Search results

  1. rbsharia

    iPhone 4 ipo sokoni

    iPhone 4 Black colour 1 line 2GB of memory lot of games + GOOD CONDITION Kwa anaeihitaji awasiliane na Rama kwa namba 0719831271.
  2. rbsharia

    Nyumba ya kisasa inapangishwa!!!

    asante kwa ushauri kaka, ngoja nitatake photoz kisha nitazibandika
  3. rbsharia

    Nyumba ya kisasa inapangishwa!!!

    Ni nyumba ya kisasa kabisa ina details kama ifuatavyo; 1. Ina vyumba vitatu silf contained,sebule na dining 2. Ina uzio wa matofali 3. Ina parking kubwa pamoja na bustani ya kupumzika 4. Jiko na stoo vipo ndani kwa ndani 5. Ipo Tabata segerea karibu na kituo cha mabasi madogo Kujua bei...
  4. rbsharia

    Je, Urembo, Usharobaro wa kizembe na kuzurura mitaani vitaisha?

    ok ok ok hapo sawa, na je hawa ambao hawaendi shule hawawezi kuwa nyoka wa kuwaambukiza sumu hawa wengine wanaoenda shule na kupita jeshini?
  5. rbsharia

    Kwa hali hii tunakoelekea sio kuzuri!!!

    Kirubutu vipi ndugu? Umewasilisha? Lakini sio issue najua umekosea kuandika tu, lakini still tunatakiwa tujadili tutawabadilishaje hawa watu kama kirubutu alivyosisitiza!!!
  6. rbsharia

    Je, unafamu wapi zinapatikana Huduma za mtandaoni (Online Services)?

    1. Washa kinakilishi (Computer) yako. 2. Unganisha computer yako katika mtandao / internet. 3. Fungua browser page yako 4. Kwenye address bar ya browser yako andika www.jigambe.com 5. Soma utakachokiona kisha wasiliana nasi Asanteni sana.
  7. rbsharia

    Jamani huu ni ushamba au?

    Watanzania wenzangu, inasikitisha sana mtu kuona au kuokota kitu cha mwenzako lakini unashindwa kukithamini au kukipeleka kwenye chombo cha usalama. Angalia tofauti; 1. Kizazi cha zamani (Babu na Bibi zetu) Zamani enzi za babu na bibi zetu walikuwa wakiokota hata funguo moja walijaribu...
  8. rbsharia

    Kwa hali hii tunakoelekea sio kuzuri!!!

    Wanajukwaa naomba nisaidieni. Hivi huu utaratibu wa kila kitu unachotaka kununua au kukodisha ni lazima awepo dalali? Imefikia wakati madalali wanapata faida kuliko wenye mali inayouzwa au kukodishwa hatua ambayo inatuumiza sisi wateja!!!! INANIUMA SANA, mbona kuna nchi ambazo ni masikini kama...
  9. rbsharia

    Je, Urembo, Usharobaro wa kizembe na kuzurura mitaani vitaisha?

    "Hii itasaidia kupandisha heshima, utiifu, ukakamavu na ufanisi wa vijana" Ni kauli ya mheshimiwa mmoja kufuatia Serikali kutangaza tena na kuthibitisha kuwa, kuanzia mwaka huu ni lazima kwa kila kijana atakayemaliza form VI apitie JESHI kisha ndio aende chuoni au aendelee na mambo mengine ya...
  10. rbsharia

    Kesi ya ajali ya Meli Zanzibar yasitishwa

    Jackson Odoyo, Zanzibar KESI ya ajali ya meli ya MV Spice Islanders iliyofunguliwa dhidi ya manahodha wa meli hiyo na mmiliki wake, imesitishwa.Kesi hiyo ambayo jana ilitajwa kwa mara ya pili katika Mahakama Kuu ya Zanzibar, imesitishwa kupisha uchunguzi wa kamati iliyoundwa na Rais wa...
  11. rbsharia

    Apple iPhone 4

    ok, Bado nahitaji mawazo na views zenu kuhusu haka ka-iPhone. CHONDECHONDE jamani.
  12. rbsharia

    Apple iPhone 4

    Duh!! Ok, mlendamboga sister anasema mbona hiyo namba haipatikani?
  13. rbsharia

    Haijawahi kutokea hapa bongo!!!

    ok, ni kweli nayo nimeshawahi kuiona mkuu.
  14. rbsharia

    Biashara imekuwa ngumu kuliko kawaida!!!

    Kwa hiyo tunashauriana nini jamani? Bado nipo njia ya panda mwenzenu.
  15. rbsharia

    Elimu ndio kila kitu.....!!!

    Kila tukilala, Elimu. Kila tukiamka, Elimu. Namna ya kuishi, Elimu. Kufanya biashara, Elimu Kila tunachofanya, Elimu. Jamani, ni wazi kuwa kila siku za maisha yetu inabidi tuwaze Elimu sababu kwa tulipofika tunahita elimu bora ili tufikie malengo. Ninapozungumzia elimu simaanishi kukaa darasani...
  16. rbsharia

    Apple iPhone 4

    Waungwana naombeni msaada. Kuna dada yangu amesahau phone lock code ya iPhone yake. Je, inawezekana kuiunlock? Wataalamu wa Jigambe, michuzi, Jf na site zingine nawaomba msaidieni huyu dada jamani, anaonekana kuchanganyikiwa.
  17. rbsharia

    Haijawahi kutokea hapa bongo!!!

    Je, ulishawahi kusikia au kuona mtandao unaowasaidia watanzania kutangaza matangazo yao kwa bei poa? JigambeAds TanzaniaKwetu Mitandao hiyo hapo juu inamwezesha Mtanzania yeyote kutangaza biashara, kazi au links za site zake kwa gharama ya chini sana. Tembelea na uulize usipo paelewa ili ujionee.
  18. rbsharia

    Biashara imekuwa ngumu kuliko kawaida!!!

    Inasemekana hapa Tanzania biashara imekuwa ngumu kuliko siku za nyuma. Hii inaweza ikawa kweli au la. Kwa ninyi wenye ufahamu na uzoefu wa biashara, je suala hili ni kweli?
Back
Top Bottom