Search results

  1. Bwana Fulani

    Hii tunaiitaje kitaalamu?

    Karibuni
  2. Bwana Fulani

    Mmehamukaje majirani zangu?

    🤳: Google Pixel 2 XL 🎨: Adobe Lightroom
  3. Bwana Fulani

    Uko upande gani?

    Utafiti wa Taasisi ya Kinsey Indiana University Marekani umehitimisha kuwa Mwanaume uchepuka kwenye uhusiano/ndoa yake ni dalili ya kuwa na akili ndogo (low IQ), "Wanaume wenye akili kubwa muda wa kuwasaliti Wapenzi au Wake zao hawana kabisa, wanatulia na Mtu mmoja"
  4. Bwana Fulani

    Jitahidi Kuwa Mkweli

    KUWA MKWELI SIKU ZOTE Mwanamke aliingia kwenye bucha ya nyama na kuuliza "Una kuku?" Muuza nyama akafungua friza na kutoa kuku pekee ambaye ndiye alikuwa amesalia akamweka kwenye mizani. Mizani ikasoma Kilo 1.5. Yule mwanamke akamtazama kuku kisha akauliza "Hakuna mwingine ambaye walau ana...
  5. Bwana Fulani

    🙌😂

  6. Bwana Fulani

    Xiaomi wazindua the fastest charging phone around

    Kampuni ya electronics, XIAOMI, Imezindua simu mpya ( Xiaomi Mi 10 Ultra) yenye 4,500 mah battery inayoweza kwenda 0% to 100% charge ndani ya dakika 20 tu ikitumia official charger ya watts 120 🔥 Pia simu hiyo ina support 50 watts wireless charging ambapo itatumia 40 minutes pekee kujaa Simu...
  7. Bwana Fulani

    Iringa: Jamaa aomba kupunguziwa adhabu Mahakamani kwa kusema ana wake wanne na michepuko watano wanaomtegemea

    Mkazi wa Ruaha Mbuyuni Mkoani Iringa Chacha Maswi (47) ameiomba Mahakama ya Mwanzo Mbeya impunguzie adhabu huku akijitetea kuwa ana Wake wanne na michepuko watano ambao wote wanamtegemea, pia Mama yake ni mgonjwa mahututi. Chacha Maswi amefikishwa Mahakama kwa tuhuma za kujipatia fedha Tsh...
  8. Bwana Fulani

    Anachomoa Hachomoi [emoji27]

    Uzi Tayari
  9. Bwana Fulani

    Mzungu wa roho ina maana gani?

    Habari, wana JF. Naomba kujua maana ya neno "MZUNGU WA ROHO" Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom