Search results

  1. mmewadadako

    INAUZWA Air Fryer kwa mapishi bila mafuta kwa bei poa

    "Ni vizuri" sio "Ni fizuri"
  2. mmewadadako

    Ni nini huwa kinapelekea eneo fulani kujikuta limekuwa na Makazi ya Kishua (wealthy neighbourhoods)?

    Hii ndio sababu kuu Uswahilini kunatokea pale kunapokua na viwanja vidogo vidogo
  3. mmewadadako

    Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

    Kwa Gross Salary hio ya 940k hawezi kuchukua mkopo wa 40's Million.
  4. mmewadadako

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Unaonekana ur a humble woman,hauna jazba na umerelax kwa mtazamo wa haraka haraka Safi
  5. mmewadadako

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Sawa mkuu..ila uhalisia ndio huo hata ukiukataa Hata ukipewa maelezo yote hayo unayoyataka ni kujustify tu COMPATIBILITY yako na huyo mwenzi wako Utofauti wangu ni kutokuzunguka sana mbuyu
  6. mmewadadako

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Wewe ni Capricon..soulmate wako hapa ni huyu wa tatu ambae ni Virgo
  7. mmewadadako

    Story behind your date of birth

    Hii inaitwa life path in numerology study
  8. mmewadadako

    Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

    [emoji28]..hili tangazo lina tashwishwi
  9. mmewadadako

    Mdogo wa kike wa Mke wangu ana tabia ya kutusikiliza tukiwa tunafanya mapenzi

    Kipindi ulivyokua mdogo chumbani kwa mzee wako kulikua na radio ya spika mbili ya Panasonic.Wewe ulijua mzee wako huwa anaskilizia taarifa ya habari Ila baada ya kukua najua sasa unaelewa umuhimu wa ile radio bwasheee
  10. mmewadadako

    Wanawake wanamaliza sana hela Kwa bodaboda

    Kama mwanamke anakwambia nina "bodaboda wangu na wewe mwanaume tafuta nina "mama ntilie wangu" ili ubalance mkuu
  11. mmewadadako

    Vijana acheni kunywa bia kwenye vibanda umiza, connection zote za maisha zinapatikana katika mahotel makubwa hapa mjini

    Ni weird sana kumfata mtu usiemjua kwenye meza yake moja kwa moja..kwanza atakuchukulia kama una agenda isiyo ya kawaida Ila unaweza kutumia advantage ya jambo flani linalotokea au linaloendelea ili kutengeneza ushikaji, mfano kuna mmoja huko juu amesema ushabiki wa mpira uliwafanya wakawa na...
  12. mmewadadako

    Wachawi wanavyoiba nyota za watu wanafanyaje?

    hahahaaa mkuu..hio sifahamu mkuu sina utaalamu huo
  13. mmewadadako

    Wachawi wanavyoiba nyota za watu wanafanyaje?

    Libra (mizani ) recall hapo juu
Back
Top Bottom