Kwa jopo la upatanisho naungana na wewe mzee salim pamoja na mzee mkapa wangesimamia hii suluhu,,,
kwa upande wa nguvu za kijeshi umesema Rwanda akianza malawi nae anaweza kuja nyuma yetu,,hilo ondoa shaka mkuu kwa huku malawi Mbeya inawatosha,,
na huko juu ni Mwanza tu! Bila kuchukua wajeshi...
Kiukweli inategemeana na hali za familia ila kiujumla first born kama ni wakiume au wakike huwa wanakuaga na mzigo mkubwa angali watoto ndio maana wengi wao huwa fast kwa kila kitu,,,,
kwetu sisi firstborn ni wakike na secondborn ni boy huyu sister wetu akiwa na umri wa miaka kumi darasa la...
Hii elimu ya ukimwi kila kuchwao inatolewa lakini maswali na majibu ni tofauti mfano; jamaa kauliza mate yanaweza ambukiza vvu,,,? Ni swali namba nne kama sijakosea,
kuna gazeti moja nilisoma kwamba kuna kifaa kimegunduliwa kwa kupimia ukimwi kwa njia ya mate,,hapo hapo tunaambiwa hakuna vvu wa...
Nimekusoma mkwawa nimejaribu kuitafuta phone setting kwa kila namna sijabahatisha kuiona ilipo,, pili hili tatizo hili limeanza juzi jumatatu kwani hata nikiwa offline alama ya H inakua bado inaonekana mara ya kwanza ilikua safi nikinunua kifurushi cha 20mb kilikua kinakaa mpaka siku ya...
Habari wakuu
nina nokia asha 303
kuna alama hapa juu karibu na bars za network haka kanabadilika mara "E" tatizo nikinunua kifurushi hakikai hata nisipo peruzi nakuta kimeisha kabla ya wakati wake nisaidieni jamani namna ya kukiondoa...
jamani nimepokea zawadi ya simu mbili moja ni Nokia e71 ipi ni bora kwa kuperuzi na uimara na Nokia asha 303 moja kati ya hizi nataka kumgei bwana mdogo me nibaki na imara kwa kuperuzi
Natanguliza shukrani,,,,
Msaada jamani iphone imeroga inatoa sound tu! Haisogei mbele wala nyuma ku crick ni double one click,, Program zilizipo chini hazipandi juu wala haziende left or right,,, plz msaada jamani.
Hamna lolote hapo walikua wapi,,,? Hizi cd zimetapakaa Congo,, south africa,,,zinauzwa ka babgum mpaka zimecross maborder mtawezaje kukzizuia nchini' ? Na mbaya mnazikamata kwa wamachinga badala ya kuzizuia kwa wazalishaji?
Zito angekua samaki,, mngejitahidi mmalize maji baharini kwa kumtafuta huyu binadamu. Sijajua ni wapi anawanyimeni usingizi,,,
Mara,,,,,
Ni shemeji wa Riz
Anawasiliana na M23
Anataka kulishwa sumu na ben saa 8
Ana ukaribu na baba riz
Anampinga m/kiti wa Cdm
haelewani na k/mkuu Cdm...
WHY ALLWAYZ ZZK,, WHY???
Sure hakuna marefu yasio kua na ncha
Huyu bwana ben kuna dei atawataja tu mabosi wake, na ile sumu wasemayo akina mwampamba na Shonza tutajua tu;, na itafahamika
Salama wakuu...
asanteni kwa mashauri yenu nilienda hospital nikachukuliwa kipimo cha Damu na mkojo majibu yalipotoka nikaambiwa sina ugonjwa wowote
Doctaa akashauri nichukue ka tube ka kupaka kwenye kidonda,, cha ajabu ni nini naona haya maji maji yakigusa kwenye paja panatoka kitu ka kipele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.