Search results

  1. Gumilapua

    Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Huenda akawa ni Baba yake, stop making stupid conclusions!!
  2. Gumilapua

    Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

    Nilipanda basi siti niliokaa alikuwepo binti amekaa na mtoto wake kama wa miaka 4 hivi halafu kamwambia Yule mtoto mwamkie babu!!! Nikachoka Ila baada ya miaka machache Nakaanza kuzoea maana hata mtaani watoto wadogo wanakuamkia shikamoo babu[emoji16][emoji16][emoji16]
  3. Gumilapua

    Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

    Aachane nae papuchi utampa wewe???
  4. Gumilapua

    Kumbe Uwanja wa Gwambina sasa unaitwa Fountain Gate Stadium? Mbona kimya kimya?

    Inabidi na wewe sometimes uone aibu, kama Jambo la kawaida hulijui na huna taarifa nalo utajuaje Jambo nyeti? Kuwa mpole Tu umechemka[emoji16][emoji16][emoji16]
  5. Gumilapua

    Kwa wapenda Masumbwi (Boxing): Weka picha au video fupi ikionyesha KO au TKO unayoifagilia sana

    Ukipata nafasi angalia roundi 4 walizopigana Thomas hearns "the motorcity cobra" Vs Marvin Heagler. Au angalia Ko aliopigwa Roberto Duran na Tommy Hearns "the hitman" Ndio utajua kuwa kuna watu wanajua kupiga[emoji16][emoji16][emoji16]
  6. Gumilapua

    Kwa wapenda Masumbwi (Boxing): Weka picha au video fupi ikionyesha KO au TKO unayoifagilia sana

    Pamoja mkuu, Mimi nilicheza nikiwa bado mdogo kuanzia darasa la 3 mpaka form 4 nikaachana nayo nilipoenda A-level, it's a brutal game. I was a bit successful as young fighter in lower weights divisions to the extent of being called in national team in several occasions but on the way as I gained...
  7. Gumilapua

    Pacome Zouzoua alipokea tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Ivory Coast 2023 ila waziri hamjui

    Labda nikuelimishe kuwa waziri wa michezo sio waziri wa mpira wa miguu peke yake. Hata wewe ambae ni mfuatiliji wa michezo nikikuuliza ni nani mchezaji Bora wa netball au basketball hapa nchini huenda ukashindwa kumtaja!
  8. Gumilapua

    Marefa wa ngumi Tanzania tuna safari ndefu

    Naangalia hapa mapambano ya ngumi yanayoendelea lakini maamuzi ya marefa yanaharibu mchezo. Pambano la Richard na Julius Indongo, mwamuzi kamaliza mchezo prematurely, ili kumpa ushindi Mtanzania na hata pambano la mkenya Kimario na Ibrahim Mafia pia refa amemaliza mchezo na kumpa ushindi...
  9. Gumilapua

    Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

    Kama umekutana nae barabarani unaombea wapi?
  10. Gumilapua

    Wema Sepetu, nakushauri fanya maamuzi ya kuasili mtoto

    Hivi wewe ni Nani Kwa Wema mpaka uanze kumshauri hapa? Hivi huna ndugu zako wa kuwashauri mpaka uanze kujipendekeza Kwa Wema? Fanya yako Wema ana watu kibao Tu wa kumpa ushauri, au kama unahisi wewe ndio atakusikiliza basi mfate nyumbani kwake na sio kutafuta cheap popularity hapa[emoji16][emoji16]
  11. Gumilapua

    Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

    Kilichomkuta hatathubutu kamwe kurudia[emoji16][emoji16]
  12. Gumilapua

    Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

    Toa sababu basi za kila mmoja wao kilichokufanya ufikirie Hivyo. Maana wabongo tunapenda Sana kuropoka bila ya kuwa na ushahidi[emoji16][emoji16]
  13. Gumilapua

    Ulishuhudia mama yako akiwa mjamzito?

    Acha ujinga wewe, kuna majirani zangu utotoni binti alikuwa na mtoto mkubwa kuliko wadogo zake wawili wa mwisho! Yaani jamaa alianza darasa la Kwanza wakati wajomba zake wako nyumbani wakisubiria wafikie umri wa kwenda shule[emoji16][emoji16]. Tukawa tunamtania awaamkie wajomba zake!
  14. Gumilapua

    Bodaboda na demu wameyakanyaga Mungu asante ila nisamehe

    Unga na sukari wapi na wapi, wewe kila mtu unadhani ni Fei toto[emoji16][emoji16]
  15. Gumilapua

    My mother is Soldier

    Who taught you that babies stay in the stomach before birth? Stomach is not a reproductive organ and hence has nothing to do with prenatal babies. Babies are born from the uterus or simply womb! Nina mashaka sana na elimu yako!!!
  16. Gumilapua

    My mother is Soldier

    "Is a soldier," you have just skipped article "a", with that critical mistake I knew huwezi andika post yako kwa kimombo.
Back
Top Bottom