Search results

  1. J

    INAUZWA Samaki fresh from Mwanza

    Naweza kupata namba yako?
  2. J

    Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

    Ntarudi na feedback. Asante sana mkuu
  3. J

    Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

    Ninaomba kujua soko la mbao uarabuni likoje? Maaana nimekua nauza mbao za jumla toka Mafinga-Iringa sasa natafta namna ya kuingia katika soko la nchi za kiarabu
  4. J

    Biashara ya vyakula afrika kusini na south sudan.

    Asante Chipukizi! Kama una mtu/suppiler au kwa una connection yeyote tutashukuru kwa maelekezo tafadhari.
  5. J

    Biashara ya vyakula afrika kusini na south sudan.

    Hapo kwenye mchele na vitunguu ni pazuri bw malila...ila kama unafahamu kampuni au mtu anayepeleka mzigo ningefurahi zaid ili wadau tupate uelekeo wake.
  6. J

    Biashara ya vyakula afrika kusini na south sudan.

    Nimekuwa najihusisha na ununuzi na uuzaji wa mazao hapa nchini tanzania, sasa nafikiria sana kwenda afrika kusini na south sudan.Ninaomba mwenye uzoefu au fursa kwamba naweza KUUZA NINI katika nchi hizo mbili tafadhari naomba michango yenu.
  7. J

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    -Kwa sababu ya ugeni ni lazima uwepo wakati wa manunuzi,ili ujifunze na uhakikishe kinachonunuliwa -Mara nyingi hurudisha mtaji wako ivo unaweza kuanza kidogokidogo na nadhani sehemu nyingi ndo wameanza mavuno i.e ifakara, mbarali
  8. J

    mwenye till ya tigo pesa jamaani!

    Ikifika mwakani itaanzia milioni maana miaka miwili zilikua buree na sasa tigo hawategemei kutoa till karibuni
  9. J

    Shikamoo Pesa Pub-Sinza YAFUNGWA!

    Jamani New Shikamoo pesa ndo iko ktk hatua za mwisho za kufunguliwa...hao wazee wa fitina wa mabatini na Diwani wao hawatuwezi...Tajir Freddy anapambana kwa ajili ya wateja( Ema mavogue,suzy ------, tajir Maganga etc)na wafanyakazi wake (mama shughuli,wali nazi,matongee).
  10. J

    Nimepata mil 10 ghafla, nataka ninunue mchele kisha niuze mwezi 10. Je, kuna zao lingine bora zaidi?

    Wazo zuri sana Moriah. -Cha msingi nikupata wenyeji ambao ni waaminifu kwakua wewe ni mgeni ktk biashara hiyo maana uwa kuna tabia ya wanunuzi(wale uwatumao kwenda shambani) kupotea na hela -Ifakara mjini sio sehemu nzuri ya kununua mpunga,ningekushauri uingie chaka kama malinyi,mtimbila,chita...
  11. J

    Kukodisha trekta

    Mimi nipo dar ila mashine zinaweza kwenda kokote kutegemeana na kazi.
  12. J

    Kukodisha trekta

    Natafuta shughuli za kufanya kwa trekta baada ya msimu wa kulima
  13. J

    Kukodisha trekta

    Natafuta shughuli za kufanya kwa trekta baada ya msimu wa kulima
  14. J

    Part time job in teaching tourism studies

    Graduate with a tourism degree from makerere univ,,,, for more details 0716011111
  15. J

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Kwanza nakupongeza kwa kuchagua eneo zuri maana kata ya idete ni nzuri kwa utoaji wa mpunga! Tahadhari: 1.Inaonekana huna uzoefu nakilimo cha mpunga,ningekushaur upate msimamiz ambaye anauzoefu na ambaye unamwamini vya kutosha 2. Ekari 50 ni project kubwa sana kwa mtu...
  16. J

    MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    chodoo, Salaam Chonde, Nashukuru kwamba umeonyesha nia ya kulima mpunga ila kabla sijatoa ushauri wangu..Ningependa kujua yafuatayo: 1. Ulishawahi kulima mpunga tofauti na ifakara? 2. Unategemea kukodi shamba maeneo gani? Ie mgeta,chita,malinyi 3.Nafasi yako ya kusimamia shamba ikoje? Maana...
  17. J

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Ungeweka wazi vitu vifuatavyo: 1.Unatarajia kulima mazao gani? 2.Shamba liwe mkoa gani? 3.Unatarajia kulima ekari ngapi?
  18. J

    Spares za John Deere 3050

    Tunalazimika. Nimeshakucheki bosiwangu
Back
Top Bottom