Search results

  1. Mr Kazembe

    Posta kuendeshwa kizamani Je awaoni ukuaji wa teknologia?

    Posta inakwama wapi?? Katika pita yangu mtandaoni mwezi wa 3 mwishoni nikadownload App ya posta ukweli huduma za posta nazihitaji na hapo awali nilikuwa nikitumia sanduku la rafiki yangu katika kudownload ile App nikaona kuna uwezekano wa kuanzisha sanduku ukiwa popote pale yaani wakimaanisha...
  2. Mr Kazembe

    Posta inakwama wapi

    Posta inakwama wapi?? Katika pita yangu mtandaoni mwezi wa 3 mwishoni nikadownload App ya posta ukweli huduma za posta nazihitaji na hapo awali nilikuwa nikitumia sanduku la rafiki yangu katika kudownload ile App nikaona kuna uwezekano wa kuanzisha sanduku ukiwa popote pale yaani wakimaanisha...
  3. Mr Kazembe

    Spain kuitambua Palestine kama taifa kamili

    Kwa data hizi unahisi awawezi kuishi na dini gani ??
  4. Mr Kazembe

    Nimegugo dalili zote UKIMWI, ninazo

    No no hayo ni maamuzi ya jabu kukaa naugonjwa pasipo sababu muone mtabibu wa afya upate vipimo usije jifia pasipo sababu sasa itikia kama feruzi
  5. Mr Kazembe

    Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

    Kahawa leo yamoto sanaaaa
  6. Mr Kazembe

    JamiiForums Usiku wa manane

    Vodacom hapa washakata internet aifanyi kazi daaah
  7. Mr Kazembe

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Naam barabara kabisa tuko live ni zaidi ya warusi 424960 wamelamba mchanga zaidi na zaidi tunalipongeza jeshi la ukraine likiwa limekomboa maeneo yote yalio twaliwa na urusi na hivi wanaelekea moscow kwa kasi sana tutegemee putin kukimbia nnchi
  8. Mr Kazembe

    JamiiForums Usiku wa manane

    🎬movie time
  9. Mr Kazembe

    Je, Houth ndiyo waliokata nyaya tatu za intaneti chini ya bahari ya Red Sea?

    Walijithibitishia vipi kama awawezi kufika??
  10. Mr Kazembe

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa jinsi wanavochinjwa tutegemee lini jeshi la ukrain kufika crimea ikiwezekana wachanje mbuga mpaka moscow aloo maana wanawachinja kwelikweli warusi
  11. Mr Kazembe

    Kwanini onyo la Putin linachukuliwa kuwa hatari baada ya kauli ya Macron?

    CIA kutoka mbagara tunaomba utufafanulie wameboresha nini hasa
  12. Mr Kazembe

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa jinsi wanavochinjwa tutegemee lini jeshi la ukrain kufika crimea ikiwezekana wachanje mbuga mpaka moscow aloo maana wanawachinja kwelikweli warusi
  13. Mr Kazembe

    Israel yalipua mabomba ya gesi ndani ya Iran, mbwai na iwe mbwai

    Huo ukristo ulikujaje mgalatiaa
  14. Mr Kazembe

    Israel kuandaa hema 25,000 zitakazoishi watu wa Rafah kabla kupapiga

    Huyo mtoto alikua mjukuu wako mbona inakuuma baba yake kamuozesha wewe kinakuwasha nini.. au ulitaka uolewe wewe huo ni wivu sasa
  15. Mr Kazembe

    Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi

    Asee sababu kubwa starlink inashika kila mahali ila hio mitandao ya simu nikanjanja sana asee mfano mimi natumia ya voda nikienda bagamoyo no network inakua aifanyi kazi kabisa.. tuachane na hilo dar hapa hapa kuna mahali nilipanga hakuna mtandao kabisa yanj mpka utoke nje au utegeshetegeshe...
  16. Mr Kazembe

    Israel mambo yamewafika hapa. Watishia kuipiga Lebanon kama dunia itashindwa kuwaondoa Hizbullah mpakani. Je, wataweza?

    Mtoto ulie mpiga bakola ndio anaekukaba ukubwani historia huwa inabadilika
Back
Top Bottom