Search results

  1. BINTI77

    Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

    aibu itoke wapi wakati ulimchagua mwenyewe? ukiona hivyo ujue kidume hiki hakina uaminifu hata kidogo.
  2. BINTI77

    First kiss.....

    kumbe huo umalaya wako uliuanza ukiwa mdogo hivyo? Loh.
  3. BINTI77

    Mume wa jinsi hii........kama mke utavumilia kweli?

    atakuwa amebadili tabia ndo maana mume nae ameamua kumuangalia kma picha tu,pengine mapenzi yamehamishiwa kwa watoto baba amekuwa wa ziada tofauti na zamani. Mwambie akafundwe upya na shangazi yake.
  4. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    kaza buti ucje ukaingia majaribuni/
  5. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    we mtoto wa nyerere unajua dawa? au bado uanendeleza kale katabia kako ka kumuaibisha baba yako?
  6. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    hahaha magata,kalale basi utupishe wakubwa tujadili.
  7. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    asante kwa kunihakikishia kwa mifano halisi,huu uzushi ni hatari.
  8. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    mamamia nakushukuru sana,nimeridhishwa na majibu yako,asante mama.
  9. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    asante muheshimiwa mayombo.
  10. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    hapo kweli nimeamini haina uhusiano wowote ni uswahili.
  11. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    ngoja nikamuone daktari nisifuate manbu ya watu/
  12. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    asante kisukari kwa munielewesha.
  13. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    acha hasira basi jamani.nimeuliza ili nijue.
  14. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    hahaha,we mwana wee,wiki mbili tuunatangaza ukimaliza mwezi si utapofuka?
  15. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    asante kwa kunifahamisha baba, si kwamba nilitaka kunyooka,ila nimeuliza ili nijue manake watu wanasema hivyo.
  16. BINTI77

    Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    Wadau naombeni msaada kwa hili,sielewi kama ni kweli usiposex mda mrefu kiuno kinasumbua au yanakuwa ni maradhi mengine tu,
  17. BINTI77

    Ananifaa kweli huyu?

    Mshukuru Mungu amekuondolea balaa. ungelia nae huyo.
  18. BINTI77

    Kuingiziwa vidole ukeni.

    pole sana kwa hayo yaliyokukuta,nachujua mimi alitakiwa atumie kifaa maalumu cha kupanua uke kisha aangalie kwa macho na si hivyo alivyofanya,madaktari wengine wahuni pengine alitaka kukujua uke wako ukoje au la alikuwa na tamaa zake za mwili.
  19. BINTI77

    Jinsi ya Kupata watoto Mapacha kwa njia ya kawaida

    a sante sana kisukari ila sizijui,waweza nielekeza vizuri?
  20. BINTI77

    Jinsi ya Kupata watoto Mapacha kwa njia ya kawaida

    safi sana wewe/umenena,watoto lazima wapatikane hawa twins
Back
Top Bottom