Search results

  1. C

    Lucas j. Makombe(kwiro sec school-2001) aliyepoteza certificate ya a level anitafute

    habari wanajamvi... nina A Level Certificate ya ndugu LUCAS J. MAKOMBE - KWIRO SECONDARY SCHOOL mwaka 2001... naomba ndugu huyu au yeyote anayemfahamu amjuze ili ani PM niweze mpatia mzigo wake huu... asanteni...
  2. C

    Naomba mnipokee

    Habari zenu wanaJF mimi ni mwanachama mpya hapa jamvini, natumai mtanipokea na kunipa ushirikianao!!!
  3. C

    Tunajivunia/tunavumilia kuwa watz

    wakuu hii kitu inanipasua kichwa kwa mrefu sana.... 1) naomba mnisaidie katika hili wanajamvi, hivi tunajivunia kweli kuwa wananchi wa hii nchi???kwa lipi??????????? 2)kama tunavumilia kuwa watz, ni sababu gani za msingi zinazotupa huo uvumilivu???? nawasilisha
Back
Top Bottom