaka asivuke 28,elimu form four na kuendelea, na awe na mawazo ya maendeleo,ila na awe tayari kup endwa, nawasilisha wakuu.
  20. Mangimeli

    Msaada wa haraka jamani, nahisi naumizwa mda si mrefu

    Jamani wadau nipo apa, Ferry upande wa magogoni kuna kajibaa flani apa uwaga tunakaaga tukisubiria kivuko, napiga safari yangu ya baaariidi, kaja jamaa mmoja, kajiintrojuce kwangu yeye ni forenar katokea pande za kwa kibaki, amekuja tafuta job apa tz, kwa apa tz amefikia ubungo kwa rafiki yake...
Back
Top Bottom