Search results

  1. Mlendamboga

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nilikuwa na deni la Songesha 263,038 ambalo nimekopa dakika zisizozidi 200 nikawa nimeingizwa 2,700,000 lakini zimekatwa 626,000 kama malipo ya songesha na makato! nahitaji ufafanuzi
  2. Mlendamboga

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nilikuwa na deni la Songesha 263,038 ambalo nimekopa dakika zisizozidi 200 nikawa nimeingizwa 2,700,000 lakini zimekatwa 626,000 kama malipo ya songesha na makato! nahitaji ufafanuzi
  3. Mlendamboga

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mzee wa chuo cha Mipango hapo chuo kitabu chake kina mashairi na tenzi za rohonu kishenzi hasa ngazi ya Masters!!! Mchakamchaka wake si wa kitoto
  4. Mlendamboga

    Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu itakuadhibu vibaya sana

    Heller ni jina lililotumika na wajerumani kwenye sarafu zao zilizotumika Tanganyika na makoloni yake miaka hiyo wakitawala, hivyo waswahili tukamaanisha fedha yoyote ni hela, hivyo hawajakosea hakuna tofauti kati ya fedha na hela!!!
  5. Mlendamboga

    Waliochelewa kuripoti JKT wakataliwa kupokelewa

    Wahitimu wa kidato cha sita waliochelewa kuripoti kambini tarehe 11/6/2023 wamezuiwa kuripoti na kuungana na wenzao. Zaidi ya vijana 150 katika kambi ya JKT Mafinga wamerejeshwa wakati wakiripoti jana 12/6/2023 siku moja baada ya tarehe ya mwisho. Kwa wale waliofika jana jioni walipewa hifadhi...
  6. Mlendamboga

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Salaam Kuna changamoto ya huduma za malipo ya Bima ya afya GEPG na malipo mengine ya serikali kupitia mawakala inaonyesha hakuna commission wanayopata kwa kupokea na kuwasilisha benki malipo hayo, kinachojitokeza ni kwamba mawakala wamekuwa wanakataa kupokea fedha kwa mteja ili kumwezesha apate...
  7. Mlendamboga

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    M Mwamba nimetupia hapo Twenty!!! kazi iendelee
  8. Mlendamboga

    Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    pole sana kwa kuwa hospitalized
  9. Mlendamboga

    Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    hamna kitu jana nimeambulia nikiwa church zaidi ya kusimama kwenda kutoa sadaka manake kila inapoishia unakutana na kitu kinaita tafuta inayoendelea!!!! da aisee mwamba umetuwakilisha wanaume ukanda wa afrika mashariki!!!!
  10. Mlendamboga

    Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    Katika story ambazo nimezisoma mfululizo hadi nikiwa kanisani nachukia kusikia tusimame!!! hahahaaaaa yaaani nimetulia kwenye benchi kama nasoma biblia kumbe nasoma story hii kweli watu mna mikasa aisee!!!!
  11. Mlendamboga

    Natafuta kitabu hiki "Guerrillas and Combative Mothers: Women and the Armed Struggle in South Africa

    Guerrillas and Combative Mothers: Women and the Armed Struggle in South Africa Your Wishlist: Author: [_id]=1161']Magadla, Siphokazi Editor: No contributors in this role Translator: No contributors in this role Price: R 300 Publication Date: 2023-02-27 Binding: Softcover ISBN: 978 1...
  12. Mlendamboga

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Sasa mimi nimekaa ile hotel iliyomkabala na Ofisi za Mayor wa Durban inaitwa Royol Hotel- the home of hospitallity, nilikuwa natwkeleza majukumu yangu pale BAT Centre-Eneo la Bandarini Durban! story imenikumbusha maeneo mengi, kiufupi nami nilisoma University of Kwazul Natal kozi ya habari...
  13. Mlendamboga

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Aisee kwa watengeneza filamu, hii inaweza kuwa bonge la picha kama muswada wako utakamilika una stori za maisha ya kawaida, mapenzi, urongo kidogo yaani imekamilika halafu inaleta hamu ya nini kifuatacho kuanzia kwenye mapenzi, kwenye biashara na maisha mengine ya mtaani!!! Ila Unaweza msaliti...
  14. Mlendamboga

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    nahitaji spare za merecedes Benz engine (W-203) V2597L 6 CYLINDER YA 2001 C -CLASS , VIFAA VIFUATAVYO A) COIL PACK ( DOUBLE SPARK), B) THEMOSTARTER C) CYLINDER HEAD GASKET
  15. Mlendamboga

    Special thread: Vipuri vya Magari (Car spare parts)

    shock up za benz c 240 (2001) mbele na nyuma complete zote 4 bei gani
  16. Mlendamboga

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nahitaji kiti cha Dereva cha Mercedes Benz - C class yangi siyo kikwazo ingawa Perl ndiyo rangi yake
  17. Mlendamboga

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    wewe kweli nyambuda! yaani unatumia isa kufidunda kuno viti ing'wale kukikogha!!!!
Back
Top Bottom