Search results

  1. Supastar

    Wanawake wanaoropoka mnatia hasira sana

    Ipo hivi, mara nyingi wadada mnateswa na midomo yenu kwenye ndoa, mnaropoka mnajibizana, mnakalipia utadhani na wewe ni mwanaume, midomo yenu miepesi kutoa neno bila kuchuja kwa waume zenu Sasa kama sahivi mumeo au mpenzi wako HAKUSIKILIZI ujue tuu kuuanafanya hivyo makusudi kukuumiza ili...
  2. Supastar

    Nauza friji, kitanda na sofa

    Mpya linauzwa 480,000/= Nimelitumia miezi 5 Nakuuzia kwa 300,000/= Maongezi yanaruhusiwa Pia kitanda 6×5 tsh 150,000/= Sofa la watu watatu..90,000/= Lengo la kuuza ni kutokana na kwamba nahama mkoa Namba ya simu ni 0784112347. Nipo Mbagala Zakhem Dar es salaam Sent using Jamii Forums...
  3. Supastar

    Nauza friji ndogo kampuni ya Boss

    Friji hii imetumika kidogo sana Bei ni 280,000/= Ipo Mbagala, Dar es salaam Nipigie: 0784112347 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Supastar

    Nawauliza Wanawake

    Nina swali la kizushi tuu kidogo,Moja ya matukio ambayo wanawake hukumbuka sana kwenye mapenzi ni kitendo cha kutoa bikra na inasemekana kuwa mwanaume aliyemtoa bikra hukumbukwa mno Na pia mwanamke anapokuwa kazaa na mwanaume then wakatengana ni rahisi kurudiana ama kupasha viporo . Sasa...
  5. Supastar

    Natafuta Toyota Ipsum used yenye bei nafuu

    Iwe kwenye hali nzuri,iwe na full document Nipigie au Whatsapp 0784112347
  6. Supastar

    Natafuta gari dogo aina ya Toyota Sienta bajeti mil 5

    Liwe kwenye hali nzuri nipigie 0784112347 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Supastar

    Nauza gari toyota Passo

    Gari halijawahi kutembelewa Bongo year :2006 Mileage :28737km Transm: AUTO Fuel:Petrol Bei=mil 10,500,752/= UNAWEZA KULIPA KWA AWAMU MBILI Nipigie/ watsapp 0784112347 /0737881888
  8. Supastar

    Nauza Toyota Harrier na Nissan Note zimetumika kidogo sana Japan

    Mileage: 92,516 km Engine: 2,360.cc Manufacture: 2006 BEI=mil 30,263,190 Gari kali kutoka Japan Tupigie: 0784112347 / 0737881888
  9. Supastar

    Jipatie gari aina ya toyota raum kutoka Japan

    AGIZA GARI NASI KUTOKA JAPAN GHARAMA YA GARI NI 12,651,600 Tshs. MALIPO NI KWA AWAMU MBILI | Anza na 7,135,680 Tshs | Malizia 5,515,953 Tshs. SIFA ZA GARI. JINA: TOYOTA RAUM TOLEO: 2008 INJINI: 1500 cc IMETEMBEA KILOMITA 64,006km UWEZO SEAT; 7 MAFUTA: PETROL TRANS: AUTOMATIC Tupigie/Tuma Ujumbe/...
  10. Supastar

    Ipo hivi: Mwanaume na mwanamke ni boss na mwajiriwa

    Wanaume wenzangu njooni piteni hapa tukumbushane hili jambo,maana huu ndo ukweli wenyewe siku hizi kuna misunderstanding sana juu ya maisha ya kimahusiano baina ya jinsia ya ke na me hata kwenye ndoa. Suala la kuchagua mke mwajiriwa na kuacha asiyeajiriwa kuna wakati halina maana kwasababu kaa...
  11. Supastar

    Ukitumia Charm & glow Uzee utakaa mbali nawe.

    Kama unajipenda na kujithamini,utakuwa unaelewa umuhimu wa kutumia vipodozi vyenye ubora na uhakika. Kuna kitu kipya kwa wengi mimi nimetumia na kushuhudia Maajabu yake maana nilihangaika huku na kule ili kuhakikisha nakuwa na mwonekano mzuri na wakuvutia suluhisho nimeliona na sitaki kuwa...
  12. Supastar

    Naona Mauzauza Ofisini ,ni sehemu mpya ya kazi

    Habari zenu wadau wa jf, Mimi ni kijana wa kiume kuna jambo linanitatiza sijui niliwekeje iko hivi nimekutana na dada mmoja mazingira mapya ya kazi ambaye Kiukweli amefanana kuanzia sura na sifa na mzazi mwenzangu ,kuhusu mzazi mwenzangu anaishi mkoa mwngine kabisa na sasa Huyu mdada wa kazini...
  13. Supastar

    Mchumba kuharibu Sifa kwa wazazi wangu hata kabla sijamtambulisha?

    Nina mchumba wng nmezaa nae mtoto mmoja na ila kulingana na harakati za maisha nilikuwa sijaenda kwao kujitambulisha ila kuna wadogo zake wananifahamu, kwetu hajulikani bado,Mimi naishi Tabora mjini ndiko hata wazazi wangu walipo japo mimi naishi kwangu sio kwa wazazi yeye kwao pwani Mchumba wng...
Back
Top Bottom