Search results

  1. K

    Kipi kianze kati ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya?

    Kumekuwepo na mijadala na majibizano mitandaoni kwamba kipi kianze kupatikana kati ya Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi. Chama cha Chadema wao wanataka katiba mpya wakiamini ndio mwarobani wa changamito zinazoikabili nchi yetu. ACT Wazalendo wao wanataka ianze tume huru ya uchaguzi kwanza...
  2. K

    Tunausubiri kwa hamu uteuzi wa Wakuu wa wilaya

    Nimemsikiliza yule mwanachi wa Mkoa wa Mara aliempigia simu Mh. DC kwa lengo la kumkumbusha unyama wake. Maneno ya mwananchi yule ndiyo kiu yetu wengi kuona sura mpya kwenye orodha ya wakuu wa Wilaya. Wajinga wote wondoshwe, tuletewe watu smart kama Mama Msimdanganye Mama kwa kuchomeka...
  3. K

    Rais Samia anayoyafanya yanaimarisha nchi yetu

    Wana bodi. Kama wale watafiti wakija kuwahoji wananchi kuhusu furaha yao kwa sasa,hakika hatutakuwa wa mwisho tena,tutakuwa miongoni mwa nchi tano zenye furaha Duniani. Sasa kwa maoni yangu,Huu muhula Rais Samia kaudakia katikati,lakini ni.moja ya Viongozi bora kuwahi kutokea. Hapendi...
  4. K

    Watendaji wa Kata Manispaa ya Tabora wasitisha ushirikiano na Mkuu wao wa Wilaya DC Komany Kitwala.

    Katika hali ya kushangaza Mkuu wa wilaya ya Tabora Mh.Komanya Kitwala ,aliwaita watendaji wa kata za Manispaa ya Tabora ofisini kwake,baada ya watendaji kufika ili kusikiliza walichoitiwa. Jambo la kushangaza DC kitwala aliwaamuru watendaji kupiga magoti sakafuni. Watendaji wawili walipiga...
  5. K

    Uchaguzi 2020 Bila Dkt. Bashiru kuingilia kinachoendelea Tabora Mjini, Jimbo linakwenda Upinzani

    Leo Lissu yupo Tabora Mjini, wakati huohuo kuna mtufuano unaendelea kati ya wana CCM wenyewe kwa wenyewe. Upande mmoja ni CCM uongozi ambao umejiratibu kuanzia ngazi ya tawi hadi Mkoa, upande wa Pili ni Mh.Mkuu wa. Wilaya na Mgombea wake wa Ubunge Bwa. Mwakasaka ambaye wenye CCM yao wanadai DC...
  6. K

    Moto wawaka kati ya Viongozi wa CCM manispaa ya Tabora vs Mkuu wa Wilaya ya Tabora Komaya Kitwala

    Chanzo ni vitambulisho vya mjasiliamali (vile vya 20,000/= Mkuu wa wilaya kafanya kikao na bodaboda na waendesha bajaji na wale waendesha baiskeli(daladala baiskeli) kuwa kila mmoja lazima alipe sh.20000 ya kiparata(Kitambulisho cha mjasiliamali. Vijana wa bajaji wamegomea kulipa kwa madai...
  7. K

    Malalamiko ya watumishi juu ya Utawala wa miaka mitano

    1. Hakuna nyongeza ya kila mwaka tangu mwaka 2015 2. Hakuna Nyongeza ya mshahara. 3. Muda wa Kupanda madaraja umeongezwa kutoka miaka 3 ya sheria aliyoacha Kikwete hadi miaka 4. 4. Madaraja ya watumishi kwa sasa imekuwa mbinde mpaka uwe na ndugu Tamisemi (Connection) 5. Watumishi wakistaafu...
  8. K

    Uchaguzi 2020 Mtia nia aliyeongoza Udiwani CCM achukua fomu bila kusubiri idhini ya chama

    Wapo wana CCM wanaojiamini na ambao hawapo tayari kuendelea kusubiri majina ya mfukoni yanayochakatwa na viongozi wao. Mkoani Kigoma Jimbo la Kigoma Kaskazini kata ya Kagongo, Mgombea Udiwani aitwae Maganga mnano tarehe 15/08/2020 alichukua fomu ya kugombea Udiwani wa kata hiyo kwenye ofisi za...
  9. K

    CHADEMA na ACT-Wazalendo wote simamisheni wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kimkakati

    Salam wana JamiiJorums, Napenda kutoa maoni yangu juu ya CHADEMA na ACT-Wazalendo Kusimamisha wagombea wa Urais ,ubunge na Udiwani kabla ya kuungamisha nguvu. Wapo wasioelewa kwanini Membe kachukua fomu wakati toka awali wapinzani wammeshaonesha kuwa watamuumga mkono. Hesabu zipo hivi. Lissu...
  10. K

    Ni kawaida kwa mgombea kushuka viwango anapogombea kwa mara ya pili, Team Magufuli mmelitazama hili

    Moja kwa moja kwenye mada. Katika siasa zetu hapa Tanzania tangu ulipoanza mfumo wa vyama vingi,Benjamini Mkapa alichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania kwa asilimia nyingi katika uchaguzi wa 1995 ukilinganisha na matokeo yake ya mwaka 2000. Kikwete akiwa na mvuto wa aina yake ,alipata kimbunga cha...
  11. K

    CCM itaangushwa kama vilivyoangushwa Vyama vya KANU, MCP na UNIP

    Mtazamo wangu juu ya Benard Membe kujiunga upinzani. Wapo wanaoshangilia na wapo wanaobedha,wapo wasiokuwa na msimamo juu ya Benard Membe Kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo. Jambo moja nataka kuwakumbusha,ni kuwa hakuna popote Afrika ambako Chama cha ukombozi(Chamaa kilichopigania uhuru)...
  12. K

    Siri ya Chuki ya Mwigamba dhidi ya Zitto Kabwe

    MAUMIVU YA MWIGAMBA KWA ACT-WAZALENDO BAADA YA KUTELEKEZWA NA CCM NDIYO YANACHOCHEA CHUKI ZAKE DHIDI YA ZITTO KABWE. Samson Mwigamba ni mwanachama wa CCM. Kabla ya hapo alikuwa mwanachama wa ACT-Wazalendo. Mwigamba aliasisi ACT akitokea Chadema ambako alipata kuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa...
  13. K

    Mamlaka kwanini zinamuogopa DC wa Tabora Mjini Komanya Kitwala?

    Huyu DC ndie DC wa hovyo kuzidi hata yule wa Kilolo. 1. Tangu ateuliwe kuwa DC kazi yake ni kujisifu mbele ya watumishi ,madiwani,wana CCM na hata mbele ya mikutano ya wananchi wakawaida. 2. Alianza kugombana na dereva wa DC ambae alimkuta akimuendesha DC Qeen Mulozi ambae ni DC aliekuwa...
  14. K

    CCM wapita bila kupingwa nchi nzima.

    Wapinzani wameweka mpira kwapani,wameogopa kishindo cha CCM sasa ni rasmi kila mtaa kwa sasa ni mali ya CCM,wasimamizi wengi nchi nzima wamewatangaza wana CCM kupita bila kupingwa baada ya tamko la pili la waziri Jafo. Wapeni mihuri wateule waanze kazi ya kuwatumikia watanzania hadi 2024...
  15. K

    Maelfu ya watoto wa wanyonge wenye Division one wakosa mkopo HESLB

    Bodi ya mikopo imetoa awamu mbili za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Kwa kweli inashangaza kuona watoto wa wanyonge tena waliofaulu vizuri masomo ya sanaa na sayansi wamekosa mkopo. Mtaa ninaoishi vijana wote waliosoma kwa shida na kufaulu vizuri wamekosa mkopo. Mamlaka litazameni hili...
  16. K

    Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    Kumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya. Orodha ni ndefu mimi nayakumbuka haya. 1. Daraja la Kigamboni 2. Daraja La Kilombero 3. Daraja la Umoja 4. Daraja...
  17. K

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu mfumuko mkubwa wa bei kwenye vifaa vya ujenzi inamaana gani?

    Moja kwa moja kwenye mada,bei ya vifaa mbalimbali vya ujenzi imeruka kama ifuatavyo. Mikoani bei ya Mfuko mmoja wa saruji(cement) umepanda kutoka 14500 nwezi wa februari hadi 20000 bei ya leo. Nondoimepanda kutoka 15000 hadi 18000.. Bati chapa Kiboko zimepanda kutoka Tsh 240,000 hadi 320,000/=...
  18. K

    Hivi kuna watumishi waliobadlishiwa mshahara tangu kupewa barua za kupandishwa madaraja mwezi Juni 2019?

    Enzi za JK alieongoza serikali ya wapigaji,wafuja mali na wezi (kwa mujibu wa Musiba na ccm mpya)Kila mwaka Mtumishi akipewa barua ya kupandiswa cheo basi mwezi unaofuata anaanza kufurahi mshahara mpya. Enzi za Rais JK Kila mshahara wa mwezi wa julai,familia zilikuwa zinabadilisha mlo. Lakini...
  19. K

    Serikali yetu ina makusanyo makubwa,lkn kila sehemu mambo hayaendi.

    Facts. 1.Hakuna nyongeza ya mishahara. 2.Madiwani hawalipwi karibu nchi nzima 3.Miradi ya maendeleo iliyopitishiwa bajeti haipewi fedha kwa angalau 50%. 4.Ofisi nyingi za serikali hazina hata ream za karatasi(OC haziendi kwa wakati na kwa kutosheleza. 5.Miradi mikubwa inatekelezwa kwa...
  20. K

    Jinsi "Approver"anavyotumika kuwanyima haki watumishi

    Ndugu wana jamvi muhimu la JF. Serikali baada ya kuzuia kupanda madaraja kwa takriban miaka minne(Tangu 2015). Hatimae imetoa kibali kwa watumishi wote wa umma waliotumikia vyeo vyao kwa miaka minne au zaidi kupandishwa madaraja,kwa hili naipongeza serikali kwa kuwapa haki yao watumshi. Licha...
Back
Top Bottom