me naona jk sasa aende uhamisho kwani yeye hatangazi kuna tatizo wapi nchi hii ,kafanya nini kuta2a hilo tatizo bali kwenye sherehe utasikia kawapisha mabalozi kawateua wakuu fulani na sasa wakuu wa mikoa hebu chuja mwenyewe Engneer sitelah manyanya mbunge wa viti malumu tena kamuteua kuwa mkuu...
jamani ccm sasa chali mana hadi ma DC wanaacha kazi za taifa nakuingia kwenye siasa inamana mkapa hatoshi? Au mambo magumu huko Igunga jamani nisaidieni ndugu zangu mana me nipo nyuma ya pazia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.