Search results

  1. Wile GAMBA

    Hakika jana ingekuwa ni siku ya kuandikwa kwa historia mbaya sana juu yangu

    Ukute na huyo wala hakuwa jamaa yake naye aliingia kuiba mzigo na ndiyo maana pia akawa na wasiwasi...maana ... kwa vurugu zile ...lohh
  2. Wile GAMBA

    Naomba wife amuondoe huyu hg Mara moja, sitaki lawama

    Weka jina lako halisi ili tukutaje wakati wa maombezi
  3. Wile GAMBA

    Hakika jana ingekuwa ni siku ya kuandikwa kwa historia mbaya sana juu yangu

    Hana sensi nzuri ya kugundua harufu, angekuwa yuko vizuri angegundua harufu imechanganyikana na hafufu ya vurumai...!
  4. Wile GAMBA

    Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Hekima ni muhimu kuliko pupa!
  5. Wile GAMBA

    Nionavyo mimi, hakuna haja ya uchaguzi wa Urais 2020

    bora weweakili zako ziko vizuri< tatizo hii nchi imejaa malofa, bado tuna safari ndefu sana
  6. Wile GAMBA

    Tuwaeleweje wasiomuunga mkono Magufuli?

    Hatuhungi mkono porojo, kila mtu anaweza kuongea, na uhalali wa yeye kuwa hapio na kuongea unatoka wapi? angekuwa msafi asingekubali kukalia kiti kisicho chake
  7. Wile GAMBA

    Taarifa ya Edward Lowassa juu ya hali ya kisiasa Nchini na Mustakabali wa Zanzibar, Nov 15, 2015

    Siku walipo mkabidhi cheti magufuli jijini lilijiinamia chini kwa simanzi, wakijiuliza... hiii ni nuksi ganui tena jamani, waTanzania tuna bahati gani mbaya?
  8. Wile GAMBA

    Ni kweli kuja kwa Lowassa CHADEMA kumesaidia kitu CHADEMA?

    NI upuuzi wa hali ya juu kupima ushindi wa vyama chini ya tume ya uchaguzi iliyo chini ya chama tawala, tumeona jinsi matokeo ya wapinzani yalivyo tolewa kwa mbinde... tusipoteze muda kujadili huu ugoro. cha maana majadiliano haya yawepo kama kutakuwa na tume huru, Basi...
  9. Wile GAMBA

    TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    hakuan sifa yoyote ni walio na serikali ya kutoa hukumu ndiyo watendaji wa uonevu, hivyo wanafanya chochote watakacho ,
  10. Wile GAMBA

    Mikwara ya Marais wa Tanzania mara waingiapo madarakani

    Loh kunakazi hapa, magufuli kafanya kazi na bwana mkapa, na kulikuwa na ukiukaji wa matumizi na wizi... lakini sioni popote ambapo mangufuli alishiriki angalau kwa kuonge au kukemea.... leo aweze kuwa shughurikia wakina EPA KIWIrA ..na takataka nyingine hii ni ngumu
  11. Wile GAMBA

    Aliyemtabiri Magufuli ni Nabii Bendera wa Kanisa la Ufunuo

    nimekukubali, unatisha! naona virus imekula kitufe cha 'like'
  12. Wile GAMBA

    Photoshop Zingine Balaa. Niambie Jukwaa Lipo Upande Gani.

    ili la watu kumuangalia kiba wakati wewe nia yako ni kumwaga sera hilo ni tatizo kubwa sana... itabidi siku uwakimwapisha tingatinga wawaapishe na wasanii maana mvuto wa tingatinga haukamiiki mpaka asaidiwe na wasaniii
  13. Wile GAMBA

    Photoshop Zingine Balaa. Niambie Jukwaa Lipo Upande Gani.

    Yaani inamaa mikutano minne tofauti ya tingatinga ndiyo inayo lingana na mmoja wa EL! kasheshe... aliye edit hiyo picha ni mchovu sana katika photoshop
  14. Wile GAMBA

    CHADEMA walaani uvamizi wa Polisi Sambala hotel

    nadhani kuna hatua zaidi inatakiwa, mbona hii kusema polisi wabadilikwe, waache ni yasiku nyingi na haibadirishi kitu chochote!
  15. Wile GAMBA

    Ugomvi wa Lowassa na Kikwete wawapumbaza Watanzania

    Uko vizuri mzee! yale yalikuwa mapinduzi ya kweli na ya msingi
  16. Wile GAMBA

    Huyu ndiye rais

    Magufuli ni rais wa wanandondi? na waogeleaji kuelekea kigamboni? majivuni na ujeuri ndiyo hasa yaliyo mkosesha, kiburi si maungwana jibu atalipata 25Oct
  17. Wile GAMBA

    Jamani hii picha imenihuzunisha

    hii normal yaani sasa unavelia hirizi JF au ili mtandao uwe fasta... maana unaweza kukuta hirizi sa siku hizi wamezi update! ahahahhaha
  18. Wile GAMBA

    Kwa matusi haya Nape hastahili kuwa kiongozi

    kumpa mtama siyo mbaya lakini kura hatumpi piga ua, uongozi ni pamoja na hekima, mtu anatukana kama kaokotwa alafu leo tuone fahari kwamba ni kiongozi wetu, yeye tumeisha mlipa hayo matusi yake
Back
Top Bottom