Search results

  1. Masokwe

    Ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami

    Habari zenu Jukwaa Hili Ombi langu ni ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami. Sifa zangu. Umri :35yrs Elimu: Shahada Kazi : Biashara, Mkulima na mfugaji Rangi: (wanaita maji ya kunde 🥸) Dini: Moslem Kabila : Mgweno Kimo: mrefu wa kutosha sanaaa [emoji851] Sifa za mke 1. Umri: 25...
  2. Masokwe

    Nahitaji fundi ujenzi mwenye weledi na makini

    Helo wakuu nahitaji fundi mzuri wa ujenzi, na awe na utaalamu wa kujenga hizi nyumba za kuficha paa. Kwa sasa nahitaji kupandisha boma kwanza, nyumba ni vyumba 2, kimoja self, jiko seble dining. Bei ziwe nzuri, mimi ni wale wazee wa kudunduliza ila napenda kitu nzuri Fundi akitokea maeneo ya...
  3. Masokwe

    Wakuu naomba makadirio ya haraka haraka ya tofali kwa hii ramani

    Hello wakuu mambo vip. Tafadhali wale wazoefu, naomba kujua makadirio ya haraka haraka kwa msingi tuu, wa ramani hii maana pesa ni za kudunduliza. Makadirio ya tofali Makadirio ya mifuko ya cement NA nondo za lenta ya msingi Pia na ufundi. Nyumba ukubwa ni meter 80 Kamjengo nataka kuweka...
  4. Masokwe

    Nyumba hii itagharimu tofali kiasi gani

    Hello wakulungwa na mafundi wabobezi, Naomba kujua nyumba hii ya vyumba 2 utagharimu tofali kiasi gani!? Msingi pekee tofali ngapi!? wenye angalau coz 5, napendelea nyumba iwe juu. Kutoka kwenye msingi mpaka lenta pia? Maana ujenzi wangu ni ule wa awamu awamu.
  5. Masokwe

    Inakuwaje hii, watafuta waume wengi ni Dada zangu wa kikiristo

    Nimekuwa nafuatilia jukwaa hili kwa ukaribu Sana, asilimia kubwa ya wadada watafuta mume ni wakiristo, inakuwaje hii.
  6. Masokwe

    Coincidence

    coincidence [emoji848] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Masokwe

    Nahitaji kupata Mkopo kutoka kwenye taasisi za wajasiriamali, dhamana yangu kiwanja

    Helo wakuu, nahitaji kupata mkopo kutoka taasisi yenye kujali wajasiriamali, Nahitaji kutanua biashara yangu kiasi, Naomba ushauri maana dhamana niko nayo ni gari, Kiwanja kipo lakini hakina title deed, Ushauri tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Masokwe

    Huu utaratibu wa kupata Leseni ya Biashara kupitia Online Application...

    Husika na heading hapo juu, kuna huu utaratibu mpya ukishapata Tax Clearance toka TRA, inatakiwa ufanye application online ili kupata leseni. Je, kuna mtu kafanikiwa katika hili, maana nipo mbali na offisi zao na simu hawapokei, sijui ndio wapo likizo. Msaada tafadhali Michango
  9. Masokwe

    IDM serial number, or crack

    Wakuu husika na heading hapo juu, kila IDM nadownload inaleta shida. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Masokwe

    Naomba msaada wa dawa ya kujikuna

    Hello wakuu husika na kichwa cha habari juu hapo Toka jana najikuna sana, hasa saa za usiku Mchana sio sana, Msaada tafadhali.
  11. Masokwe

    Natafuta mwanamke anayejielewa

    Husika na heading, nahitaji mwanamke (fiance) anayejielewa vyema kuanzia umri wa miaka 22 , elimu sio kigezo sana, kuanzia form 4 akiwa anajua hesabu kiasi itakuwa vyema. Usiwe mfupi, maana napenda mwanamke mwenye mwili ila sio obesity, chura kiasi, ukiwa brown skin Itakuwa poa Sana, ila sio ya...
  12. Masokwe

    Mambo 10 marufuku kwa wanaume mabaharia

    Mambo 10 marufuku kwa wanaume 1. Kusomesha mchumba 2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako. 3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali. 4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako. 5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa...
  13. Masokwe

    Zawadi nzuri kwa mchumba

    Zawadi kubwa na ya pekee ya kumpa mchumba/mke ni mimba tu. Kumsomesha jiandae kisaikolojia kupata hitilafu ya moyo.
  14. Masokwe

    custom binary blocked by frp lock note 5 MSAAADA TAFADHALI

    MSAAADA TAFADHALI custom binary blocked by frp lock HII IMETOKEA KWA MY SAMSUNG note 5 MSAADA TAFADHALI
  15. Masokwe

    Employment opportunity at carhunt Tanzania

    EMPLOYMENT OPPORTUNITY AT CARHUNT TANZANIA Description This job requires the individual to have strong persuasion skills, communication (English is a must and Swahili desirable) and negotiation skills; ability to manage time; must have a flair for selling; must be a team player with a...
  16. Masokwe

    EMPLOYMENT OPPORTUNITY AT CARHUNT TANZANIA

    EMPLOYMENT OPPORTUNITY AT CARHUNT TANZANIA Description This job requires the individual to have strong persuasion skills, communication (English is a must and Swahili desirable) and negotiation skills; ability to manage time; must have a flair for selling; must be a team player with a positive...
  17. Masokwe

    Natafuta mchuma awe mke

    Hello wadau. Husika na Habari hapo juu Natafuta mwanamke anayejielewa -Awe angalau Maji ya kunde au mweupe WA asili no mkorogo -Mrefu kiasi tuu, asiwe mfupi sana, maana mimi ni mrefu kiasi -Akiwa na mwili kiasi na shape ya kike itakuwa vyema sana -Akiwa muislam itapendeza ila dini yoyote Sawa...
  18. Masokwe

    Radio ya Nissan x-trial 2004

    Hello wakuu nahitaji radio ya Nissan x-trial 2004 Please call whatssap 0622388152 now Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Masokwe

    Natafuta mke

    Hello mamboleo vip wadau. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji mwanamke mwenye heshima zake Elimu sio kigezo sanaa ila awe mwelewa, kujituma Kwa kufanya kazi, mapenzi na familia. Sifa zake. -Awe mwenye kupenda uasili, asiwe mwenye kubadili asili ya rangi (sipendi kabisa mwanamke...
Back
Top Bottom