Kila kitu kipo kwenye mtandao Kila kitu tena hadi video bure huko YouTube.
Tatizo watu hawana hobby ya kujisomea. Kagua simu za wanafunzi kama utakuta app ya wikipedia huko ni bahati lakini hutakosa picha za hovyo hovyo Na miziki ya Kila namna!
Kuna nini kibaya kwenye CHAI na KAHAWA?:
Kwenye chai na kahawa kuna kitu kinaitwa CAFFEINA/KAFEINA. Kafeina ni nini?:
1. Kafeina ni madawa ya kulevya kundi la stimulants drugs. Utashangaa. Habari ndiyo hii, watu wengi wanatumia madawa ya kulevya kila siku pasipo wao kufahamu. Hii ndiyo sababu...
Usisubiri kiu. Kunywa Maji ya kutosha Kila siku mpaka Lita tatu Na nusu au kunywa juisi ya matunda uliyotengeneza mwenyewe. Maumivu wakati wa period ni ishara huna maji ya kutosha mwilini. Siri IPO hapo.
Mbona hili jambo tumeshalijadili mara nyingi tu hapa jf? Labda wewe ni Mgeni wa jukwaa hili. Nikiwa kwenye PC nitakupa link ya hapa hapa jf. Endelea kukubali kila unachoambiwa Na mzungu
The AIDS Indictment
AIDS Epidemic Co-Factors...
Recreational Chemical Abuse
False Positive HIV Tests
Commercial Greed
Pharmaceutical Genocide
Medical Research Blunders
Government Incompetence
Hundreds of Thousands Dying Needlessly of AIDS
AIDS is Easily Reversible
HIV Does Not...
Kila watoto 10 wanaozaliwa 7 ni wa kike na 3 tu ndiyo wa kiume. Wanawake ni wengi sana kiasi kwamba labda kila mwanaume aoe 10 ndiyo kila mmoja atapata bwana
Siyo kweli mkuu. it should be been produced from a chemical process. Na pia kisayansi siyo kweli kuwa kemikali zote ni mbaya au zina madhara mabaya. Ila watu mmekariri vibaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.